Kuna muktadha maalum hutokea, kama afya vile, kwa mtu kusoma day kutoka shule ya wasichana hasa A level kama pale karibu (kama Songea Boys, Kingosera nk) hakuna masomo mtu anayasoma. Ilishawahi tokea 1988/90, ndugu Mugunga Munyenyelwa, akiwa anasoma KLF kule Milambo alihamia ZANAKI GIRLS muhula wa pili wa Kidato cha Tano mpaka kumaliza kidato cha sita!
Hiyo ni typping error tu, tulisoma naye songea boys na alikuwa hp wetu, kwa kweli hicho ni kichwa bana sijui shauri ya samaki......
Mkuu MAFILIFILI, nadhani utakumbuka waliwahi kummwagia kinyesi kwenye kitanda chake shauri ya kuwafuatilia wanafunzi wakorofi bana.Asante kwa kunikumbusha mayao ya kwa mama sumni sumni, Lugola alikuwa anatuvizia watoro pia alikuwa na tabia ya kutuamsha alfajiri
Website ya bunge haian ukweli:-
Lugola alisoma Songea Boys' alikuwa HP na mwanariadha mahiri akiwakilisha UMISETA kanda ya kusini.
UDSM alisoma BA Economics, aliwahi kufundisha St Antony akapata zengwe la kubaka mtoto la afande ikawa so mbaya aktimuliwa ndipo akibukia Police College
Hiyo ni typping error tu, tulisoma naye songea boys na alikuwa hp wetu, kwa kweli hicho ni kichwa bana sijui shauri ya samaki......
Mbona jangwani "a"level wapo wavulana
ndio kamanda! full base, kitu inchi 8....
Sijui tumwamini nani hapa???
Kwani Waheshimiwa nao hawazisomi kuona kama zimekaa vizuri? Nao nyamb..f zao! Shauri ya uvivu wetu wabongo!
alutation | Honourable | Member picture |
First Name: | Alphaxard | |
Middle Name: | Kangi Ndege | |
Last Name: | Lugola | |
Member Type: | Constituency Member | |
Constituent: | Mwibara | |
Political Party: | CCM | |
Office Location: | Box 486, Bunda | |
Office Phone: | +255 783 300800/+255 756 148199 | |
Ext.: | ||
Office Fax: | +255 22 2112538 | |
Office E-mail: | alugola@parliament.go.tz | |
Member Status: | Current Member | |
Date of Birth | 25 May 1963 |
EDUCATION | ||||
---|---|---|---|---|
School Name/Location | Course/Degree/Award | Start Date | End Date | Level |
Nyamitwebili Primary School | Primary Education | 1974 | 1977 | PRIMARY |
Mugeta Primary School | Primary Education | 1978 | 1978 | PRIMARY |
Kafunjo Primary School | Primary Education | 1979 | 1980 | PRIMARY |
Sengerema Secondary School | O-Level Education | 1981 | 1984 | SECONDARY |
Songera Girls' Secondary School | A-Level Education | 1985 | 1987 | HIGH SCHOOL |
University of Dar Es Salaam | B.Com | 1988 | 1992 | GRADUATE |
University of Dar Es Salaam | Masters | 1996 | 1997 | MASTERS DEGREE |
University of Leicester, UK | - | 2008 | 2010 | CERTIFICATE |
Tanzania Police Academy | Certificate | 1993 | 1994 | CERTIFICATE |
Tanzania Police Academy | Certificate | 1999 | 1999 | CERTIFICATE |
East African School of Aviation , Nairobi | Certificate | 2002 | 2002 | CERTIFICATE |
International Civil Aviation Organisation, Nairobi | Certificate | 2002 | 2002 | CERTIFICATE |
EMPLOYMENT HISTORY | |||
---|---|---|---|
Company Name | Position | From Date | To Date |
The Parliament of Tanzania | Member - Mwibara Constituency | 2010 | 2015 |
East African Community | Chief Security Officer | 2002 | 2010 |
Tanzania Airports Authority | Head of Security Section (Airports) | 2001 | 2002 |
Tanzania Police Force | Head of Police Post (Grade A) | 1999 | 2000 |
Tanzania Police Force | Investigation Officer | 1998 | 1999 |
Tanzania Police Force | Inspector | 1993 | 1998 |
POLITICAL EXPERIENCE | |||
---|---|---|---|
Ministry/Political Party/Location | Position | From | To |
Chama Cha Mapinduzi, CCM | Chairperson (District Parent Association) | 2008 | |
Chama Cha Mapinduzi, CCM | Chairperson (Branch) | 1986 |