Kanisa ambalo mchungaji wake ni haramu kwake kukanyaga chini

Haihitaji ufahamu mkubwa kugundua kuwa madai yako ni uongo mtupu!
Wakati Yesu alikuja duniani hata babu wa babu wa mwanzilishi wa uislamu alikuwa hajazaliwa! Kwa hiyo uislam haukuwepo! Haiwezekani Yesu awe mwislam wakati uislam haikuwepo. Kwa faida ya baadhi ya watu ni kuwa Mwanzilishi wa uislam alizaliwa mwaka 570-karne ya tano baada Kristo(Yesu), wakati Yesu alizaliwa karne ya kwanza.

Nini maana ya uislam??
 
Km Yesu kazaliwa Karne ya Kwanza Na Ibrahim Kazaliwa karne ya -10 au?

Daudi, Solomon, na Moses Hawa Wote walizaliwa karne 0 au?

Unapotaka kujenga hoja Jazba zako peleka kanisani. Hapa Tunakwenda kwa Ushahidi wa MAANDIKO.

Sasa tuanze na moja hapa.

Kitu Kiitwacho UKRISTO kimebuniwa Juzi tu. Kwenye ANDIKO Hakipo. Na Wala HAKUNA mtu yyt wakati wa yesu aliyewahi Kuitwa Au KUJIITA MKRISTO. Km una andiko linalokwambie Wewe UWE MKRISTO nipe na Mimi Mnibatize bila maji.
 
Waulize wafuasi wa uislam! Mimi niulize maana ya Ukristo kama ukitaka!

Nimekuuliza hivyo kwasababu hunaunachojua, uislam ulikuwepo tangu mwanzo wa binadamu yaani Adam na hawa, ukristo umeletwa na paulo, ebu niambie ukristo ni nini na wapi umetajwa kwenye bible??
 
Km Yesu kazaliwa Karne ya Kwanza Na Ibrahim Kazaliwa karne ya -10 au?

Daudi, Solomon, na Moses Hawa Wote walizaliwa karne 0 au?

Unapotaka kujenga hoja Jazba zako peleka kanisani. Hapa Tunakwenda kwa Ushahidi wa MAANDIKO.

Sasa tuanze na moja hapa.

Kitu Kiitwacho UKRISTO kimebuniwa Juzi tu. Kwenye ANDIKO Hakipo. Na Wala HAKUNA mtu yyt wakati wa yesu aliyewahi Kuitwa Au KUJIITA MKRISTO. Km una andiko linalokwambie Wewe UWE MKRISTO nipe na Mimi Mnibatize bila maji.
Yesu aliacha duniani kundi la wafuasi wake waliokuwa wanaitwa "wanafunzi wa Yesu" miongoni mwa wanafinzi wa Yesu walikuwepo mitume 12. Baada ya Yesu kufa, kufufuka kisha kupaa mbinguni wanafunzi waliendelea kuongezeka. Watu walianza kuwaita wafuasi wa Yesu kuwa ni "wakristo" pale antiokia katika karne hiyo ya kwanza kabla hata ya uongofu wa Sauli aliyekuja kuitwa Paulo.
 
Waulize wafuasi wa uislam! Mimi niulize maana ya Ukristo kama ukitaka!
Haya Tupe hio maana ya UKRISTO kwa Ushahidi wa ANDIKO?

Wapi Yesu kawaambia "kuweni WAKRISTO".
We hujawahi kujiuliza kwanini wafuasi wa Ibrahim hawakuitwa Ibrahimians.
Wafuasi wa Moses hawakuitwa Moseians.
Wafuasi wa Jacob hawakuitwa Jacobians.
Na Wafuasi wa Muhammad Rehma na amani ziwe juu yakw hawakuitwa Muhamadans.

Vipi wafuasi wa KRISTO wajiite CHRISTIANS?

Ukiweza kupata Jibu la hili Swali nakihakikishia Utaona nilichoona mimi.

Nasubiri jibu.
 
Yesu aliacha duniani kundi la wafuasi wake waliokuwa wanaitwa "wanafunzi wa Yesu" miongoni mwa wanafinzi wa Yesu walikuwepo mitume 12. Baada ya Yesu kufa, kufufuka kisha kupaa mbinguni wanafunzi waliendelea kuongezeka. Watu walianza kuwaita wafuasi wa Yesu kuwa ni "wakristo" pale antiokia katika karne hiyo ya kwanza kabla hata ya uongofu wa Sauli aliyekuja kuitwa Paulo.
Unaona Ee.
Kumbe UKRISTO umeanzishwa Baada ya Yesu KUFA!
Sasa vipi udai Umeanza na Yesu?

Na Nani aliwapa mamlaka ya Kujiita WAKRISTO?
Kwanini Yesu hakuwa kusema hatta siku moja kuwa :kwa sababu nyie ni Wanafunzi wangu na mnanifuata mimi nyie mtajiita WAKRISTO?

Jaribu tena.
 
Hahahah huu mnakasha umefika patamu sasa maana "full self contradictory" mtu anajiuliza swali huku anajijibu mwenyewee
 
Wacha kumsingizia Yesu mambo ambayo HAKUFANYA.

Msikilize YESU anasema NINI hapa.

Mathayo 5.17-20

Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka,

YESU anasema "Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka,".

Vipi useme ALIBADILI?

Wapi Yesu kasema ALIBADILI Sheria Za TORATI.
Mbona Mnamsingizia YESU kwa MANENO YA PAULO?

Paulo Ni Muongo. Na hakuna Mkristo wa Kweli asiejua hilo.
Yeye Paulo ndio MPINGA SHARIA ZA TORATI.

Nipe andiko Yesu Kasema alibadili Sheria.
mathayo 5;27
mmesikia kwamba imenenwa,usizini;
28;mimi nawaambia,kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani,
amekwisha kuzini naye Moyoni mwake..
torati ilisema usizini2,..yeye kaja kafanyaje apo????/??
kitendo alichofanya ni kufanyaje hapo hiyo amri alioitoa???
 
Wacha kumsingizia Yesu mambo ambayo HAKUFANYA.

Msikilize YESU anasema NINI hapa.

Mathayo 5.17-20

Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka,

YESU anasema "Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka,".

Vipi useme ALIBADILI?

Wapi Yesu kasema ALIBADILI Sheria Za TORATI.
Mbona Mnamsingizia YESU kwa MANENO YA PAULO?

Paulo Ni Muongo. Na hakuna Mkristo wa Kweli asiejua hilo.
Yeye Paulo ndio MPINGA SHARIA ZA TORATI.

Nipe andiko Yesu Kasema alibadili Sheria.
ila nikuulize swali wejamaa
mitume na manabii waliokuja kabla ya Yesu walikuwa na kazi gani hasa??????
 
" But those enemies of mine who did not want me to be king over them--bring them here and kill them in front of me." luke 19:27
Yesu alitoa hii amri
kwasababu hii,..
mfano tu najua haiwez kutokea
nataka nikupe logic uelewe,...mfano Mungu akikutokea akakwambia ua mtu flani,..
Mungu kakupa amri,..ukiua unapata dhambi???????
pale Yesu alisema alitoa amri yeye kma mwana wa Mungu kwa pale alipo yeye kma yeye,..kuuwa ni dhambi
Mungu hawez kupingana na kwenda kinyume na maandiko,..
alishasema usiuwe ni iko hivyo
kuua ni dhambi,so Yesu alitoa amri kma mwana WA Mungu mwenye uweza wote,.
na pale hakuuliwa mtu
sababu kama hao adui zake wangeuliwa tungeambiwa pia...,
 
Ungeambiwa Mara ngapi?
Kuna imani ilioua watu wengi duniani kama UKRISTO?
Tatizo wengi wenu Shule mmekimbia
Na habari za dunia mnazipata kwenye Tv PEKE YAKE.

Hebu gonga hapa UONE namna WAKRISTO waliokuwa wanafuata Andiko lao Kitu gani Walifanya!

Si chini ya watu MILION 20 wameuawa Na WAKRISTO .

Christian Atrocities | Victims of Christianity | Catholic Church Inquisition | Crusades

Moreover Unaandika Tafsiri uitakayo wewe isio eleweka na mtu yyt zaidi yako na hao wenzako Kisha unaiita "LOGIC ".
Unafahamu maana ya Logic?
Vipi binaadamu azaliwe na mwanamke, alelewe, ale, aende Choo. Ataihiriwe na kwa mujibu wa IMANI YAKO ALIKUFA siku tatu halafu hapo hapo Awe MUNGU? Halafu unaita hii LOGIC?

Kujaribu kumuelewesha mtu wa namna yako Kazi kubwa mno.

Pili Umeshindwa kuleta Andiko hatta moja linalosema YESU ALIBADILI Sheria za Torati
Mfano wako ukiusoma tu umekufa hapo hapo.

Na Mungu anapotoa ruksa ya Kuua Hatoi kwa Watu wasio na Hatia. Bali wale wenye Kustahiki hukumu ya KIFO! Mfano WAUWAJI.
Sasa wewe ukileta huo mstari unaosema KUUA ni DHAMBI halafu ukautafsiri unavyotaka wewe maana yake WAUWAJI wasiuawe bali wasomewe Biblia tu na kusamehewa na hao wachungaji wanaosamehe watu utafkiri Mungu aliwapa Uwezo huo.
Vipi mtu na akili yake Asamehewe na MTU km yeye?

Hebu mtizame huyu mmoja wa WACHUNGAJI ambae alikuwa anasamehe watu kipi aliwafanya Kondoo wake.

708f23a6b199af236c6da215d6c08cb7.jpg

Ukitaka usomeke Niwekee Maandiko Hapa Sio maneno yako binafsi. Manake nyie mnadai mnaona vitu ktk Biblia ambavyo hakuna binaadamu mwingine anaviona. Mkidanganywa kuwa ati mpk umpokee Yesu ndio utaviona.
Ndio maana vitu Visivyoeleweka kwa Binaadamu wote Wewe na wenzako mnaviita LOGIC.

Jaribu tena. Safari hii leta andiko.
Wapi Yesu kaambiwa ana Nguvu ya Kubadili SHERIA ZA TORATI?
Au wapi ALIBADILI SHERIA HATTA MOJA?

Aliyebadili Sheria Hizi ni Paulo.
Huyu ndie kiongozi wenu. Na SIO YESU mwana wa MARIA.
 
You weren't lying to us but to God."- As soon as Ananias heard these words, he fell to the floor and died.- Everyone who heard about it was terrified.-
we ndugu umesoma ukaelewa hili andiko au umepaste kutoka google,....
matendo 5;1-11
petro hakumgusa mtu kwa mkono wake na kumuua anania na mkewe safira,....
soma hapa
matendo 5;3-5
Petro akasema,Anania kwanini shetani amekujaza moyo wako kumwambia uongo Roho mtakatifu,na kuzuia kwa siri sehemu
ya thamani ya kiwanja????
4;kilipokuwa kwako hakikuwa mali yako? Nakilipokuwa kimekwisha kuuzwa thamani yake haikuwa ktk uwezo wako?
ilikuwaje hata ukaweka neno hili moyoni mwako?,Hukumwambia uongo mwanadamu,bali Mungu.
5;Anania aliposikia maneno haya akaanguka,akafa
.Hofu nyingi ikawapata watu wote waliyoyasikia haya,..
hapo ni wapi petro alipouwa????
kma Si Mungu mwentewe aliamua kutoa sunction watu wajue ukimdanganya Mungu kupitia mtume impact yake inakuaje,...
petro hakusema maneno ya kumuomba Mungu kuwa amuue anania,...ila ALIVYOMWAMBIA ANANIA
Anania akafa,...
ni wa\pi petro kaua???????
 
Mkuu mbona unajichanganya?
Nani kasema PETRO aliua?
Na toka lini Mtu ana uwezo wa kumshika binaadamu mwenzake AKAFA?

Huyu Petro kwanza Usimlete hapa.manake Yesu Alimuita SHETANI na ni Kikwazo kwake.

Yesu anasema ktk Mathayo 16:23

"Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu."

Huyu ndio Muanzilishi wa JENGO LA KANISA!.

Yesu hakuwahi kusali KANISANI wala WANAFUNZI WAKE 12 hawakuwahi KULIONA JENGO LIITWALO KANISA.

Sasa habari ya PETRO achana nayo. Huyu ni KIKWAZO kwa Yesu.

Swali langu la Awali Wapi Yesu KASEMA Sheria za TORATI zipuuzwe? Au zisifuatwe?

Naomba Andiko la MANENO YAKE YESU. sio maneno ya PAULO.

Paulo Hajamuona Yesu wala Kuwahi Kuishi nae ktk maisha yake yote.

Paulo na Gwajima ni sawa tu.
Wote watu wa Maslahi. Pamoja na Karani wake LUKA. Hawa ndio Waanzilishi wa HII Imani yako ya Kumpiga MUNGU.
 
kwann petro aliesabiwa ndani ya mitume kumi na wawili????
acha ujuajina kupotosha maandiko
 
Mkuu mbona unajichanganya?
Nani kasema PETRO aliua?
Na toka lini Mtu ana uwezo wa kumshika binaadamu mwenzake AKAFA?

Huyu Petro kwanza Usimlete hapa.manake Yesu Alimuita SHETANI na ni Kikwazo kwake.

Yesu anasema ktk Mathayo 16:23

"Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu."

Huyu ndio Muanzilishi wa JENGO LA KANISA!.

Yesu hakuwahi kusali KANISANI wala WANAFUNZI WAKE 12 hawakuwahi KULIONA JENGO LIITWALO KANISA.

Sasa habari ya PETRO achana nayo. Huyu ni KIKWAZO kwa Yesu.

Swali langu la Awali Wapi Yesu KASEMA Sheria za TORATI zipuuzwe? Au zisifuatwe?

Naomba Andiko la MANENO YAKE YESU. sio maneno ya PAULO.

Paulo Hajamuona Yesu wala Kuwahi Kuishi nae ktk maisha yake yote.

Paulo na Gwajima ni sawa tu.
Wote watu wa Maslahi. Pamoja na Karani wake LUKA. Hawa ndio Waanzilishi wa HII Imani yako ya Kumpiga MUNGU.
umeshindwa kuelewa nimemquote nani,...
utaelewa hayo nayokuelekeza kila muda....
unataka nwe narudia rudia point zile zile kila muda.,..hilo jibu la petro nimem quote shehe mwenzio uchwala
Mahmood ktk post yake aliodanganyadanya kwea mawazo yake #247
 
Sasa huoni kama unazidi Kutuchanganya hapa?
Sio nyir mnaodai kila siku Ati Yesu KAFA kwa ajili ya Dhambi Zenu!

Sasa vipi uje useme tena kila mtu atasema mambo yake mbele ya Mungu?
Huoni mnazidi kujichanganya?

Nasubiri jibu langu la Awali.
Je YESU ALIBADILI Sheria Hatta moja ya TORATI?

we endelea kuniita MPUUZI lkn Leo Wacha wasomaji waone Baina yangu muislamu na Wewe Mfuasi wa BIBLIA nani haitambui imani yake.
we huelewi,..
Yesu alisema ukimtamani umekwisha kuzini nae moyoni mwako,..
sasa YESU aliporekebisha vile alipunguza ukali wa ile sheria kutokana na kipindi hiki ni che neema,.. kuua ni dhambi(mathayo 19;18).
kutamani kupo moyoni kwa mtu,..
sasa kama mtu ametamani atakuwa amezini nae moyoni,.sasa mtu huyo ambaye amezini kwa njia ya moyoni
mtapiga vipi na zinaa iliopatikana kwa njia ya matamanio haikuonekana kwa njia ya macho yakawaida ,ipo moyoni?????
 
Back
Top Bottom