Kanumba: Masharti manne aliyomwekea lulu ili kulinda penzi lao

Hivi wewe una akili sawa sawa kweli? ni Taifa lipi ambalo linaomboleza kifo cha mbakaji na mzinzi Kanumba? na unaposema watu bado wana machungu ni wewe na nani? maana mimi usije ukanihesabu kwenye kundi la wapuuzi.

Na kama uko Interested kujuwa hatma ya Lulu yeye ni under 17 na alikuwa anabakwa na huyu mbakaji na mzinzi Kanumba. Lulu she will be Acquitted, soon or later.

ww acha ujinga umati uliojitokeza siku ile leaders, wat zaidi ya miatano kuzimia na habari zilivyo jaa kweny tv zote niushahidi tosha kuwa watz walikuwa kwenye msiba wakiomboleza.
 
naiamini hii habari. Juzi nimezungumza na dada mmoja askari pale Oysterbay akanisimulia the same.

Unaiamini kwa kuwa pia umesimuliwa na askari-wp? achana na hiyo,askari wenyewe mbona magumashi tu? c ndo hawa wanaouza madawa ya kulevya exihibit na kuubadilisha na chokaa? c ndo hawa wanashirikiana na majambazi armed na pia political kama wa ccm kuibia watu? acha hiyo kitu mkuu
 
529802_289719597773160_100002053662830_707128_273834368_n.jpg

bado taifa linaombeleza kifo cha msanii nyota wa filamu za bongo, steven charles kanumba kilichotokea aprili 7 mwaka huu nyumbani kwake, sinza, dar es salaam.
Kifo cha msanii huyo kinamhusisha msanii nyota wa kike wa tasnia hiyo nchini, elizabeth michael ‘lulu’ ambaye anasemekana aligombana naye kwa mambo ya mapenzi na kumsukuma.
Lulu alishikiliwa na polisi wa kituo cha oysterbay cha jijini dar es salaam kwa mahojiano zaidi kufuatia kifo cha mpenzi wake huyo.
Hapo ndipo kwenye habari! Kwamba, kumbe marehemu kanumba na lulu walikuwa wapenzi! Ni vigumu kwa watu kuamini au kukubali, lakini ukweli unabaki kuwa huo.

Mwanzo wa mapenzi
kwa mujibu wa watu wa karibu na marehemu kanumba ambao walifunguka baada ya kifo huku wakiomba kusitiriwa kwa majina yao, wawili hao walianza uhusiano wakiwa katika safari moja ya sanaa mjini moshi, kilimanjaro. Safari hiyo ilihusisha kundi zima la bongo movie club.
Kanumba ndiye aliyemtongoza lulu na kukubaliwa na kuanzia hapo uhusiano wao ulianza rasmi. Lulu alianza kwenda nyumbani kwa kanumba bila kipingamizi.
Majirani wa kanumba wanakiri kuwa, mara kadhaa lulu alikuwa akifika nyumbani hapo na ilifika wakati walikuwa wakipika na kupakua kama mke na mume.

Mpango wa kanumba
kwa mujibu wa habari hizo, marehemu kumtaka lulu kimapenzi hakukuwa kwa ajili ya kujifurahisha nafsi bali kumuoa kwa ndoa na kuwa mke na mume.

Utambulisho ulishaanza
kanumba alishaanza hatua ya awali ya maandalizi ya uchumba wao kwa kumpeleka lulu kwa watu wake wa karibu na kumtambulisha.
Mtu ambaye kuna uhakika alishakutanishwa na lulu ni msanii na mama mlezi wa wasanii bongo, husna poshi ‘dotnata’.
Inadaiwa kuwa, kanumba alifunga safari na lulu hadi nyumbani kwa dotnata, ubungo ya riverside, dar ambapo aliweka wazi uhusiano wake na msanii huyo na mipango ya kumuoa.
Habari za ndani zinadai kuwa dotnata, mbali na kushtuka alimuuliza lulu kama atatulia baada ya kuwa na kanumba kwa lengo la kufunga ndoa ambapo msanii huyo alisema ameshatulia.
Aidha, habari zinasema kuwa, kanumba alimhakikishia dotnata kuhusu uhusiano wake na lulu huku akisisitiza si wa kuchezeana.

Masharti 4 aliyomwekea lulu ili kulinda penzi lao
wakiwa ndani ya mapenzi motomoto, inadaiwa kanumba alihisi penzi lao lingeweza kuvuja kabla ya muda aliotaka yeye, hivyo alimpa masharti manne lulu ili kulilinda penzi hilo na mikono ya mapaparazi.

Sharti nambari moja
lulu hakutakiwa kuzungumza na mwandishi yeyote wa habari kuhusu uhusiano wao na kama ni kusema, basi msemaji mkuu angekuwa kanumba mwenyewe.
“lulu aliambiwa kuwa asije akalianika penzi lao kwa watu, hasa waandishi wa habari. Na kama ni kuliweka wazi, basi mwenyewe ndiye angekuwa msemaji mkuu”

sharti nambari mbili
kanumba alimwambia lulu anapokwenda na kutoka nyumbani kwake, alitakiwa kupanda taksi moja yenye ‘tinted’ inayopaki kituo cha vatican city hotel, sinza.
Kituo hicho kipo umbali wa mita kama thelathini kutoka nyumbani kwa marehemu.

Sharti namba tatu
lulu alitakiwa kuachana na tabia za zamani, hasa za kupatikana kwenye vilabu vya usiku huku akiwa amelewa, sambamba na kuepuka vituko mbalimbali ambavyo vingeweza kumchafua katika jamii.
“kama vile haitoshi, lulu alipigwa marufuku kwenda kwenye vilabu vya usiku akiwa peke yake au na kampani mbaya.
“pia akaambiwa aepuke vituko vya hapa na pale ambavyo vikinaswa na waandishi wa habari na kuandikwa vitamharibia sifa katika jamii,” kwa kutii sharti hilo ndiyo maana miezi ya hivi karibuni, lulu alikauka kwenye vyombo vya habari.

Sharti namba nne
kanumba, kwa vile alishajua mipango ya baadaye na lulu ni kuishi pamoja, alimtaka aachane na wanaume wake wa zamani na kuanza kurasa mpya na yeye, jambo ambalo lulu alilitii.
Lakini katika yote, inaonekana marehemu alisahau kuweka masharti juu ya matumizi ya simu kwani ndiyo tatizo lililoibukia hapo na kusababisha kifo.

kama mdogo wako ndio angekua anabakwa na kanumba au kanumba angekua anakubaka wewe nadhani ungekaa kimya wala usingeshabikia huu upuuzi!
 
529802_289719597773160_100002053662830_707128_273834368_n.jpg

BADO taifa linaombeleza kifo cha msanii nyota wa filamu za Bongo, Steven Charles Kanumba kilichotokea Aprili 7 mwaka huu nyumbani kwake, Sinza, Dar es Salaam.
Kifo cha msanii huyo kinamhusisha msanii nyota wa kike wa tasnia hiyo nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye anasemekana aligombana naye kwa mambo ya mapenzi na kumsukuma.
Lulu alishikiliwa na polisi wa kituo cha Oysterbay cha jijini Dar es Salaam kwa mahojiano zaidi kufuatia kifo cha mpenzi wake huyo.
Hapo ndipo kwenye habari! Kwamba, kumbe marehemu Kanumba na Lulu walikuwa wapenzi! Ni vigumu kwa watu kuamini au kukubali, lakini ukweli unabaki kuwa huo.

MWANZO WA MAPENZI
Kwa mujibu wa watu wa karibu na marehemu Kanumba ambao walifunguka baada ya kifo huku wakiomba kusitiriwa kwa majina yao, wawili hao walianza uhusiano wakiwa katika safari moja ya sanaa mjini Moshi, Kilimanjaro. Safari hiyo ilihusisha kundi zima la Bongo Movie Club.
Kanumba ndiye aliyemtongoza Lulu na kukubaliwa na kuanzia hapo uhusiano wao ulianza rasmi. Lulu alianza kwenda nyumbani kwa Kanumba bila kipingamizi.
Majirani wa Kanumba wanakiri kuwa, mara kadhaa Lulu alikuwa akifika nyumbani hapo na ilifika wakati walikuwa wakipika na kupakua kama mke na mume.

MPANGO WA KANUMBA
Kwa mujibu wa habari hizo, marehemu kumtaka Lulu kimapenzi hakukuwa kwa ajili ya kujifurahisha nafsi bali kumuoa kwa ndoa na kuwa mke na mume.

UTAMBULISHO ULISHAANZA
Kanumba alishaanza hatua ya awali ya maandalizi ya uchumba wao kwa kumpeleka Lulu kwa watu wake wa karibu na kumtambulisha.
Mtu ambaye kuna uhakika alishakutanishwa na Lulu ni msanii na mama mlezi wa wasanii Bongo, Husna Poshi ‘Dotnata’.
Inadaiwa kuwa, Kanumba alifunga safari na Lulu hadi nyumbani kwa Dotnata, Ubungo ya Riverside, Dar ambapo aliweka wazi uhusiano wake na msanii huyo na mipango ya kumuoa.
Habari za ndani zinadai kuwa Dotnata, mbali na kushtuka alimuuliza Lulu kama atatulia baada ya kuwa na Kanumba kwa lengo la kufunga ndoa ambapo msanii huyo alisema ameshatulia.
Aidha, habari zinasema kuwa, Kanumba alimhakikishia Dotnata kuhusu uhusiano wake na Lulu huku akisisitiza si wa kuchezeana.

MASHARTI 4 ALIYOMWEKEA LULU ILI KULINDA PENZI LAO
Wakiwa ndani ya mapenzi motomoto, inadaiwa Kanumba alihisi penzi lao lingeweza kuvuja kabla ya muda aliotaka yeye, hivyo alimpa masharti manne Lulu ili kulilinda penzi hilo na mikono ya mapaparazi.

SHARTI NAMBARI MOJA
Lulu hakutakiwa kuzungumza na mwandishi yeyote wa habari kuhusu uhusiano wao na kama ni kusema, basi msemaji mkuu angekuwa Kanumba mwenyewe.
“Lulu aliambiwa kuwa asije akalianika penzi lao kwa watu, hasa waandishi wa habari. Na kama ni kuliweka wazi, basi mwenyewe ndiye angekuwa msemaji mkuu”

SHARTI NAMBARI MBILI
Kanumba alimwambia Lulu anapokwenda na kutoka nyumbani kwake, alitakiwa kupanda taksi moja yenye ‘tinted’ inayopaki Kituo cha Vatican City Hotel, Sinza.
Kituo hicho kipo umbali wa mita kama thelathini kutoka nyumbani kwa marehemu.

SHARTI NAMBA TATU
Lulu alitakiwa kuachana na tabia za zamani, hasa za kupatikana kwenye vilabu vya usiku huku akiwa amelewa, sambamba na kuepuka vituko mbalimbali ambavyo vingeweza kumchafua katika jamii.
“Kama vile haitoshi, Lulu alipigwa marufuku kwenda kwenye vilabu vya usiku akiwa peke yake au na kampani mbaya.
“Pia akaambiwa aepuke vituko vya hapa na pale ambavyo vikinaswa na waandishi wa habari na kuandikwa vitamharibia sifa katika jamii,” kwa kutii sharti hilo ndiyo maana miezi ya hivi karibuni, Lulu alikauka kwenye vyombo vya habari.

SHARTI NAMBA NNE
Kanumba, kwa vile alishajua mipango ya baadaye na Lulu ni kuishi pamoja, alimtaka aachane na wanaume wake wa zamani na kuanza kurasa mpya na yeye, jambo ambalo Lulu alilitii.
Lakini katika yote, inaonekana marehemu alisahau kuweka masharti juu ya matumizi ya simu kwani ndiyo tatizo lililoibukia hapo na kusababisha kifo.

Sharti namba 4 hakulitii Mkuu ndo maana alikuwa bado anaendelea kubanana na Mke wa Captaiin,na habari za ndani zinasema kila walipokuwa wanapata fursa ya kuonana na Mheshimiwa faragha ndo Cement zilivyokuwa zinazidi kwenda kule kwenye Site yake Kimara.
 
ww acha ujinga umati uliojitokeza siku ile leaders, wat zaidi ya miatano kuzimia na habari zilivyo jaa kweny tv zote niushahidi tosha kuwa watz walikuwa kwenye msiba wakiomboleza.
Siamin Ule ulikuwa ni mkusanyiko wa wajinga na mzezeta kama wewe msiokuwa na shughuli za kufanya, kamwe Taifa haliwezi kuomboleza kifo cha Mzinzi na mbakaji na ambaye alikufa akitaka kumbaka binti ambaye yuko chini ya miaka 18.

Wewe ni msukule kama ilivyo Misukule mingine na ndio maana huelewi lolote lakini kwa kifupi Kanumba ni Rapist na tutamsomea hukumu hata pale kwenye kaburi lake huyu mbakaji.
 
This is too much mkuu. U have gone too far. Punguza jazba.
 
Sharti namba 4 hakulitii Mkuu ndo maana alikuwa bado anaendelea kubanana na Mke wa Captaiin,na habari za ndani zinasema kila walipokuwa wanapata fursa ya kuonana na Mheshimiwa faragha ndo Cement zilivyokuwa zinazidi kwenda kule kwenye Site yake Kimara.

Mheshimiwa gani huyo mkuu?
 
Hivi wewe una akili sawa sawa kweli? ni Taifa lipi ambalo linaomboleza kifo cha mbakaji na mzinzi Kanumba? na unaposema watu bado wana machungu ni wewe na nani? maana mimi usije ukanihesabu kwenye kundi la wapuuzi.

Na kama uko Interested kujuwa hatma ya Lulu yeye ni under 17 na alikuwa anabakwa na huyu mbakaji na mzinzi Kanumba. Lulu she will be Acquitted, soon or later.

Kweli mzee kama wanaomboleza kifo cha kanumba ndio 'watu' naomba niitwe kuku na wanaoomboleza ndio taifa naomba nifutwe uraia oh,kwa kuwa mi ni kuku bora nichinjwe maramoja! haiwezekani mtu wa aina ile atukuzwe vile!nakubali tukizungumzia sanaa ya maigizo ana nafasi yake lakini linapokuja suala la yeye kama mwanajamii amefeli bwana na mungu amsamehe uko alipo!
 
ww acha ujinga umati uliojitokeza siku ile leaders, wat zaidi ya miatano kuzimia na habari zilivyo jaa kweny tv zote niushahidi tosha kuwa watz walikuwa kwenye msiba wakiomboleza.
wewe ndio mjinga no. 1 kwaiyo kwa vigezo ivyo ndo tz inaomboleza msiba !
Labda bendera ya chama chenu ndio ilipepea nusu mlingoti !
Watu gani wanazimia cm hazitoki mkononi !
Watu walijaa kwa malengo yao binafsi wengine biashara ndo ziliwaweka pale
 
jamani hivi aliyeanzisha hii thread si kuna kipindi alituandikia thread kwamba anatuaga anaenda shule na hataweza kuchanganya vitu viwili yani shule na JF, sasa anafanya nini humu ndani au amedisco?
 
wewe ndio mjinga no. 1 kwaiyo kwa vigezo ivyo ndo tz inaomboleza msiba !
Labda bendera ya chama chenu ndio ilipepea nusu mlingoti !
Watu gani wanazimia cm hazitoki mkononi !
Watu walijaa kwa malengo yao binafsi wengine biashara ndo ziliwaweka pale

Usemayo ni kweli kabisa mkuu.
 
Mbona masharti yanafanana kabisa na yale ambayo kila mwanaume anayoa baa medi lazima ampe mke mtalajiwa?
 
Mbona masharti yanafanana kabisa na yale ambayo kila mwanaume anayoa baa medi lazima ampe mke mtalajiwa?

Hivi wewe Ndebile ni msukuma? Umejuaje kuwa masharti kama haya huwa yanatolewa na wanaume ambao huwa wanaoa ma bar maid?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom