Kenya leo wanapanda miti Milioni 100. Haya ni mambo Tanzania tunapaswa kuiga

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,826
9,533
Tuna changamoto kubwa sana ya ukame miaka ya hivi karibuni hasa mikoa ya kanda ya kati. Pia, tuna changamoto kubwa sana ya ukataji miti. Upandaji miti ni suluhisho la kuitunza Tanzania ya kesho.

Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira ituongoze kwenye huu mpango uwe wa kitaifa. Wenzetu wameiweka siku ya leo kuwa holiday. Tuikijanishe Tanzania ya kesho. Tuchukue hatua sasa.

===

The Kenyan government has declared that Monday will be a “special holiday” in which people nationwide will be expected to plant trees to help with the country’s land restoration efforts.

Kithure Kindiki, cabinet secretary for the Interior and Administration of National Government in Kenya, made the announcement in a post on X on Monday in which he wrote, “the public across the Country shall be expected to plant trees as a patriotic contribution to the national efforts to save our Country from the devastating effects of Climate Change.”

Posting an official notice declaring November 13, 2023 to be National Tree Growing Day, Kindiki added that those with national exams that day “shall proceed normally.”

The exercise will form part of Kenya’s Landscape and Ecosystem Restoration Program, which aims to grow and nurture 15 billion trees by 2032 to restore and conserve 10.6 million hectares of degraded landscapes and ecosystems, according to the notice.

There will be a national venue and 47 county venues dedicated to the tree planting, “where all Kenyan citizens and the general public will be expected to participate,” the notice said.

Kenya’s forest cover decreased from 12% to just 6% between 1990 and 2010, according to the United Nation's Food Agricultural Organization (FAO). In 2022, the figure went up to 9%, according to the Kenya Forest Service, which said in a post on X on Monday that it “welcomes all Kenyans to mark the celebration” by planting trees.

CNN
 
Miti ni trend TU ila tuanze kuokota takataka kwanza na baada ya kusafisha nchi tuoteshe miti.
Kwa nini Rwanda ni Bora Kwa mazingira na si Kenya.
 
Haya mazoezi ya upandaji miti tz tunafanya sana ipende nchi yako yako mazuri yanafanywa na yapo mengi ya hovyo pia
 
Usisubirie matamko ya upandaji miti kutoka kwa serikali kwamba huwezi panda miti mpaka serikali itamke
Upandaji miti unaanzia nyumban kwako na maeneo unayofanyia kazi
 
Binafsi naotesha miti mingi tu Mufindi na Rungwe so naongea kitu nachokiishi
 
Tuna changamoto kubwa sana ya ukame miaka ya hivi karibuni hasa mikoa ya kanda ya kati. Pia, tuna changamoto kubwa sana ya ukataji miti. Upandaji miti ni suluhisho la kuitunza Tanzania ya kesho.

Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira ituongoze kwenye huu mpango uwe wa kitaifa. Wenzetu wameiweka siku ya leo kuwa holiday. Tuikijanishe Tanzania ya kesho. Tuchukue hatua sasa.

===

The Kenyan government has declared that Monday will be a “special holiday” in which people nationwide will be expected to plant trees to help with the country’s land restoration efforts.

Kithure Kindiki, cabinet secretary for the Interior and Administration of National Government in Kenya, made the announcement in a post on X on Monday in which he wrote, “the public across the Country shall be expected to plant trees as a patriotic contribution to the national efforts to save our Country from the devastating effects of Climate Change.”

Posting an official notice declaring November 13, 2023 to be National Tree Growing Day, Kindiki added that those with national exams that day “shall proceed normally.”

The exercise will form part of Kenya’s Landscape and Ecosystem Restoration Program, which aims to grow and nurture 15 billion trees by 2032 to restore and conserve 10.6 million hectares of degraded landscapes and ecosystems, according to the notice.

There will be a national venue and 47 county venues dedicated to the tree planting, “where all Kenyan citizens and the general public will be expected to participate,” the notice said.

Kenya’s forest cover decreased from 12% to just 6% between 1990 and 2010, according to the United Nation's Food Agricultural Organization (FAO). In 2022, the figure went up to 9%, according to the Kenya Forest Service, which said in a post on X on Monday that it “welcomes all Kenyans to mark the celebration” by planting trees.

CNN
Yaanu hii mikakaiti ndio Akili sasa
 
Usisubirie matamko ya upandaji miti kutoka kwa serikali kwamba huwezi panda miti mpaka serikali itamke
Upandaji miti unaanzia nyumban kwako na maeneo unayofanyia kazi
Mambo ya mabadiliko yanahitaji Sera za kimfumo......kupanda miti watu wanapanda kwa kujisikia tu.

Wanapanda miti 100 wanakata Miti Milioni 1000
 
Sheria ikazwe. Kilimanjaro wanajitahidi sana kusimamia sheria, ukataji miti sio kiholela kama maeneo mengine ya nchi. Inatakiwa kuwe na sheria na mfumo madhubuti wa usimamiaji depletion ya uoto wa miti ni kubwa. Pia tufikirie kutumia madampo kwenye miji yetu kuzalisha nishati ya Mkaa mbadala. Mkaa mbadala uondolewe kabisa kodi tuokoe miti.
 
Vijana,kizazi cha sasa hawana muda na mambo hayo....wao waambie kuna matamasha mahali au wapi wakakate mauno
Wakati wetu tushawapandia sana miti
Tukiwa kama members wa roots&shoot na friends of usambara pia...
Leo hii umuambie kijana akapande miti si atakushangaa

Ova
 
Sheria ikazwe. Kilimanjaro wanajitahidi sana kusimamia sheria, ukataji miti sio kiholela kama maeneo mengine ya nchi. Inatakiwa kuwe na sheria na mfumo madhubuti wa usimamiaji depletion ya uoto wa miti ni kubwa. Pia tufikirie kutumia madampo kwenye miji yetu kuzalisha nishati ya Mkaa mbadala. Mkaa mbadala uondolewe kabisa kodi tuokoe miti.
Kila penye jambo jema ujue watu wamefanyia kazi sio siasa za ccm na madaraka
 
Tuna changamoto kubwa sana ya ukame miaka ya hivi karibuni hasa mikoa ya kanda ya kati. Pia, tuna changamoto kubwa sana ya ukataji miti. Upandaji miti ni suluhisho la kuitunza Tanzania ya kesho.

Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira ituongoze kwenye huu mpango uwe wa kitaifa. Wenzetu wameiweka siku ya leo kuwa holiday. Tuikijanishe Tanzania ya kesho. Tuchukue hatua sasa.

===

The Kenyan government has declared that Monday will be a “special holiday” in which people nationwide will be expected to plant trees to help with the country’s land restoration efforts.

Kithure Kindiki, cabinet secretary for the Interior and Administration of National Government in Kenya, made the announcement in a post on X on Monday in which he wrote, “the public across the Country shall be expected to plant trees as a patriotic contribution to the national efforts to save our Country from the devastating effects of Climate Change.”

Posting an official notice declaring November 13, 2023 to be National Tree Growing Day, Kindiki added that those with national exams that day “shall proceed normally.”

The exercise will form part of Kenya’s Landscape and Ecosystem Restoration Program, which aims to grow and nurture 15 billion trees by 2032 to restore and conserve 10.6 million hectares of degraded landscapes and ecosystems, according to the notice.

There will be a national venue and 47 county venues dedicated to the tree planting, “where all Kenyan citizens and the general public will be expected to participate,” the notice said.

Kenya’s forest cover decreased from 12% to just 6% between 1990 and 2010, according to the United Nation's Food Agricultural Organization (FAO). In 2022, the figure went up to 9%, according to the Kenya Forest Service, which said in a post on X on Monday that it “welcomes all Kenyans to mark the celebration” by planting trees.

CNN
Umeongea jambo, hawa mabalozi wa nyumba kumi wangekuwa pia ndiyo wasimamizi wa mazingira na upandaji miti kwenye balozi zao, ambapo kila familia inapaswa kupanda miti kila mwaka, pia mipango miji ingetenga maeneo ya upandaji miti lakini viongozi wetu wamelala.

Ukienda mkoa wa Kilimanjaro utasikitika sana ifike wakati sasa hata hawa viongozi wa kisasa wapimwe kwa kazi ya uhifadhi wa mazingira na upandaji miti
 
Back
Top Bottom