Karibu Pearl tuakusubiri Sussy

hehehe mzee yussuf akiona hii sredi lazima kesho atoe singo jipya la tarabu, yaani fulu lyrics za rusha roho. nyinyi Afrodenzi na Lizzy ma make up yamepanda bei bana acheni kukasirika kizembe. na wewe mtummoja tunaomba uwasilishe jinsia yako kwa invizibo ili kama dume tukukabidhi aspirin kwa ushauri na kama jike mgogoro wako utashuhulikiwa na mimi. Asanteni kwa ushirikiano

Make up za kazi gani wewe?Mafuta ya samli hayana bei!
 
halaf skujua kwamba TF ni memba hai wa kikundi cha mchiriku cha jagwa. dah! juzi walikuwa wanapiga laiv chochoro za tandale. MC wao ana viatu vina marangi kama bendera ya Bukina Faso. Halaf Ze finest mwenyewe alikuwa kadondoka na jinzi belti kamba ya kitani. khaaa! Bwana Yesu asifiwe

Hahahahahahahah..
Ndio maana kati zangu zot e
za kuoshea viumbo sizioni haha

Halafu sikuhizi ukimuuliza kitu jibu ni "it's dynamite"
 
Kudadadekiiii
 
Fellow tablet:
Swali la kwanza: Kama ni dume mi nifanyeje haswa kwenye huo ushauri? (Umemhusisha mzee Yusufu, unamaanisha taarab?)
Swali la pili: Kwanini kama ni demu aje kwako
Swali la tatu: Nimesahau kudogo....Afrodenzi nisaidie kumuuliza ukilikumbuka.
heheh jibu la kwanza: kama hauwezi kulitibu wewe lipeleke kwa mganga yoyote muhim huku kwa klorokwini lisikaribie getini.
Jibu la pili: Nina Phd ya mzumbe nimesomea masaikolojia ya kinamama, wakifeki tu naelewa, mimi nikilala na mdada akifeki orgasm namwaibisha, kulalalaleki!
Jibu la tatu: Ulitaka kuuliza Keren Happuch yuko wapi? naomba usiulize, tuko honeymoon
 
There is no place like JF...! I wish hata kwenye ndoto tu itokee bonge la get together niwaone live wana fj wote.. will be the most happines man alive...lol
Welcome back Pearl n pole kwa matatizo.

Mkare ni peleke pare pare
na kare ka wimbo cha kare..

In serious not .. I love that song..
 
heheh jibu la kwanza: kama hauwezi kulitibu wewe lipeleke kwa mganga yoyote muhim huku kwa klorokwini lisikaribie getini.
Jibu la pili: Nina Phd ya mzumbe nimesomea masaikolojia ya kinamama, wakifeki tu naelewa, mimi nikilala na mdada akifeki orgasm namwaibisha, kulalalaleki!
Jibu la tatu: Ulitaka kuuliza Keren Happuch yuko wapi? naomba usiulize, tuko honeymoon

Swali la nyongeza:...Hivi......... damn nimesahau tena......

Ngoja nimtongoze AD kwanza.
 
Hahahahahahahah..
Ndio maana kati zangu zot e
za kuoshea viumbo sizioni haha

Halafu sikuhizi ukimuuliza kitu jibu ni "it's dynamite"
hehehe! Halaf watu wanapewa ma award wakiperfom, hawa jamaa wanatupiwa lesso za kufuta jasho wakiperfom, dah! uswahilini bana.
 
kwa jinsi nilivyoelewa naona kama hawa jamaa ugomvi huu sio wa leo ni wa zamani sana kutokana na kujumuishwa kwa thread za nyuma wana bifu ya muda mrefu! any way tuwaachie wenyewe ingawa haifurahishi kuona wana jf wakirumbana kwa lugha kali kihivyo!mie nadhani tungepingana kwa hoja za msingi!ambazo zitatusaidia mbele!

Kilimasera naungana na wewe,hapa kuna kitu nyuma ya pazia lkn si vema kabisa.

Pearl karibu dearest naamini Mungu anaendelea kukufariji,,tuko pamoja.
 
Nataka kuvua gamba.

Mjukuu mmoja hebu aje huku anivue gamba kama CCM.
 
Swali la nyongeza:...Hivi......... damn nimesahau tena......

Ngoja nimtongoze AD kwanza.
hehehe ukimaliza nishtue, namimi nimeamka na midadi kweli leo. atakaequote post yangu natongoza (NB: mabwabwa hawahusiki kwenye hii post)
 
Klorokwini hapo juu, nimeogopa kuquote posti yako.

Namsubiri atakayekuquote nikusaidi kumtongoza....Angalizo.. atapaswa atumie Asprin kabla hajameza klorokwini.
 
Kilimasera naungana na wewe,hapa kuna kitu nyuma ya pazia lkn si vema kabisa.

Pearl karibu dearest naamini Mungu anaendelea kukufariji,,tuko pamoja.
yaani nilipoona jina lako hafla memori zikapotea, sjui hata nilikuwa nataka kucomment nini? khaaa! kweli mapenzi ukwaju, yakikukumba utajiju!
 
Klorokwini hapo juu, nimeogopa kuquote posti yako.

Namsubiri atakayekuquote nikusaidi kumtongoza....Angalizo.. atapaswa atumie Asprin kabla hajameza klorokwini.
hehehe kamanda hapo nilikusudia ile jinsia inayokwenda honeymoon mara moja kila mwezi bana! Hivi katiba ya famasi hauielewi basi hata katiba ya maternity umeforget?
 
yaani nilipoona jina lako hafla memori zikapotea, sjui hata nilikuwa nataka kucomment nini? khaaa! kweli mapenzi ukwaju, yakikukumba utajiju!

Fellow tablet....hajakuquote huyu, inakuaje unamtongoza?

Basi niachie Keren Hapuch nami nitongozepo japo kidogo....

Nakutakia utongozaji mwema wenye mafanikio. Atakayekukataa niPM nikupe kale kadawa ka kumvuta mpenzi aliye mbali.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom