karibu kijiweni!

Kumbe kijiwe jana kimenipita eeh? Nasikitika ila kwakua nilikuwa natimiza ahadi ya kukutana face to face na mwanaJF kuweka mipango ya mbeleni vizuri sina budi kukubali.
 
Du ndio nimezinduka maana jana nilikuwa nabembea pande za via via, ila poleni sana muendao job leo, nawatakieni kazi njema hadi mida ileee ya kukutana pale makalio bar kwa ajili ya nyama ya mbuzi


Mmmmhh! Nawe upo huko? Tupeane hai! Utanikuta anga hizo!
 
Mmmmhh! Nawe upo huko? Tupeane hai! Utanikuta anga hizo!

hakuna noma jamaa yangu, ila inanibidi nitoke mda huu maana hali ni tete leo, kweli huu ni mwezi wa sita,hapa monde inashuka mpaka kunako .....
 
Waooo vizuri sana, ila mazoezi kimtindo ni muhimu ili kuchangamsha mwili na viungo

kaz na mizunguko nifanyayo mchana kutwa ni mazoez tosha. so nikipata muda wa kulala huwa nalala effectively!
 
haha...ipo ndo mpya ukiwa unaelekea DUKA BOVU...KISONGO na likes!
afu msuba wa jan kijiweni haukua poa kabisa...
hakikua kitu cha MUSOMA eeh?...
i didnt get high!

we vp yan kile kilikuwa kitu cha sirari kule kwa walenchoka kabisa. tena mbna ulizimika au ndo umezinduka kimeisha kichwan?
 
Kumbe kijiwe jana kimenipita eeh? Nasikitika ila kwakua nilikuwa natimiza ahadi ya kukutana face to face na mwanaJF kuweka mipango ya mbeleni vizuri sina budi kukubali.

haya mkuu tupe updates kama hutojali. umekutana na nani?
 
ok,thnx me mwenyewe bdo nipo kwa bed. . .yan naona raha nikiwa kitandan tuuu hata km cna ucngz. ndo starehe yangu kulala!

wewe!sikuzako zinaesabika kama mwewe hajakupitia sijui.Take note kabla jogoo hajawika utakua umemkana mara tatu
 
TANMO is a True African son: The Conqueror, The Healer, The Creator, The Majesty..

He is very:
..Tall
..Handsome
..Energetic
..Smart
..Hard working
..Kind
..Honest
..Courteous
..Candid


and the list goes on......................................................

..Sober
...Komando kipensi
..inter ze dragon
..Manyaunyau
..
and list goes on........................................
 
Back
Top Bottom