Kangi Lugola amewezaje kusoma shule za wasichana? CV yake hii hapa

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1687.jpg
First Name:Alphaxard
Middle Name:Kangi Ndege
Last Name:Lugola
Member Type:Constituency Member
Constituent:Mwibara
Political Party:CCM
Office Location:Box 486, Bunda
Office Phone:+255 783 300800/+255 756 148199
Ext.:
Office Fax:+255 22 2112538
Office E-mail:alugola@parliament.go.tz
Member Status:Current Member
Date of Birth25 May 1963
EDUCATION
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Nyamitwebili Primary SchoolPrimary Education19741977PRIMARY
Mugeta Primary SchoolPrimary Education19781978PRIMARY
Kafunjo Primary SchoolPrimary Education19791980PRIMARY
Sengerema Secondary SchoolO-Level Education19811984SECONDARY
Songera Girls' Secondary SchoolA-Level Education19851987HIGH SCHOOL
University of Dar Es SalaamB.Com19881992GRADUATE
University of Dar Es SalaamMasters19961997MASTERS DEGREE
University of Leicester, UK-20082010CERTIFICATE
Tanzania Police AcademyCertificate19931994CERTIFICATE
Tanzania Police AcademyCertificate19991999CERTIFICATE
East African School of Aviation , NairobiCertificate20022002CERTIFICATE
International Civil Aviation Organisation, NairobiCertificate20022002CERTIFICATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company NamePositionFrom DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Mwibara Constituency20102015
East African CommunityChief Security Officer20022010
Tanzania Airports AuthorityHead of Security Section (Airports)20012002
Tanzania Police ForceHead of Police Post (Grade A)19992000
Tanzania Police ForceInvestigation Officer19981999
Tanzania Police ForceInspector19931998
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMChairperson (District Parent Association)2008
Chama Cha Mapinduzi, CCMChairperson (Branch)1986
Labda alikuwa na tatizo la kiafya akahamishiwa huko.Nakumbuka Old Moshi Secondary School,ambayo ni boarding school ya wavulana,tulisoma na msichana.Inawezekana labda kwao ni maeneo hayo au ana ndugu karibu na shule hiyo,so alisoma day.Ni wazo tu lakini.
 
Kwani Kangi Luoga yeye ni me? maana naona mnashangaa sana........... na huwa anaposition gani?
 
Hiyo shule inaitwa Songe girls ipo kata ya bweri km5 kutoka city centre,hapo awali ilikua ikijulikana kama songe sec school,wanafunzi wa jinsia zote walikua wakisoma hapo,ila baadae ikabadilishwa kua ya wasichana pekee.Nadhani aliepandisha Cv mtandaoni ndio alichemka.
 
Hivi cv za hawa watu huwa zinapotoshwa makusudi wenyewe kwa wenyewe wakiziona wanafahamiana.
Mtu alikua mkuu wa usalama kwenye jumuiya ya afrika mashariki,mkuu wa usalama viwanja vya ndege,akaja kuwa polisi lina masters mbili,lina cheti cha kurusha ndege bado tu hujagundua kuwa ni jitu la TISS?
 
Upumbavu huo upo TISS ya kijijini kwenu tuu., Kwa nini "wasiojulikana" wote hawana hiyo!?
 
Hivi cv za hawa watu huwa zinapotoshwa makusudi wenyewe kwa wenyewe wakiziona wanafahamiana.
Mtu alikua mkuu wa usalama kwenye jumuiya ya afrika mashariki,mkuu wa usalama viwanja vya ndege,akaja kuwa polisi lina masters mbili,lina cheti cha kurusha ndege bado tu hujagundua kuwa ni jitu la TISS?
Hivi kwa akili yako kuwa TISS ndio kuwa na akili na uekewa?yupo jamaa yangu enzi hizo nilikuwa namuandikia barua zake za kiswahili kwenda kiingereza na zilikuwa ..........! Acha tuu
 
Hivi kwa akili yako kuwa TISS ndio kuwa na akili na uekewa?yupo jamaa yangu enzi hizo nilikuwa namuandikia barua zake za kiswahili kwenda kiingereza na zilikuwa ..........! Acha tuu
kutojua kiingereza sio kutokua na akili,achana na mawazo ya kishamba
 
kutojua kiingereza sio kutokua na akili,achana na mawazo ya kishamba
Unasomaje kwa kiingereza hadi unahitimu lakini huwezi kuandika wala kusema lugha hiyo? Lazima umekuwa unacheza faulu. Hivyo huna akili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom