Kapata mchumba anaeishi Marekani

Loly

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
509
209
Jamani nimekumbuka kisa kimoja cha rafiki yangu wa karibu sana aliniambia amepata mchumba kwenye mtandao na mchumba mwenyewe ni mbongo anaeishi marekani basi wakawa hawajuani lakini mapenzi yao yalikuwa yamebezi kwenye kutumiana picha kila siku na jamaa marekani antwanga foni kila leo na mazungumzo yao hayapungui dakika 45 misifa kibao anamsifia rafiki yangu eti ohh nikija bongo lazima nimpe mamaako zawadi kwakukulea vizuri ohh umelelewa kimaadili unajua jinsi yakuongea namimi na mengine kibao mara nikija nikuletee zawadi gani ohh niko sasa hivi huku madukani nakufanyia shoping unavaa jinsi saize gani ohh napenda uwe unavaa vimini na mengine kibao.

Jamaa anadai yeye ni diplomat anafanya kazi karibu sana na obama halafu kamkataza rafiki yangu kamwe asijarikumtumia msg labda kubipu tuu eti msg huwa zinachunguzwa ofisini kwao kisa yupo ofisi moja na obama.

sasa sikizeni mkasa ndio unaanzia hapa muda umeendaaaaaahh siku ya kuja bongo ikakaribia kamuahidi mambo kibao dada wawatu anamsubiri kwa furaha akikumbuka maneno ya jamaa kwenye foni usipime, nilichoka huyo jamaa alivyo mwambia rafiki yangu eti anaomba amlipie hotel siku akija wakae hotel Kama wiki kwa gharama za demu Jamani huyu mtu ni diplomat yuko karibu sana na obama hoteli ayoomba alipiwe ni ya 0star isiyozidi 40,000 basi dada kaamini kalipa hoteli jamaa kaja kaenda kupokelewa airport kaja na mabegi 8 makuubwa yamejaa manguo dada siakajua zile shoping alizokua anafanyiwa ndio Kama hivyo chakushangaza kamletea blauzi 2 ambapo huku zishapitwa na wakati na zimeshachakachuliwa sana karikoo na kasuruli kamoja kakitambaa, hivi Jamani huyu kaka alikuwa na nia gani na huyu dada wawatu mwenye kila aina ya nidhamu? haya kingine kilichoniuma zaidi eti anamuomba huyu dada amkopee 1,000,000 atamrudishia akirudi marekani maskini kidogo tuu angempa Kama siyo mimi kumbonya maana nilikuwa nishamshtukia anamkomoa dada wawatu.

Haya dhumuni la kuja huyu kaka nikumuona live mpenziwe yaani shosti wangu nakukubaliana kufunga ndoa lini jibu alilompa ni after three years hapo wamesha last one year hivyo itakuwa jumla 4 years mbaya zaidi huyo jamaa ni bonge kuliko pepekalee mvi kibao kichwani yaani anaumbo la kuzeeka mbaya embu nisaidieni Kama ni wewe ungemshaurije best yako? nimesahau nasikia pia kwenye sita kwa sita jamaa haijiwezi hamridhishi shost kabisaa! ila lijamaa lina masifa ya kufa mtu halafu sio handsome kabisa. shostito wangu ni mrembo balaa ni mstaarabu sio kicheche hata tone ana busara na hekima ni mtu wakubalika kwa kila mtu halafu hapendi makuu kabisa.

Sasa huyu jamaa alivyorudi marekani kampandishia vioo shost kisa alimyima ile hela 1,000,000 ila sijui Kama kuna lingine, aisee shost wangu aliumia maana hakuwa na jamaa mwingine karibia miaka 3 nyuma maana ni mtulivu sana. basi shost wangu baada muda kdg kapata jamaa mpya kavuta ndani sasa hivi ni mama wa mtu yani ni mrs. keshapata mtoto mume wake ni mwanaume wa maana handsome boy, umbo lakiume, kijana mwenzake mvuto wa kutosha, msomi marekani anaenda kaa vile kwenda kariakoo na kurudi yani kila mwezi anarepoti carlifonia maisha swaaafi kabisa.

swali liko hapa huyu jamaa wa marekani hajui Kama shost kesha achana na ukapera anamtishia ohh nilikuletea simu kutoka marekani nirudishie namtuma ndugu yangu aje kuichukua, ohh naweza kukusababishia ukafukuzwa kazi hajui Kama shost sikuhizi ana ofisi yake binafsi na hajira ailshaachana nayo , ohh mambo yako yote na wanaume zako nayapata sijui kuna kifaa katega kwenye hiyo foni ohh email zako zote nazisomaga sijui ni hacker huyu jamaa? hivi nisaidieni kuna kifaa unaweza tega kwenye foni ukasikiliza mazungumzo au kusoma msg? simu yenyewe shost alishanipaga siku hizi ndio nayoitumia japo ni kimeo au jee unaweza ukasoma email za mtu bila kujua password?​
 
mmmh, akili yangu nyembamba haijajua methali, ngoja waje wenye akili pana watoe ushauri.
 
Hizo tracking zote zinawezekana kabisa kwa simu(hasa simu za kupewa) hata email, Japo story yako ina walakini mkubwa sana kwasababu katika zawadi my shost wako alizo letewa haukutaja simu kabisa, ila mwishoni simu imeonekana, kumbe anaweza kuwa aliletewa vitu kibao na ukawa unamlaumu Hayati Pepe buree

Ninapita tu lakini
 
Jamaa anadai yeye ni diplomat anafanya kazi karibu sana na obama halafu kamkataza rafiki yangu kamwe asijarikumtumia msg labda kubipu tuu eti msg huwa zinachunguzwa ofisini kwao kisa yupo ofisi moja na obama.

Nimepata kicheko cha kulalia usiku huu, wadada mnapenda ma-title ndio maana mnadanganyika kila kukicha, mkisikia mtu yuko Marekani basi huwa mnaona si ndio hapo mmepata...ahaa ahaa eti anafanya kazi karibu na Obama na huyo rafiki yako naye akakubali kabisa ujinga huu naye akaingia kingi....kazi kweli kweli
 
Loly
So many contradictory "facts" , which just dont jive.................. to mention a few;
  • Shosti katulia, mrembo, ametunzwa kimaadili yet she went and rented a room for a man she met online that she knew nothing off
  • Shosti kaolewa ana mume mzuri and so forth yet she is bothered by the fact that jamaa kamfungia madirisha alivyorudi US!!?
  • Shosti anatishiwa na jamaa kuchuafuliwa na kuharibiwa kazi yet she is her own boss and works for no one
  • Shosti anadaiwa simu, as per jamaa simu is hacked yet simu yenyewe ni kimeo, kwanza hatumii tena
Duh, anyhow hebu tusubiri ushauri kwa ma "great thinkers"
 
labda huyo jamaa ukiniambia yupo karibu na livingstone lusinde wa mtera naweza kukubali lakini sio karibu na Obama! Kwasababu akili za huyo jamaa ni mbovu kama za lusinde!
 
Story inachanganya sana ndugu yangu.( masifa yamekuwa mengi mno)

Kwa kifupi tu mwambie shost arudishe hiyo simu, blauzi 2 na suruali 1 ya kitambaa. Afu amwambie huyo diplomat asimsumbue tena coz keshakuwa mke wa mtu.
 
hivyo vitu shost alivigawa kipindi hichohicho kwa hasira maana hakutegemea, baadae ndio anakuja kudai
 
Loly
So many contradictory "facts" , which just dont jive.................. to mention a few;
  • Shosti katulia, mrembo, ametunzwa kimaadili yet she went and rented a room for a man she met online that she knew nothing off
  • Shosti kaolewa ana mume mzuri and so forth yet she is bothered by the fact that jamaa kamfungia madirisha alivyorudi US!!?
  • Shosti anatishiwa na jamaa kuchuafuliwa na kuharibiwa kazi yet she is her own boss and works for no one
  • Shosti anadaiwa simu, as per jamaa simu is hacked yet simu yenyewe ni kimeo, kwanza hatumii tena
Duh, anyhow hebu tusubiri ushauri kwa ma "great thinkers"
jamaa hajui maisha shost sio yale tena anajua bado anafanya kazi na anatumia kimeo chake alichomletea
 
Nyie wamarekani na mapozi yenu mnatushika sana wasichana wa tz, si unajua mapenzi hunoga mnapotumia zis iz pyua lavu.

Nimepata kicheko cha kulalia usiku huu, wadada mnapenda ma-title ndio maana mnadanganyika kila kukicha, mkisikia mtu yuko Marekani basi huwa mnaona si ndio hapo mmepata...ahaa ahaa eti anafanya kazi karibu na Obama na huyo rafiki yako naye akakubali kabisa ujinga huu naye akaingia kingi....kazi kweli kweli
 
Loly
So many contradictory "facts" , which just dont jive.................. to mention a few;
  • Shosti katulia, mrembo, ametunzwa kimaadili yet she went and rented a room for a man she met online that she knew nothing off
  • Shosti kaolewa ana mume mzuri and so forth yet she is bothered by the fact that jamaa kamfungia madirisha alivyorudi US!!?
  • Shosti anatishiwa na jamaa kuchuafuliwa na kuharibiwa kazi yet she is her own boss and works for no one
  • Shosti anadaiwa simu, as per jamaa simu is hacked yet simu yenyewe ni kimeo, kwanza hatumii tena
Duh, anyhow hebu tusubiri ushauri kwa ma "great thinkers"

Unajua wakati mwingine unaweza kuandika stori, halafu ukaiyona ni ndefu. Tatizo ni pale unapo-summarize ndipo kasoro kama hizo hujitokeza. hata mimi huwa napata tabu wakati mwingine kufanya summary ili nisiwachoshe Ma-Great Thinker......... Kikubwa ni kuelewa, na ninaamini wengi wetu tumeelewa, labda tujitie hamnazo..................Lol
 
Huu ujiko wa kuwaringia wenzenu kuwa, "Mchumba angu yuko Marekani" unawatokea wengi puani, kuna mmoja alijikuta anazeeka na jamaa kila siku anamdanganya kuwa atamtumia tiketi............... Mpaka leo bado anasubiri atumiwe tiketi na ameshafikisha 40!
 
Ni kama unajiongelea mwenyewe lakini
Unajaribu kutengeneza story ili isionekane
Ni wewe.

Kuhusu jamaa usikute yuko kwenye benefit
Huko marekani.

Kuhusu mdada ashukuru kwa maisha alionayo sasa. Na kama huyo mmarekani
Bado anamsumbua amwambie mumeo.
Na afute mawasiliano na huyo mmarekani.

Kujibu swali lako ni kweli kuna watu wana
Maarifa na hizi technology. Na wanauwezo
Wa kusoma emails zako bila kujua password
Yako ..
 
he heeeee
nilivyokuelewa ni kuwa wewe ndo unaitumia ile simu
kwa hiyo unataka namna ya kuzuia hizo sms na simu za vitisho...

ushauri wangu ni 'kaiuze hiyo simu' kwa mtu,unune nyingine

mchezo umekwisha.....

but duh....hiyo ya kufanya kazi ofisi moja na Obama ni KALI KUPITA KIASI.....

Mnadanganyikaje na uwongo wa kitoto hivyo??????????
 
asipoangalia mayai yake watayakaangia chips, kashindwa kupata hata kibaka mmoja hapa kweli?

Huu ujiko wa kuwaringia wenzenu kuwa, "Mchumba angu yuko Marekani" unawatokea wengi puani, kuna mmoja alijikuta anazeeka na jamaa kila siku anamdanganya kuwa atamtumia tiketi............... Mpaka leo bado anasubiri atumiwe tiketi na ameshafikisha 40!
 
Yeye ameshapata mume, hana shida na huyo pepekalee, sasa anakeep contact nae ili iweje?? Sema kama kuna makubwa zaidi ili asaidiwe! Alafu mumewe anajua kama alishawahi kumdate huyo mtu wa kwa obama? Ajisalimishe kwa mumewe mapema ili siku jamaa likija kurudi bongo kuanzisha soka, lisiwe kubwa sana!
 
Unajua wakati mwingine unaweza kuandika stori, halafu ukaiyona ni ndefu. Tatizo ni pale unapo-summarize ndipo kasoro kama hizo hujitokeza. hata mimi huwa napata tabu wakati mwingine kufanya summary ili nisiwachoshe Ma-Great Thinker......... Kikubwa ni kuelewa, na ninaamini wengi wetu tumeelewa, labda tujitie hamnazo..................Lol

Mtambuzi
Mimi personally sijaelewa and has nothing to do with kujitia hamnazo. Maybe I should ask you this, kama muchumba msichana kashapata mwingine and she is happily married. Tukija kwenye kuchafuliwa msichana amejiajiri so really there is no how that the dude's lies are going to embarass and/or hurt her at least work wise. Lastly simu jamaa anayodai its hacked na atamuaibisha nayo msichana haitumii na keshaigawa............... Sasa when all that is said and done exactly where or what is the problem here? If you asked me I'd said looks like yeye msichana ndiye mwenye upperhand in all of this, au!!??? Plse feel free to educate me!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom