Karibu Pearl tuakusubiri Sussy

Babu anapenda kuuliza....

Hapa mnadiskasi/mnajibizana/mnagombana/mnajadili kitu gani hasa?

Babu hapendi malumbano.....babu hapendi ugomvi.
Atakayeendelea kuleta ugomvi na kuchafua hali ya hewa hapa......babu anamlaani, baiolojia yake itahamia usoni mwake....

Haya shikaneni mikono afu mkuje huku chumbani.....mkimwona Keren Happuch mwambieni nimemteua kuwa msuluhishi wa huu mgogoro.

Babu anarudi kitandani kukoroma.
 
Asante sana mpz Afrodenzi/mke mwenza/shostito/waukweli sijui ilikuwaje sikuona hii thread!asanteni sana watu woooote wa JF kwa sala,na mawazo,ushauri wenu ktk kipindi hiki kigum sana kwangu ol in ol life has to move on!

mmmmh mtu mmoja nadani ungeweza tu kuongea kwa utaratibu na busara kuliko kutumia maneno mabay,fine it can be hukupenda hii iwe hapa au labda kuna zako uliandika zikatolewa na kutupiliwa mbali lkn waswahili wanasema bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi wataingia watu na kukufanya mby!
Thx pipo it real had kuwa mention kila mmoja wenu lkn naamini kama familia ya JF TUKO NA TUTAENDELEA KUWA WAMOJA TUKIPENDANA,KUSHAURIANA,KUFARIJIANA NA KUSAIDIANA KADRI YA UWEZO WETU.
 
Welcome back Pearl darling.

Naamini sala zangu zilisikilizwa na kujibiwa........God listens!

Mungu na aendelee kuwa upande wako
 
Asante sana mpz Afrodenzi/mke mwenza/shostito/waukweli sijui ilikuwaje sikuona hii thread!asanteni sana watu woooote wa JF kwa sala,na mawazo,ushauri wenu ktk kipindi hiki kigum sana kwangu ol in ol life has to move on!

mmmmh mtu mmoja nadani ungeweza tu kuongea kwa utaratibu na busara kuliko kutumia maneno mabay,fine it can be hukupenda hii iwe hapa au labda kuna zako uliandika zikatolewa na kutupiliwa mbali lkn waswahili wanasema bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi wataingia watu na kukufanya mby!
Thx pipo it real had kuwa mention kila mmoja wenu lkn naamini kama familia ya JF TUKO NA TUTAENDELEA KUWA WAMOJA TUKIPENDANA,KUSHAURIANA,KUFARIJIANA NA KUSAIDIANA KADRI YA UWEZO WETU.
Karibu sana mpenzi
Sikutegemea hii thread ingechakachuliwa mapema
hivi lakini hii ndio JF yetu..

Nway we are so happy to have you back again
Na pole nyingi sana mpenzi..
 
hehehe mzee yussuf akiona hii sredi lazima kesho atoe singo jipya la tarabu, yaani fulu lyrics za rusha roho. nyinyi Afrodenzi na Lizzy ma make up yamepanda bei bana acheni kukasirika kizembe. na wewe mtummoja tunaomba uwasilishe jinsia yako kwa invizibo ili kama dume tukukabidhi aspirin kwa ushauri na kama jike mgogoro wako utashuhulikiwa na mimi. Asanteni kwa ushirikiano

Bek to ze topik: Karib Pearl na pole bana!
 
tumsubirie ze finest alog out, nikupatie klorokwini zile za sugar coated, u r special kastama.

Jamani jamani Klorokwin
silikwambia usiseme kwa nguvu
tukiwa tunaongea kuhusu Mr. T
SASA cheki atakavyokuja mita kutoka huko aliko..
Mmhhh
 
There is no place like JF...! I wish hata kwenye ndoto tu itokee bonge la get together niwaone live wana fj wote.. will be the most happines man alive...lol
Welcome back Pearl n pole kwa matatizo.
 
Jamani jamani Klorokwin
silikwambia usiseme kwa nguvu
tukiwa tunaongea kuhusu Mr. T
SASA cheki atakavyokuja mita kutoka huko aliko..
Mmhhh
halaf skujua kwamba TF ni memba hai wa kikundi cha mchiriku cha jagwa. dah! juzi walikuwa wanapiga laiv chochoro za tandale. MC wao ana viatu vina marangi kama bendera ya Bukina Faso. Halaf Ze finest mwenyewe alikuwa kadondoka na jinzi belti kamba ya kitani. khaaa! Bwana Yesu asifiwe
 
hehehe mzee yussuf akiona hii sredi lazima kesho atoe singo jipya la tarabu, yaani fulu lyrics za rusha roho. nyinyi Afrodenzi na Lizzy ma make up yamepanda bei bana acheni kukasirika kizembe. na wewe mtummoja tunaomba uwasilishe jinsia yako kwa invizibo ili kama dume tukukabidhi aspirin kwa ushauri na kama jike mgogoro wako utashuhulikiwa na mimi. Asanteni kwa ushirikiano

Bek to ze topik: Karib Pearl na pole bana!

Fellow tablet:
Swali la kwanza: Kama ni dume mi nifanyeje haswa kwenye huo ushauri? (Umemhusisha mzee Yusufu, unamaanisha taarab?)
Swali la pili: Kwanini kama ni demu aje kwako
Swali la tatu: Nimesahau kudogo....Afrodenzi nisaidie kumuuliza ukilikumbuka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom