karibu kijiweni!

Kwa wale wa monde tukutane makalio bar, mda huu ndiyo muafaka
 
Salamu zangu ziwaendee Msoffe's daughters......Angel and Flora popote pale walipo.....upendo mwingi kwa saana!! Btw, wanakijiwe leo naona stori mmechangamka si kidogo!
 
Salamu zangu ziwaendee Msoffe's daughters......Angel and Flora popote pale walipo.....upendo mwingi kwa saana!! Btw, wanakijiwe leo naona stori mmechangamka si kidogo!

hope uko waliko watazipata. hujambo Kipipia. umekwenda church?
 
Last edited by a moderator:
mpaka kingmario aniombe ruksa...we check jina mario
Charminglady! Hebu jitahidi basi kumfunza mumeo platozoom kusoma na kuandika!Mbona nilikuwa nakuaminia wa kwetu imekuaje unamume anayetakiwa kuhudhuria mafunzo ya ngumbaru? Najua utakuwa unashangaa kidogo ila ukutazama post yakeniliyoquote hapa utajua. Hebu mrekebishe kimyakimya
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom