KANU yabadili jina

MdogoWenu

JF-Expert Member
Dec 23, 2009
555
915
Ilikuwa inaitwa Kenya African National Union (KANU)

Sasa inaitwa: Kenya Alliance Of National Unity (KANU)
 
Hatimae historia imekamilika. Kilichobaki ni story tu kwa watoto na wajukuu. Next ni ccm!
 
inanikumbusha nyerere alivyofanya kila hila kubadili jina la tanu.

hivi huyo nyerere alikuwa peke yake???? Basi alikuwa na akili sana kuweza ku manipulate watu woooooooooooooooooote na yeye kuwa kinara. Hivi na yeye si alikuwa gamba damu damu???
 
Kwani Jina lilitakiwa lisibadilike? Ukiwa na chuki na mtu utachukia hata akienda msalani, utadai eti kakosea!

Kuna sababu ya kuwa na mapinduzi? Tulimpindua nani?

Mimi nnaijuwa sababu ya kuitwa Chama Cha Mapinduzi. Jee, wewe unaijuwa?
 
Back
Top Bottom