Kapigwa kibuti........ anamlilia aliependwa!!!!

<font size="3">kweli huyo dume kilaza............anamlilia mwanaume aliyependwa eti amwachie.............inawezekana alitongozewa sasa anajishauri atatongoza</font>j<font size="3">e</font>......<font size="3">hakuna cha ushauri mwambie aache ujinga ajichanganye achape kazi....asipokuelewa mpatie ushauri wa DC mara moja tutume sala za rambirambi</font>
<br />
<br />
hahahahahaaa bonge la *****!!
 
AENDELEE NA MAISHA, Mwambie maisha yapo yanamsuburia, hyo dada wala ha worth machozi yake, mwambie ahifadhi machozi yake aje kumlilia mtu mwafaka, sio huyo aliyemtema mchana kweupe
 
Kisicho riziki hakiliki mwambie asilete ubishi! Yaani huyo ndo nshine kabisa, mangapi amepanga na hayajafanikiwa sembuse hili? Akilitambua hili atamove kwa amani.
 
Napenda wanaume wanaolia. Huwa wanajua saaana kupenda. Mpeni kampani ya kutosha asije jiua. Atampata anayejua thamani ya mapenzi soon.
 
Back
Top Bottom