Karamagi na Dowans - The Forgotten One

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
I know I know.. u have not even considered how does Karamagi fits in the whole picture. Well, he does. As a matter of fact he fits in like a wedding ring to a bride! think about it.
 
Kwa mujibu wa ofisi ya Msajili wa Makampuni Tanzania (BRELA) kampuni hiyo ya Dowans ina wabia wawili ambao ni Dowans Holding S.A ambaye ana hisa asilimia 81 ya 'Class' A na Portek System and Equipment PTE Ltd ambaye ana asilimia 51 kwa maana 'Class' A ana 19 na B ana 35.

Na Karamagi alikuwa Waziri wakati wa ujio wa Dowans
 
I know I know.. u have not even considered how does Karamagi fits in the whole picture. Well, he does. As a matter of fact he fits in like a wedding ring to a bride! think about it.

Tell us, how? Because of his trinity with ROSTAM AND JK? I dont think it works that way! But as a member of CCM he is a rotten fish
 
No comment hapo wazee maana nikimkumbuka karamagi natamani kulia ticts yeye, buzwagi yeye, dowans yeye, richmond aliikuta ila naye yupo, na wengineo.
 
Karamagi ndiye aliyeilazimisha Tanesco kuingia mkataba wa Dowans baada ya kufanya mazungumzo ya siri na kina Picard na Tice huko Calgary Canada... Tanesco walikataa mara tatu lakin Waziri akashinda.
 
sasa kama yalikuwa mazungumzo ya siri imekuwaje umejua MM? Tupe evidence tuamini........mere words doesn't help!
 
I know I know.. u have not even considered how does Karamagi fits in the whole picture. Well, he does. As a matter of fact he fits in like a wedding ring to a bride! think about it.

Kwa hiyo, haruhusiwi kufanya biashara.

Lipi kosa la Dowans?

Mbona mpaka leo mnahaha na post za pumba tu, hatujaiona hata moja ikisema kuwa kosa la Dowans ni hili hapa.
 
ukikua utaelewa nini kinachozungumzwa!
 
Karamagi ndiye aliyeilazimisha Tanesco kuingia mkataba wa Dowans baada ya kufanya mazungumzo ya siri na kina Picard na Tice huko Calgary Canada... Tanesco walikataa mara tatu lakin Waziri akashinda.

Yaani pumba zako sasa ni nzuri sana , hata kama aliwashikia bunduki na wakasaini mkataba wacha kuwalazimisha, Jee, kuna kosa walilofanya Dowans kwenda kinyume na mkataba? Hawajaleta mitambo? na kiasi gani walilipwa Dowans kama jibu ni walileta mitambo? na Jee, hiyo mitambo haikujaribiwa? Kam ilijaribiwa ilifanya kazi au haikufanya? Na Jee, ICC waliwapendelea Dowans katika kutoa hukumu ya kuwa walipwe?
 
ukikua utaelewa nini kinachozungumzwa!

Hamna lenu jambo, nyinyi ndio bado mawazo yenu yako nyuuma sana, mnakaa kuhangaika na fitna za kike, lakini hakuna mmoja wenu aliyekuja hapa akasema hili hapa kosa la Dowans, na mkizidiwa hoja huwa mnajibu utumbo, kama kawaida yenu. Mliposhindwa kura, mkaanzisha utumbo wa kutoimtambuwa Rais, mliposhindwa Arusha mkaanzisha fujo na watu wakafa, na mliposhindwa hili la Dowans sasa mnatafuta chokochoko kila upande, lakini hakuna hata moja la maana. Mpaka leo mmeshindwa kutueleza ni nini kosa la Dowans.
 
Lipi kosa la Richmond?

Richmond walishindwa kutimiza ahadi za mkataba. Walishindwa kuleta mitambo walioahidi kuileta, au hujuwi hili na kesi ipo mahakamani, hapa Tanzania!

Sasa wewe jibu swali, ni lipi kosa la Dowans?
 
Dowans ni mrithi wa Richmond. Karithi yote uliyoyaeleza kuhusu Richmond.
 
Richmond walishindwa kutimiza ahadi za mkataba. Walishindwa kuleta mitambo walioahidi kuileta, au hujuwi hili na kesi ipo mahakamani, hapa Tanzania!

Sasa wewe jibu swali, ni lipi kosa la Dowans?

Mbona unajikanganya?
 
Back
Top Bottom