Kanumba ndani ya Big Brother House 2009

kuna conversation nimepata from the big house big brother ilikuwa hivi:
BIG BRIOTHER:hello KANUMBA!why dont u eat?
KANUMBA....Iam closing this month!i will open in the evening when i took my FUTARI.I'm islamic
BIG BROTHER":Mmh
''Mvumilivu hula mbivu.....ila mvundika mbivu hula mbovu''
 
Sioni kama lugha ni tatizo, swala zima ni uelewa n mada itakayokuwa discussed kipindi hicho. Hii lugha ni ya wenyewe kwani kuna watu wamemaliza masters degree and PHD lakini ni vigumu kujieleza kwa kingereza.
Tumpe mda, natumai ana nia dhabiti na upeo wa kuchanganua mambo.
 
kumbukeni mambo ya dar to lagosi jamaa alivyo jiuma kwenye maongezi eti''There is too much pilipili in this food''
Kwa kuwa wadau wamesema yeye ni mwalikwa ngoja tusubili...
 
pale sio sehemu ya kujifunzia ni sehemu ya kuperform kumbuka kosa moja .....,unaosema wana PHD na hawawezi kuongea kiingereza inwzekana sio PHD kama ujuavyo wewe ila ni PHD(Pure Head Damage) vinginevyo haiwezekani.
''Mvumilivu hula mbivu.....ila mvundika mbivu hula mbovu''
Sioni kama lugha ni tatizo, swala zima ni uelewa n mada itakayokuwa discussed kipindi hicho. Hii lugha ni ya wenyewe kwani kuna watu wamemaliza masters degree and PHD lakini ni vigumu kujieleza kwa kingereza.
Tumpe mda, natumai ana nia dhabiti na upeo wa kuchanganua mambo.
 
Last edited:
Hakuna aliyesema lazima uongee kingereza fasaha au uwe ndo best english language speaker ndo uweze kushiriki, hapa tunazungumzia basic english, nahisi hujaangalia BBA ndo maana unadhani watu wanamshambulia kanumba. Richard alikuwa na uwezo wa kuwasiliana na akaeleweka, kanumba hata kujadili tu sentensi moja hawezi, akiulizwa swali anacheka tu maana haelewi ajibu nini

Mfano mzuri ni pale alipoitwa kwenye session na bigie, kila swali akiulizwa na bigie haelewi kila akiulizwa anasema what au ok, sasa hii nini jamani mpaka bigie akaamua amruhusu tu aondoke maana walikuwa hawaelewani kabisa, na mwisho anasema bigie "speak difficult word"

mh

Hata umtetee unamdanganya tu. FYI atatolewa mapema sana. Anatutia aibu tu wabongo kule.
 
FP na wakuu wengine, heshima mbele!

Nasikitika kuwa kuna watu wanachanganya mambo hadi mjadala unarefushwa pasipo sababu. Elimu siyo lugha ila hakuna elimu bila lugha. Ndiyo maana vijana wengi wa bongo wanadunda mzigo vizuri tu kama wenzao wa nchi zinazojidai kuongea kiingereza vizuri ingawa wengi wetu lugha (namaanisha kizungu) ni mgogoro. Kama mtu unakaribishwa kwa heshima yako, basi hao waliokukaribisha lazima wahakikishe mnaweza kuwasiliana. Hapa unao uamuzi. Kuongea lugha yao (kama unaimudu) au kuwambia watafute mkalimani. Hakuna sababu ya kwenda kujichora kwa kuongea lugha ambayo huielewi vizuri na hasa hasa pale unapokuwa umepewa nafasi kwa heshima yako. Kufanya hivyo ni hatari kwani unaweza kutamka neno moja tu na kuiporomosha heshima yako yote.

Mbali na lugha, vijana wengi tuna tatizo la uelewa. Mtu (mfano kijana kamaliza kidato cha 6, HGE) anaulizwa tofauti kati ya Bukoba na Kagera, Songea na Ruvuma au Sumbawanga na Rukwa hajui! Kwa hiyo tunayo kazi kubwa sana ya kupanua uelewa wetu. Bahati mbaya vijana wengi hatupendi kujisomea, siyo lugha tu bali hata kutafuta maarifa ya kawaida!


Mkuu mnanipa imani mi kuendelea kuitetea Tanzania yangu na heshima yake na watu wake.

Angalia mwingine anasema tumekumbatia Ukoloni, sie tunazungumzia MAWASILIANO NA KUELEWANA.

Sasa ina maana sijui wengine wanataka mie nipelekwe kwenye majadiliano ya ki Spanish wakati sijui??

Au niende tu kisha ninyamaze kimya au NIOSHE VYOMBO WAKATI WENGINE WANAJADILIANA KAMA Kanumba alivyofanya!!

Jamani hatuongelei KUSOMA au Kwenda SHULE, tunaongelea kujua hujui na huwezi kuwasiliana na huku ukijipeleka kwenda KUONGEA USICHOKIELEWA!!
 
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Who is your favourite housemate so far?[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Kevin[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
green.gif
18.87 % (127)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Quinn[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
pink.gif
14.86 % (100)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Jeremy[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
darkgreen.gif
12.04 % (81)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Hannington[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
blue.gif
10.40 % (70)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Itai[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
brown.gif
9.66 % (65)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Kaone[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
gold.gif
8.62 % (58)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Edward[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
aqua.gif
7.13 % (48)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Wayoe[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
red.gif
5.94 % (40)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Phil[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
orange.gif
3.86 % (26)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Teddy[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
purple.gif
3.71 % (25)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Yacob[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
yellow.gif
2.97 % (20)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Leonel[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
grey.gif
1.93 % (13)
[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Total votes: 673[/FONT]

Where is Kanumba in the BB House chart above?

Ataondolewa mapema mno!!!

Suala la lugha sijui kama ni kigezo kule ila kwa Tanzania ujue English is our fourth language after, our Kiswahili, mother tongue and father toungue kama wote hawatoki kabila moja!!! Na most of all Kiswahili is our national unification language!! Patamu hapo na hizi academy zetu!! Jamani kila wakati nasema serikali haijaona haja ya kuamua kutumia English as our universal medium of communication??

Kama kuna member hapa ambaye ameshashiriki katika interview panel anakubaliana na mimi kwa wabongo hasa wale waliosoma shule za serikali na zile za private ambazo kiswahili ni mother language!!! Inatisha!!
 
Hata umtetee unamdanganya tu. FYI atatolewa mapema sana. Anatutia aibu tu wabongo kule.

Ndugu yangu mbona wanihukumu bure? hujasoma post yangu kikamilifu, sijamtetea Kanumba please read my posts ziko zaidi ya nne ndo ujue nimemtetea au la

heshima mbele
 
Utani: Akicomment omarelias wengine humu husema tatizo madrasa sasa huyu tatizo seminari au,teh teh?
 
wakati watu wa nchi nyingine wanajivunia kujua lugha nyingi sisi tunaambiana kwamba haina umuhimu.kuna tabia ya kupotoshana sana kuhusu kujua english kwenye jamii yetu.hii lugha itakusaidia wewe binafsi kwenye kuwasiliana na watu wa jamii nyingine ambao hawaongei lugha ya kiswahili na sio kwamba inamaanisha una elimu.english hio hio ingemsaidia zaidi kanumba kwenye kipaji chake na kuweza kuigiza na watu tofauti wa nchi zingine au kama kweli mnamshauri kwamba english sio muhimu basi mwambieni atafute mkalimani ambae atamuakilisha pale anapoitajika kuwasiliana kwa lugha hio.
 
Nilikuwa nasoma blog moja hivi....inaitwa Egoimagekenya....naona imetoa list ya housemates na kwamba housemates wa kike wataingia ijumaa...na hii list ya sasa ya housemates w akiume hakuna kutoka Tanzania...uwezekano representative wa kutoka tanzania atakuwa mwanamke...ila kanumba na wenzake 3 ni celebrities ambao wako humo ndani kuwakaribisha tuu hao housemates celebrities wengine apart from Kanumba ni Nohle Thema,Tuvi James na Khanyi Mbau....
 
...mnafanya mchezo kuongea kizungu nyie? Mimi wala simcheki, i've heard the worst toka kwa mtu ambaye kwa cheo na kisomo chake wala sikumtarajia ingawa kamaliza mpaka Digirii!...

Abarikiwe sana huyo aliyeanzisha hizi Academy, ile mitaala ya "Juma na Roza" yaliturudisha nyuma sana kwa sie wa umri wa kati compared na wenzetu wa Kenya na Uganda.
 
mimi kinachonikasirisha ni kuwa kigezo walichotumia kumpeleka kanumba,eti ni mtu maarufu nchini na nchi jirani,sasa kwa nini hawakumpeleka tid au wema au jokate au yeyote yule maarafu ambaye lugha ya kiingereza kwake sio tatizo,hata banana angetusave na aibu hiyo ya kanumba,
 
Nilikuwa nasoma blog moja hivi....inaitwa Egoimagekenya....naona imetoa list ya housemates na kwamba housemates wa kike wataingia ijumaa...na hii list ya sasa ya housemates w akiume hakuna kutoka Tanzania...uwezekano representative wa kutoka tanzania atakuwa mwanamke...ila kanumba na wenzake 3 ni celebrities ambao wako humo ndani kuwakaribisha tuu hao housemates celebrities wengine apart from Kanumba ni Nohle Thema,Tuvi James na Khanyi Mbau....

helloooo................
 
nchi yetu kwa hii lugha ya english bado tuko nyuma, sio kanumba peke yake aliiyoshemsha. Wapo wengi huwa wanashemsha tena wenye elimu za maana kuliko huyo kanumba.
Ingekuwa vyema watu kuweka mikakati haswa kwenye familia zao kuanza kuongea hii english, maana utakuta mtoto hata kama anasoma academy school, english ataongea shule tu lakini akirudi home mzazi anamuongelesha kiswahili. Wito kwa wazazi mpende kuongea english na watoto wenu maana inaoneka hii lugha ni ya kimataifa. Mtu akishindwa ndio kama hivyo watu wanamcheka.
Kanumba inabidi urudi shule tena ujifunze vizuri english, hata english course unaweza kwenda ili ujue kujifunza how to improve your oral english.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom