Loly
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 509
- 209
Jamani nimekumbuka kisa kimoja cha rafiki yangu wa karibu sana aliniambia amepata mchumba kwenye mtandao na mchumba mwenyewe ni mbongo anaeishi marekani basi wakawa hawajuani lakini mapenzi yao yalikuwa yamebezi kwenye kutumiana picha kila siku na jamaa marekani antwanga foni kila leo na mazungumzo yao hayapungui dakika 45 misifa kibao anamsifia rafiki yangu eti ohh nikija bongo lazima nimpe mamaako zawadi kwakukulea vizuri ohh umelelewa kimaadili unajua jinsi yakuongea namimi na mengine kibao mara nikija nikuletee zawadi gani ohh niko sasa hivi huku madukani nakufanyia shoping unavaa jinsi saize gani ohh napenda uwe unavaa vimini na mengine kibao.
Jamaa anadai yeye ni diplomat anafanya kazi karibu sana na obama halafu kamkataza rafiki yangu kamwe asijarikumtumia msg labda kubipu tuu eti msg huwa zinachunguzwa ofisini kwao kisa yupo ofisi moja na obama.
sasa sikizeni mkasa ndio unaanzia hapa muda umeendaaaaaahh siku ya kuja bongo ikakaribia kamuahidi mambo kibao dada wawatu anamsubiri kwa furaha akikumbuka maneno ya jamaa kwenye foni usipime, nilichoka huyo jamaa alivyo mwambia rafiki yangu eti anaomba amlipie hotel siku akija wakae hotel Kama wiki kwa gharama za demu Jamani huyu mtu ni diplomat yuko karibu sana na obama hoteli ayoomba alipiwe ni ya 0star isiyozidi 40,000 basi dada kaamini kalipa hoteli jamaa kaja kaenda kupokelewa airport kaja na mabegi 8 makuubwa yamejaa manguo dada siakajua zile shoping alizokua anafanyiwa ndio Kama hivyo chakushangaza kamletea blauzi 2 ambapo huku zishapitwa na wakati na zimeshachakachuliwa sana karikoo na kasuruli kamoja kakitambaa, hivi Jamani huyu kaka alikuwa na nia gani na huyu dada wawatu mwenye kila aina ya nidhamu? haya kingine kilichoniuma zaidi eti anamuomba huyu dada amkopee 1,000,000 atamrudishia akirudi marekani maskini kidogo tuu angempa Kama siyo mimi kumbonya maana nilikuwa nishamshtukia anamkomoa dada wawatu.
Haya dhumuni la kuja huyu kaka nikumuona live mpenziwe yaani shosti wangu nakukubaliana kufunga ndoa lini jibu alilompa ni after three years hapo wamesha last one year hivyo itakuwa jumla 4 years mbaya zaidi huyo jamaa ni bonge kuliko pepekalee mvi kibao kichwani yaani anaumbo la kuzeeka mbaya embu nisaidieni Kama ni wewe ungemshaurije best yako? nimesahau nasikia pia kwenye sita kwa sita jamaa haijiwezi hamridhishi shost kabisaa! ila lijamaa lina masifa ya kufa mtu halafu sio handsome kabisa. shostito wangu ni mrembo balaa ni mstaarabu sio kicheche hata tone ana busara na hekima ni mtu wakubalika kwa kila mtu halafu hapendi makuu kabisa.
Sasa huyu jamaa alivyorudi marekani kampandishia vioo shost kisa alimyima ile hela 1,000,000 ila sijui Kama kuna lingine, aisee shost wangu aliumia maana hakuwa na jamaa mwingine karibia miaka 3 nyuma maana ni mtulivu sana. basi shost wangu baada muda kdg kapata jamaa mpya kavuta ndani sasa hivi ni mama wa mtu yani ni mrs. keshapata mtoto mume wake ni mwanaume wa maana handsome boy, umbo lakiume, kijana mwenzake mvuto wa kutosha, msomi marekani anaenda kaa vile kwenda kariakoo na kurudi yani kila mwezi anarepoti carlifonia maisha swaaafi kabisa.
swali liko hapa huyu jamaa wa marekani hajui Kama shost kesha achana na ukapera anamtishia ohh nilikuletea simu kutoka marekani nirudishie namtuma ndugu yangu aje kuichukua, ohh naweza kukusababishia ukafukuzwa kazi hajui Kama shost sikuhizi ana ofisi yake binafsi na hajira ailshaachana nayo , ohh mambo yako yote na wanaume zako nayapata sijui kuna kifaa katega kwenye hiyo foni ohh email zako zote nazisomaga sijui ni hacker huyu jamaa? hivi nisaidieni kuna kifaa unaweza tega kwenye foni ukasikiliza mazungumzo au kusoma msg? simu yenyewe shost alishanipaga siku hizi ndio nayoitumia japo ni kimeo au jee unaweza ukasoma email za mtu bila kujua password?