Nguchiro
JF-Expert Member
- Nov 23, 2009
- 364
- 31
*hivi mnavyotaka chuo kiwe maarufu mnataka umaarufu katika nini hasa?coz kama kisingekua maarufu kusingekuwa na wanafunzi basi ikiwa na maana hakijulikani
*mnadai masomo magumu!nacheka sana,sisi tumewezaje kusoma na tukatoka na gpa nzuri tu,hakuna chuo chenye masomo rahisi hata kimoja kila ukienda lazima utakuta wanafunzi wanalalamika ugumu wa masomo n thats a fact,ugumu wa masomo unakuja kama umeenda kuuza sura chuo
*nashukuru kama umetambua kuwa kuna vyuo vichanga
*nani kakuambia kuwa course za SUA haziuziki?get serious, tembea uone, mashirika mengi yana graduate wa SUA pia Halmashauri na Manispaa suala la m2 kumkuta benki c tatizo labda ni uamuzi wake 2 degree yake haina influence yoyote hapo
*inawezekana haifahamiki sana ila ina umaarufu wake sababu ya uniqueness ya kozi zake mf Bsc Horticulture, Agronomy, BLS, Veterinary Medicine nk ajira zipo njenje kwao ila tatizo letu wengi hukimbia fani zao wakihitimu, kuna mradi wa APOPO au genetic rats wa ulipuaji mabomu wenye kuajiri graduates wa BLS pindi wanapohitimu nk
*msikae kuponda 2 ila na ukweli muuweke wazi,over n out