Kanisa ambalo mchungaji wake ni haramu kwake kukanyaga chini

Yesu Aliposema "kutazama kwa matamanio ni uzinzi" HAKUBADILI Sheria ya MZINZI KUUAWA bali aliongeze tu. Huko SIO KUREGEBISHA bali ni Kuongezea!

Yesu alisema ukimtamani umekwisha kuzini nae moyoni mwako,..
sasa YESU aliporekebisha vile alipunguza ukali wa ile sheria kutokana na kipindi hiki ni che neema,.. kuua ni dhambi(mathayo 19;18).
kutamani kupo moyoni kwa mtu,..
sasa kama mtu ametamani atakuwa amezini nae moyoni,.sasa mtu huyo ambaye amezini kwa njia ya moyoni
mtapiga vipi na zinaa iliopatikana kwa njia ya matamanio haikuonekana kwa njia ya macho yakawaida ,ipo moyoni?????
Mtu wa Mungu haiti wenzake WAPUUZI lkn nyie wafuasi wa PAULO bila kashfa Siku haijapita.

Narudia tena.

Mungu aliweka Sheria zake ktk TORATI na YESU alipokuja akasema ZISIBADILISHWE MPK SIKU YA MWISHO.
Wewe unadai Yesu hakubadili bali ALIZIREGEBISHA.
Wapi Yesu karegebisha Sheria Za TORATI?
Yesu Aliposema "kutazama kwa matamanio ni uzinzi" HAKUBADILI Sheria ya MZINZI KUUAWA bali aliongeze tu. Huko SIO KUREGEBISHA bali ni Kuongezea!

we huelewi,..
Yesu alisema ukimtamani umekwisha kuzini nae moyoni mwako,..
sasa YESU aliporekebisha vile alipunguza ukali wa ile sheria kutokana na kipindi hiki ni che neema,.. kuua ni dhambi(mathayo 19;18).
kutamani kupo moyoni kwa mtu,..
sasa kama mtu ametamani atakuwa amezini nae moyoni,.sasa mtu huyo ambaye amezini kwa njia ya moyoni
mtapiga vipi na zinaa iliopatikana kwa njia ya matamanio haikuonekana kwa njia ya macho yakawaida ,ipo moyoni?????
Nasubiri jibu langu la Awali.
hilo apo,..
umeelewa
 
we huelewi,..
Yesu alisema ukimtamani umekwisha kuzini nae moyoni mwako,..
sasa YESU aliporekebisha vile alipunguza ukali wa ile sheria kutokana na kipindi hiki ni che neema,.. kuua ni dhambi(mathayo 19;18).
kutamani kupo moyoni kwa mtu,..
sasa kama mtu ametamani atakuwa amezini nae moyoni,.sasa mtu huyo ambaye amezini kwa njia ya moyoni
mtapiga vipi na zinaa iliopatikana kwa njia ya matamanio haikuonekana kwa njia ya macho yakawaida ,ipo moyoni?????

Hilo sijalikataa. Na wala sijalipinga.
Na wewe kusema "Yesu alipunguza MAKALI unasema UONGO! hapo Hakuna makali yyt Yesu aliyopunguza bali KAONGEZEA.

Nipe hukumu ya MZINIFU WA KITENDO.
Yule ambae amekamatwa yuko juu ya kiuno ana fanya ngono. BIBLIA inasema Hukumu yake ni Nini?

Usikimbie.
 
Ukweli wa hili naomba video maana km hakanyagi chini anaishi vp?akienda chooni?pia km shida chini c angeweka kapeti au meza naona alietuma hili atume video pia jina la kanisa na mchungaji au aelekeze alipo#noresearchnolifetospeak#
 
Hilo sijalikataa. Na wala sijalipinga.
Na wewe kusema "Yesu alipunguza MAKALI unasema UONGO! hapo Hakuna makali yyt Yesu aliyopunguza bali KAONGEZEA.

Nipe hukumu ya MZINIFU WA KITENDO.
Yule ambae amekamatwa yuko juu ya kiuno ana fanya ngono. BIBLIA inasema Hukumu yake ni Nini?

Usikimbie.

Utaelewa2;
nielewe hapa mkuu,..
mathayo 19;16-18..
16;na tazama mtu mmoja akamwendea akamwambia ,mwalimu ,nitende jambo gani jema
ili nipate uzima wa milele??
17;Akamwambia,kwanini kuniuliza habari ya wema?aliye mwema ni mmoja.Lakini ukitaka kuingia ktk uzima zishike amri.
18;Akamwambia,zipi??YESU akasema ni hizi
usiibe,usiuwe,usizini.....
maana yake akimaanisha hukumu ni mbinguni
so asizini ajilinde ili aurithi uzima wa milele siku ya mwisho(kama alivyouliza) ,...sio duniani sisi kwa sisi tuhukumiane hiyo haipo
mathayo 19;9
YESU anasema,...nami nawaambia ninyi ,kila mtu atakayemwacha mkewe isipokuwa ni kwasababu ya uasherati,akaoa mwingine,azini;
naye atakayeoa yule aliyeachwa azini..
then ktk
mathayo 7;1-2
msihukumu msije mkahukumiwa ninyi.....
nyinyi mnaruhusiwa kuhumu???
 
Na wewe kusema "Yesu alipunguza MAKALI unasema UONGO! hapo Hakuna makali yyt Yesu aliyopunguza bali KAONGEZEA.
ndo hivyo Ukristo sio lelemama,....huku kugumu
LUKA 23;24
Yesu anasema jitahidini kuingia katika mlango uliomwembamba,kwamaana nawaambia ya kwamba wengi watataka kuingia,wasiweze..,,kuokoka sheria ngumu mkuu,..
kwenda mbinguni sio kma nyinyi mnavyoishi easy
post ya #25 ulisema
kwamba ukiwa muungwa kwa viumbe wa Allah wenu(sisimiz,kuku,nk),ibada nyingi,na mkiwa wakali wa makafiri(yaani sie wakristo)mtuuwe
bas mnaenda peponi bila kuacha dhambi kma uzinzi,uongo,uuaji,wizi nk
mnajidanganya mkuu hamna pepo ya wazinzi
Barakallahu fiik Akhy.
Hakika uko ktk njia ya peponi kaka.
Zidisha ibada tu na kuwa muungwana kwa Viumbe wa Allah.
Utafanikiwa.
Na uwe Mkali kwa makafiri wanaomshirikisha Mungu.
 
Na wewe kusema "Yesu alipunguza MAKALI unasema UONGO! hapo Hakuna makali yyt Yesu aliyopunguza bali KAONGEZEA.
ndo hivyo Ukristo sio lelemama,....
kwenda mbinguni sio kma nyinyi mnavyoishi easy
post ya #
Sasa huoni kama unazidi Kutuchanganya hapa?
Sio nyir mnaodai kila siku Ati Yesu KAFA kwa ajili ya Dhambi Zenu!

Sasa vipi uje useme tena kila mtu atasema mambo yake mbele ya Mungu?
Huoni mnazidi kujichanganya?
judgement day
 
huu ndio UKRISTO aliofundisha YESU?
hapana huu sio ukristo alioufundisha Yesu,....hao wanaofanya hayo mambo na kuhalalisha ni wanadamu hukumu ipo palepale.....
sisi maadamu tunaafahamu sheria zikoje hatumfatishi mtu..kitu cha msingi ni kujisimamia mtu binafsi
kuhakikisha njia ziko safi yaani hatutendi dhambi..na tunampendeza Mungu
,..............huyo papa ni binadamu kma mimi nawewe
so yeye kupitisha hivyo vitu....ni yeye binafsi na wenzie wchache......kwanza mimi sio mroma
na baadhi ya madhehebu wanaendelea kulaani vikali hayo maamuzi...hilo ujalisema,,,..auhujasikia?????????
iko hivyo
 
Unakwepa maswali yangu halafu unaleta Nyimbo za kwaya?

WAKRISTO kweli mmefilisika elimu.
Yaani imani yako mwenyewe HUIJUI?

Sasa zile kelele zoote mnazopiga za kuokoka kumbe Usanii mtupu au sio?

Sasa wacha wasomaji wakusome Vizuuuri toka mwanzo halafu utaskia tu Joseph kaaga ugalatia, siku hizi anaitwa Ramadhani.

Kujadili na Wenye Kulijua Andiko kutakuumbua kijana.
Siku nyingine ukija hapa kujibu Uzi wwt wa biblia na ukakuta Muislamu basi jipange sana. Au omba Mchungaji na padri akae karibu yako akusaidie.
 
Kakimbia?... Ugalatia ni mzigo, daah!
Yaani kila nikisoma hizi post za evans... nabaki kumshukuru mungu tu kwa kunipa neema ya uislamu.
 
kwann petro aliesabiwa ndani ya mitume kumi na wawili????
acha ujuajina kupotosha maandiko
Nadhani mpk sasa umeshindwa kujibu maswali yangu karibu Yote.
Sasa nakuuliza swali jepesi kabisa hapa. Ili uuone USANII uliomo ktk Huu UKRISTO unaouita Imani yako.

Ktk huu ulimwengu umeshawahi kukutana na Binaadamu yyt mwenye Kutumia JINA MOJA TU bila Kuwa na JINA LA MZAZI WAKE?

kwanza kisheria ni marufuku na Hata siku moja huwezi kupewa kitambulisho wala Passport wala kumuandikia mtu hata Cheque yenye JINA MOJA.

Sasa naomba Jibu, je Kuna mtu wa namna hio ambae umeshawahi kumuona au Kumskia?
 
Hakuna swali langu hata moja Umejibu. Na hii wala Sishangai. Nimejadili na Ma elfu ya Makafiri na wote ni blah blah tu. Ispokuwa Wachache mno ndio wenye Kukubali UKWELI.
hakuna hata swali lako1 nlilOJIBU???sasa mwanzo ulikubali nini ?????
njoo hapa chini naquote

Unakwepa maswali yangu halafu unaleta Nyimbo za kwaya?

WAKRISTO kweli mmefilisika elimu.
Yaani imani yako mwenyewe HUIJUI?
mtapiga vipi na zinaa iliopatikana kwa njia ya matamanio haikuonekana kwa njia ya macho yakawaida ,ipo moyoni?????
Hilo sijalikataa. Na wala sijalipinga.
Na wewe kusema "Yesu alipunguza MAKALI unasema UONGO! hapo Hakuna makali yyt Yesu aliyopunguza bali KAONGEZEA.

Nipe hukumu ya MZINIFU WA KITENDO.
Yule ambae amekamatwa yuko juu ya kiuno ana fanya ngono. BIBLIA inasema Hukumu yake ni Nini
?NIMEQUOTE POST YAKO YA#289

wewe basi utakuwa na matatizo jamaa...unakubali majibu na kukubali majibu,...
alafu unajikana na kusema hujajibiwa
unajikanyaga mwenyewe na kurukaruka bila kuelewa unazungumzia nini...
 
Unakwepa maswali yangu halafu unaleta Nyimbo za kwaya?

WAKRISTO kweli mmefilisika elimu.
Yaani imani yako mwenyewe HUIJUI?
hivi ni swali gani ambalo sikukujibu we jamaa??????
hivi unassoma post nakuelewa??au
unabishana bila kujielewa??
mimi naimba kwaya yap church kwetu...ni nyimbo gani
nliokuletea ya church kwetu????
njoo kwenye maada acha kuruka kijana punguza jaziba.....
 
Sasa zile kelele zoote mnazopiga za kuokoka kumbe Usanii mtupu au sio?
wewe umeuliza kuhusu habari za papa kupitisha ndoa za jinsia1...
ukauliza hayo ndo alifundisha Yesu nikakujibu hapana...ktk bible hakuna iko kitu na Yesu
hakufundisha hayo.na ni uchafu mbele za Mungu ni dhambi.......
unakuja na kejeli nyingiii na kupayukaa juujuu....
au we ulitaka nikubali kuwa Yesu alifundisha hayo mambo???
we vipi siwez kumshudia uongo Bwana wangu Yesu.......
unaukashifu ulokole na kusema dini yangu siijui,..mpendwa
kwani walokole na waroma ni sawa?????/??
ni madhehebu mawili tofauti kijana...na imani tofauti
 
Sasa wacha wasomaji wakusome Vizuuuri toka mwanzo halafu utaskia tu Joseph kaaga ugalatia, siku hizi anaitwa Ramadhani.
atakuwa kapotea huyoo,...na atahukumiwa2 kwa kutomwamini Yesu..
na usitegemee kitu kma hicho....kma unabadili maandiko kupotosha watu
umepotoka kijana...
 
Siku nyingine ukija hapa kujibu Uzi wwt wa biblia na ukakuta Muislamu basi jipange sana
nshakutana na kina kibwetele
wakachemka na maandiko yenu mnayomeza mbishe....
kuna maandiko utayasoma hutoelewa kwa namna yalivyo
utaweka akili zako na kupotosha maana yake ya asili....
hatmaye utasimamia kwenye misimamo yako binafs c ya biblia..........
ila najipa moyo unavyoyasoma
najua siku1 Mungu atasema nawewe kama shehe Abubakar
na utamrudia Mungu wa kweli na kuokoka.......
 
. Au omba Mchungaji na padri akae karibu yako akusaidie.
mchungaji wangu ntamfata anielekeze kma kuna kitu kimenitatiza...
ila sio kwa ajili kubishana....maana wewe nlijua nakuelekeza
kumbe wewe unataka mabishano...
KARIBU KTK WOKOVU kijana...
Yesu anasamehe dhambi.....
njoo ktk njia sahihi nakushauri
bado mda unao,,..
 
Nadhani mpk sasa umeshindwa kujibu maswali yangu karibu Yote.
Sasa nakuuliza swali jepesi kabisa hapa. Ili uuone USANII uliomo ktk Huu UKRISTO unaouita Imani yako.

Ktk huu ulimwengu umeshawahi kukutana na Binaadamu yyt mwenye Kutumia JINA MOJA TU bila Kuwa na JINA LA MZAZI WAKE?

kwanza kisheria ni marufuku na Hata siku moja huwezi kupewa kitambulisho wala Passport wala kumuandikia mtu hata Cheque yenye JINA MOJA.

Sasa naomba Jibu, je Kuna mtu wa namna hio ambae umeshawahi kumuona au Kumskia?
hujajibu swali langu apo.....kuna swali apo ujajibu........
jibu tuendeleeee
 
hujajibu swali langu apo.....kuna swali apo ujajibu........
jibu tuendeleeee
Kwa hio umekubali kuwa HAKUNA mtu Duniani anaetumia Jina moja tu bila kuwa na Jina la Baba yake.

Sasa Nakuuliza.
WAANDISHI WA BIBILIA wako Wanne. (Agano jipya).

1.MATHAYO.
3.MARKO.
3.LUKA.
4.YOHANA

Ili tukubali km hawa binaadamu waliwahi kuwepo Duniani na wakaishi na watu wengine Naomba majina ya BABA ZAO. (Wazazi wao).

Ukinipa hayo majina ya WAZAZI wa hawa Waandishi wa AGANO JIPYA na mimi Nabatizwa leo.leo
 
evansGREATDeal mbona umekimbia?
Unaona aibu kusema "Hujui majina ya wazazi wa waandishi wa BIBILIA?.

Kutokujua sio Ujinga. Lkn kukaa kimya ni kuonyesha Udhaifu wako wa kutoijua Imani yako na kufuata km bendera inavyo fuata Upepo.

Rudi huku ujibu swali tafadhali.
Ahsanta
 
Back
Top Bottom