Kangi Lugola amewezaje kusoma shule za wasichana? CV yake hii hapa

Naona Mh. hayajui haya makosa, naamini akifahamu tu kitawaka
 
Kuna mtu namjua alisoma sekondari ya wasichana Loleza kwa miezi 6 akiwa form 6,alipewa adhabu kukaa nyumbani miezi 6 arudi siku 3 kabla paper..akarudi kwao Mbeya,akaomba kuwa anahudhuria masomo Loleza akakubaliwa(baba yale alikuwa mzito mkoani)...miaka ile hakukuwa shule ingine ya HGL Mbeya...jamaa akasoma kwa miezi 6 akiwa day scholar...
 
1988 - 1992 alisoma BCOM UDSM miaka mitano,1996 - 1997 Mastres UDSM hii masters ya wapi ya miezi kadhaa tena UDSM
 
Duh!Kwahiyo mkuu na huyo jamaa kwenye CV kaweka Loleza Girls?Hiyo kali aisee!!
 
1988 - 1992 alisoma BCOM UDSM miaka mitano,1996 - 1997 Mastres UDSM hii masters ya wapi ya miezi kadhaa tena UDSM

Vijana wa siku hizi mnatakiwa unapotaka kuchangia hoja jitahidi kutafuta data za kusuport hoja yako, hesabu mnayotoa si ya kipindi chetu wakati tunasoma.

Zamani vyuo vilikuwa vinafunguliwa kwa admission july -september, hivyo hesabu ya miaka kwa undergraduate kwa mwaka mmoja wa masomo ulikuwa unahesabu miaka miwili kama unavyohesabu mwaka wa fedha wa serikali. Kwa hiyo 1988/89 yr 1, 1989/90 yr 2, 1990/91 yr 3, na mwaka ule kama sijakosea ndo UDSM ilifungwa kwa mgomo mkubwa kuwahi tokea ndo mana wengi wanaonekana kuna mwaka mmoja wa ziada.Kwa graduate studies tulikuwa tunaanza januari, hivyo ukiangalia na miaka miwili yaani miezi 18 kama utaratibu wake ukitumia thesis system. Mana pia ktk graduate unaweza tumia course work masters ambayo mda wake unakuwa mfupi
 
inawezekana, mimi nimesoma old moshi na kulikuwa na wanafunzi wa kike wanasoma day pale. Pia inawezekana amefanya kama pc pale na hakuwah kufanya mtihani kama school candidate we unategemea aandike kasoma wapi a level?
Haya ni mawazo yangu na si lazima yasikosolewe inapobidi
 
Mimi nimesoma na Alphaxard Kangi Ndege Lugola SONGEA BOYS HIGH SCHOOL BOX 2, SONGEA akiwa anasoma HGE na mimi nilikuwa nasoma PCB. Alikuwa ni mwanariadha mkubwa sana na aliwahi kuwa mshindi wa Kitaifa wa Michezo ya Sekondari mita 100 na mita 200. Kwa hiyo huyo ali edit tu na kuandika SONGEA GIRLS ila kwenye Profile ya Mh. LUGOLA ya BUNGE inaonesha SONGEA BOYS. Huyu aliyepost hii thread alitaka kumdhalilisha tu Mh Kangi Lugola
 
Tuwe makini na tarifa zetu tuache unafiki na tuwe tuna chunguza mambo sa siju ulikuwa na maana gani siad sio hzoo hizi ni screenshots toka website ya bunge
 
Attachments

  • 1421749546003.jpg
    1421749546003.jpg
    56.2 KB · Views: 478
  • 1421749582897.jpg
    1421749582897.jpg
    63.8 KB · Views: 450
  • 1421749599373.jpg
    1421749599373.jpg
    62.9 KB · Views: 424
  • 1421749618456.jpg
    1421749618456.jpg
    55.8 KB · Views: 417
  • 1421749653025.jpg
    1421749653025.jpg
    54.5 KB · Views: 310
B.com ni miaka mitatu. Mwaka 1990 chuo kilifungwa mwaka mzima, hivyo alipashwa kumaliza mwaka 1991 kama chuo kisingefungwa. He is right.
 
inawezekana, mimi nimesoma old moshi na kulikuwa na wanafunzi wa kike wanasoma day pale. Pia inawezekana amefanya kama pc pale na hakuwah kufanya mtihani kama school candidate we unategemea aandike kasoma wapi a level?
Haya ni mawazo yangu na si lazima yasikosolewe inapobidi

Old ulipiga mwaka gani wisdom..?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom