Karibu jamani..

Lenn_AfricaSana

New Member
Apr 7, 2012
1
1
Wapendwa wasomaji,

naitwa Lennard, natoka Ujerumani na nilifanya kazi mwaka jana kwa Tanzania Renewable Energy Association. Bado nasoma gazeti ya Tanzania na minapenda kuhifadhi mawasiliano na wabongo:)

Pia ningependa kurudi Dar Es Salaam kwa ajili ya internship mwaka huu!

Wasalaam,
Lennard
 
karibu sana...nimependa kitu unachokifanya...its a global issue...um into it.
 
Back
Top Bottom