concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 1,413
- 1,763
Nadhan umeng'aka kwenye bei tu. Ukasahau kila nchi inautaratibu wake. Tukisema kwamba hatununui magar ya ukweli kwa sabab hatuna uwezo Wa kulipa pia ukubali pia kuna haohao watz wana marcopolo paradiso 1800dd zambia. Sheria za kwetu ni tofaut na za kwenu. Mfano kuna urefu ukizid basis gar lako utalipunguza pia kuna ishu ya mizan. Kwenye ishu ya transportation hasa road watz tumejitahid sana tena mpaka nchi za wenzetu tumekata. Mfano msumbiji almost ya northern area imekamatwa tz ten MTU mbili lakin mnaojiita hardworkers zaid ya kuona mnakuwa watumishi na wauza uchi nchi za wenzenu. Kama mnabisha nipen investment ya maana inayomilikiwa na black Kenyan kama kina njoroge,muthon,njeri,kipsoi,Hayo ni maisha ya umaskini na kubebana na ndio athari za ujamaa, inalemaza hata uwezo wa kutumia akili. Haifai kila kitu utegemee kiwe cha bei ya chini halafu bado unataka huduma bora. Lazima umpe mwanabiashara uhuru wa kupiga mahesabu yake bila kukandamizwa, japo kwa kuhakikisha naye hatumii hiyo fursa kunyanyasa.
Unakuta mwenye daladala kaliachia hadi linakua chakavu maana faida anayopata ni kidogo sana, linakua chakavu na chafu na la kushangazaa Watanzania hadi hata wale wa kipato cha kati wote wanang'ang'ania na kubanana ndani ya hayo madaladala kisa alipe 300Tshs (15Kshs). Ukipenda kuishi maisha ya kimaskini/ujamaa na ubahili bila kupenda kutumia hela, ndivyo utakavyokua.
Jamaa kapiga suti ya bei, jinsi alivyovaa inadhihirisha ana kipato kizuri, lakini amebanana na wamama wauza samaki wa Kivukoni, humo ndani ya daladala chafu, linanuka halafu uongeze na joto ya Dar na foleni/jam ya kufa mtu. Eti anakwenda ofisini au kikao sehemu. Lakini hataki kulipa zaidi ya 300Tsh (15Ksh)