Karibu Kutizama leo Tarehe 22 Agosti, Kipindi cha Je Tutafika Channel 10 Saa 3 na Nusu Usiku

Usikose kipindi Je Tutafika cha Mzee Makwaia leo saa 3 na Nusu Usiku katika Televisheni ya Channel 10. Huko tumezungumza Mchakato wa Katiba Mpya, Bunge Maalum na suala la Uraia Pacha. Karibu kusikiliza na kutizama ili Mjadala uendelee. Asante. Mjulishe na Mwingine.!
Mr. polepole, naomba kwenye kipindi hicho uwaambie watz kuwa uraia wa nchi mbili unahatarisha usalama wa nchi yetu, na hakuna mtu anayeweza kutumikia mabwana wawili. njia pekee tunayoweza kuwasaidia wenzetu hawa walioukana utaifa wetu ni kupitia mfano ule wa india, kwamba wapewe special treatment lakini hawatakuwa full citizens.

pia utafafanua suala la umiliki wa ardhi kwa watu wasio raia kwasababu msimamo uliopo sasa, mtu asiye mtz hawezi kumiliki ardhi Tanzania isipokuwa kwa kupitia TIC (Tanzania investment centre) kama muwekezaji. hawa walioukana uraia watakuja kwa special treatment kumiliki ardhi kama sisi ambao hatujaukana uraia? au wao watakuja kama wawekezaji.

ukiwa raia wa malawi na Tanzania pamoja, siku malawi ikianza vita na tz na wewe ni soldier utapigana wapi, na je? huko ulikochukua uraia mpya hawawezi kukutumia wewe raia wao kutuchunguza na kuiba siri za nchi yetu?

bila shaka hapo utaona kuna umuhimu wa kuweka mipaka ya kisheria namna mtu aliyekwisha ukana uraia anavyoweza kufaidia tz. LAKINI URAIA PACHA TZ WAAMBIE HAUNA MANUFAA, HIVYO HAINA HATA HAJA YA KUUDISCUSS, labda hapo muende mdiscuss kuhusu namna ya kuwawekea special treatment wasaliti wetu ila sio kuwa na uraia pacha.
 
Usikose kipindi Je Tutafika cha Mzee Makwaia leo saa 3 na Nusu Usiku katika Televisheni ya Channel 10. Huko tumezungumza Mchakato wa Katiba Mpya, Bunge Maalum na suala la Uraia Pacha. Karibu kusikiliza na kutizama ili Mjadala uendelee. Asante. Mjulishe na Mwingine.!

Mungu akulinde uendelee kupiga haki.
 
Usikose kipindi Je Tutafika cha Mzee Makwaia leo saa 3 na Nusu Usiku katika Televisheni ya Channel 10. Huko tumezungumza Mchakato wa Katiba Mpya, Bunge Maalum na suala la Uraia Pacha. Karibu kusikiliza na kutizama ili Mjadala uendelee. Asante. Mjulishe na Mwingine.!

Tunakuomba sana sisi tulio nje ya nchi ambao hatuwezi kuangalia kipindi hicho kwa wakati huo utuwekee tena clip yake hapa ukumbini tufuatilie neno kwa neno. Sikujua Tanzania tuna watu wenye uwezo na uthubutu kama wewe.
 
Back
Top Bottom