Taratibu za kusajili biashara ya mabasi ya mikoani Tanzania

Mkuu umeweza kuzichanga za kununua mabus 4 Ila jambo dogo la usajili unakuja kuliuliza huku...sawa mkuu nitakupa mke wangu awe konda wa kusafiri na bus moja!!
 
Habari,

Kwa wanaofahamu, naombeni utaratibu wa kufuata nikitaka kupata kibali cha kufanya biashara ya mabasi Tanzania. Nataka nianze na mabasi 4 route ya Dar-Mwanza.
unatakiwa uzikatie bima kwanza izo gari hasa ile bima ya kucover abiria endapo majanga yatatokea namainisha thirdparty,bima watakupa insuarance cover note,baada ya hapo utatakiwa uwe na copy ya kadi za magari, mkataba wa kazi wa madereva wako kutoka wizara ya kazi, vehicle inspector report na ile copy ya cover note uliyopewa bima ukipata ivo vitu utaenda kwenye ofisi ya Latra mkoa ambapo unataka izo gari zifanye kazi kati ya mwanza au Dar unaenda kuomba njia huko kuna gharama ya kulipia ambapo utalipia kufungiwa king'amuzi (vts), utalipia njia pamoja na timetable baada ya hapo utakuwa huru kunyoosha goti Mwanza-Dar
 
unatakiwa uzikatie bima kwanza izo gari hasa ile bima ya kucover abiria endapo majanga yatatokea namainisha thirdparty,bima watakupa insuarance cover note,baada ya hapo utatakiwa uwe na copy ya kadi za magari, mkataba wa kazi wa madereva wako kutoka wizara ya kazi, vehicle inspector report na ile copy ya cover note uliyopewa bima ukipata ivo vitu utaenda kwenye ofisi ya Latra mkoa ambapo unataka izo gari zifanye kazi kati ya mwanza au Dar unaenda kuomba njia huko kuna gharama ya kulipia ambapo utalipia kufungiwa king'amuzi (vts), utalipia njia pamoja na timetable baada ya hapo utakuwa huru kunyoosha goti Mwanza-Darnashku

unatakiwa uzikatie bima kwanza izo gari hasa ile bima ya kucover abiria endapo majanga yatatokea namainisha thirdparty,bima watakupa insuarance cover note,baada ya hapo utatakiwa uwe na copy ya kadi za magari, mkataba wa kazi wa madereva wako kutoka wizara ya kazi, vehicle inspector report na ile copy ya cover note uliyopewa bima ukipata ivo vitu utaenda kwenye ofisi ya Latra mkoa ambapo unataka izo gari zifanye kazi kati ya mwanza au Dar unaenda kuomba njia huko kuna gharama ya kulipia ambapo utalipia kufungiwa king'amuzi (vts), utalipia njia pamoja na timetable baada ya hapo utakuwa huru kunyoosha goti Mwanza-Dar
Nashukuru sana, ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom