Kanisa ambalo mchungaji wake ni haramu kwake kukanyaga chini

evansGREATDeal mbona umekimbia?
Unaona aibu kusema "Hujui majina ya wazazi wa waandishi wa BIBILIA?.

Kutokujua sio Ujinga. Lkn kukaa kimya ni kuonyesha Udhaifu wako wa kutoijua Imani yako na kufuata km bendera inavyo fuata Upepo.

Rudi huku ujibu swali tafadhali.
Ahsanta
ndugu misipendi ubishi usio na faida mkuu
swala la jina la baba ndo linampeleka mtu mbinguni??
jamaa vipi,...ongea logic njoo kwenye mada....usiongee vitu hovyohovyo unajidhalilisha
jina la baba linahusiana nini na imani,unajiaibisha mkuu kahtaan
njoo kwenye logic.......alafu misibishani na mtu ambaye hana maarifa ya anachobishania....
we jifariji unajua bible wakat u mtupu..
 
Ukinipa hayo majina ya WAZAZI wa hawa Waandishi wa AGANO JIPYA na mimi Nabatizwa leo.leo
huwez kuniaminisha nikupe majina ndo ubatizwe...
ubatizwe kisa majina,.huu siunafiki mkuu
ushindwe kubatizwa kwa kumuamini Yesu,ubatizwe kisa jina la yohanna na akina mathayo....
huu unafiki mkuu
kma umeshindwa kubatizwa kwa kumuamini Yesu,jina kitu gani..huu unafiki kahtaan
 
ndugu misipendi ubishi usio na faida mkuu
swala la jina la baba ndo linampeleka mtu mbinguni??
jamaa vipi,...ongea logic njoo kwenye mada....usiongee vitu hovyohovyo unajidhalilisha
jina la baba linahusiana nini na imani,unajiaibisha mkuu kahtaan
njoo kwenye logic.......alafu misibishani na mtu ambaye hana maarifa ya anachobishania....
we jifariji unajua bible wakat u mtupu..
Unaona ulivyo mpuuzi! Unazua maneno kwa kukosa Jibu.

Hakuna sehemu nimesema Jina litakupeleka mbinguni.

Hakuna BINAADAMU YYT ktk uso wa hii Dunia ASIETUMIA JINA LA BABA. Au Jina La UKOO WAKE. ispokuwa ADAM Peke yake ambae Ndio Aliyekuwa BINAADAMU WA KWANZA.

Nimekuuliza ili sisi Tukubali kuwa Waandishi wa BIBLIA ni watu waliowahi Kuishi hapa duniani NA SIO UTAPELI basi Tunaomba Majina ya Baba zao.
Kuna logic zaidi ya hio?

Vipi mtu asiwe na JINA LA BABA halafu uite hio Ni LOGIC?
Unafahamu hata maana ya LOGIC?
 
ok sawa mi ni mpuuzi..
amini uaminivyo ni akili yako...
so point yako ni nini????
kma huamini existance ya hao waliondika hizo bible
ulikuwa unaquote nini saSA???
unaquote vipi kitu usichoamini creation zake??????????
mkuu we ni mzima kiakili?????
au all days nlikuwa namuelewesha shehe aliyedata??
Now your talking.

Nilitaka uulize hili swali muda mrefu.

Na jibu lake ni kuwa Narudia kauli yangu ya mwanza kuwa AGANO JIPYA ni usanii mtupu wa PAULO aliochanganya maneno ya Kweli na UONGO. Na Uongo ni 80%.
MANAKE kwa Taarifa yako 80% ya Agano JIPYA Kaandika PAULO.

NDIO nikawa nasema siku Zote WAKRISTO Biblia HAMUIJUI.

we kesho nenda kamuulize Padri wako majina ya Wazee wa hawa Waandishi wa Biblia Uone kama atakupa jibu.
Saana atakwambia Una pepo!
 
Teh teh teh.
Wewe ndio unajiita Bible scholar.
Hao wasio na elimu ya Bibilia wana hali gani?

Umeshindwa kunipa majina ya Wazazi wa Waandishi wa BIBLIA
Kitu mambacho ni cha kawaida kabisa kwa binaadamu kukitambua.
Unapindisha uzi na kutukana.

Bora wasomaji wa Uzi huu waone namna Imani yako ilivyojaa Usanii.

Mtu asiejua Jina la Baba yake ni MTOTO WA ZINAA.
nakuuliza
Mathew,
Mark,
Luke .
Na
JOHN hawa ni Watoto wa ZINAA?

BABA ZAO KINA NANI?
Ngoja nikujibu ww khataan john baba yake ni zebedayo au unabisha
 
Ngoja nikujibu ww khataan john baba yake ni zebedayo au unabisha

Teh teh teh teh. Umekuja kubishana hapa! Jibu lisilo na ushahidi wa Andiko lilaaniwe.
La kwako tayari lina laana lkn juu ya kubahatisha kwako Nafurahi kuona wakristo wengine wamelisoma Swali hili muhimu.
Sasa fanyeni Homework .

Mi nasubiri jibu.
 
Hiv unazani mm na bahatisha kama ww soma marko 1:19:20 alafu uwe na akili ww shetani
 
Ukristo ni dini iliyotengenezwa na watu ndio maana kila mara inabadilika mpaka wamefikia kuabudu sanamu la shetani. Sishangai kwa sababu hii dini haukutoka kwa Mungu.

Yesu ni Muislamu, (Paulo ndio mwanzilishi wa Ukristo).

Lakini dini zote bahati mbaya zinaabudu vitu mbalimbali kama mawe, sanamu, watu, nk.
 
H
Unaona ulivyo mpuuzi! Unazua maneno kwa kukosa Jibu.

Hakuna sehemu nimesema Jina litakupeleka mbinguni.

Hakuna BINAADAMU YYT ktk uso wa hii Dunia ASIETUMIA JINA LA BABA. Au Jina La UKOO WAKE. ispokuwa ADAM Peke yake ambae Ndio Aliyekuwa BINAADAMU WA KWANZA.

Nimekuuliza ili sisi Tukubali kuwa Waandishi wa BIBLIA ni watu waliowahi Kuishi hapa duniani NA SIO UTAPELI basi Tunaomba Majina ya Baba zao.
Kuna logic zaidi ya hio?

Vipi mtu asiwe na JINA LA BABA halafu uite hio Ni LOGIC?
Unafahamu hata maana ya LOGIC?
Hayo maswali kamuulize kwanza Muhammad, zile haya zilizomshukia akiwa amepagawa mapepo zilitoka kwa Allah au Shatani.
 
Kijana usilete kiburi wakati andiko hulijui.

Marko 1:19 imewataja Yakobo na Yohana na kusema kuwa hawa ni ndugu.

Na Aliyepewa jina la Zebedayo hapa kwa upande wa Baba yake ni YAKOBO( JACOB ) ambae alikuwa na Watoto 12 .
na Sio Yohana. (JOHN).

Na Kauli hii ya Kumuita YAKOBO mwana wa ZEBEDAYO Yesu aliirudia ktk Marko 3:17.

undugu wa Yakobo na Yohana Sio undugu wa Baba mmoja. Bali ni baba wa Kufikia. Japo Yesu aliwaita Ndugu na pia ktk Mstari huo huo akawaita ni watoto wa ngurumo.
Yesu akawaita Yakobo, mwana wa Zebedayo, na Yohana nduguye Yakobo, akawapa jina la Boanerge, maana yake, wana wa ngurumo;

Sasa kwa akili yako Yesu alimaanisha ZEBEDAYO ndio NGURUMO?

Kwa mujibu wa ANDIKO mwenye kuitwa kwa majina yote mawili kwa wakati Mmoja ni YAKOBO peke yake.
Na Yohana Kaitwa Ni ndugu tu wa YAKOBO ktk kila mstari.

Unaleta Kiburi wakati Biblia huijui?

Nakuuliza Tena. Nani baba wa hawa Waandishi wa BIBLIA.?

MATHAYO.
MARKO.
LUKA.
YOHANA.
Kumjua baba yao inakusaidia nini?
 
Wewe huoni faida ya kumtambua babako. Na hili ni tatizo la watoto wengi wa Zinaa.
Sisi wenye Baba ndio tunaojua faida yake.

Pole sana Mkuu.
Sikujua kama na Wewe Babako Humjui.
TATIZO LAO KUBWA NI KWAMBA HAWAJUI KAMA WAMEPOTEA, NA NDIO MAANA HAT KILE WANACHOKIAMINI WANAKICHAKACHUA. MF: AMRI KUMI, ZIKO ZA MUSA NA ZILE ZA KANISA LA RC, ZA RC NDIZO WANAZOZISHIKA SANA KULIKO KUMI ZA MUNGU ALIZOPEWA MUSA. BURE KABIS HAO.
 
Wewe kumjua baba yao nakusaidia nini?

]

Ili utambue Tofauti ya MTOTO WA ZINAA na Mtoto wa Halali Basi Mtoto wa Halali Lazima awe na Jina La BABA YAKE.

Sasa usikwepeshe Swali manake Makafiri ndio zenu hizo. Mkishaona Maji marefu mnaleta Kashfa na Matusi Ili Swali Lipotee.
Mnaaibisha UKRISTO namna hii!

Nipe majina ya BABA ZAO hawa WAANDISHI WA BIBLIA.
MATHAYO.
MARKO.
LUKA.
YOHANA.

Hawa BABA ZAO ni kina NANI?

Ahsanta.
 
Ukishamjua wa halali na zinaa hiyo itakusaidia nini?
 
Ukishamjua wa halali na zinaa hiyo itakusaidia nini?
Nataka jibu sio swali.
Wewe haya maji marefu. Hapa waimba kwaya sio mahala pao.

Nauliza MKRISTO YYT mwenye kujitambua.

Nipeni majina ya BABA ZAO hawa WAANDISHI WA BIBLIA.

MATHAYO.
MARKO.
LUKA.
YOHANA.

Hawa BABA ZAO ni kina NANI?
 
Nataka jibu sio swali.
Wewe haya maji marefu. Hapa waimba kwaya sio mahala pao.

Nauliza MKRISTO YYT mwenye kujitambua.

Nipeni majina ya BABA ZAO hawa WAANDISHI WA BIBLIA.

MATHAYO.
MARKO.
LUKA.
YOHANA.

Hawa BABA ZAO ni kina NANI?
YOHANA ni mwana wa ZEBEDAYO.
 
Uislam umeletwa na Warabu.
Ukristu umeletwa na wazungu .

Humu ndani WA Tanzania wanauana kwa maneno
Ya ajabu mitandaoni.

Dini ya wa Tanzania ni ipi? ?
Kabla hizi dini za ku "adopt" hazikufika Tanzania ?
 
Back
Top Bottom