Receivership already????I thought they have not even been launched???Si Danganyikans did free rides all day long...Ushamba wanayo hawana???Hahahahaha Receivership tayari???? has it even been a year since ??? Where is geza ??? Hamna consumer market huko TZ???? I THOUGHT DAR WAS THE MOST POPULATED CITY IN EA ....mbona mabasi 51 zinawekwa receivership?
Soma habari uelewe, hayo madeni ya hiyo kampuni ni ya muda mrefu na hayahusiani na mradi wa mabasi ya mwendokasi.Receivership already????I thought they have not even been launched???Si Danganyikans did free rides all day long...Ushamba wanayo hawana???
Soma habari uelewe, hayo madeni ya hiyo kampuni ni ya muda mrefu na hayahusiani na mradi wa mabasi ya mwendokasi.
Nadhan hujaelewa kilichowekwa under receivership ni Mali zote za simon group kwa mkopo Wa kitambo na kinachochukuliwa n 51% ya hisa zakeHahahahaha Receivership tayari???? has it even been a year since ??? Where is geza ??? Hamna consumer market huko TZ???? I THOUGHT DAR WAS THE MOST POPULATED CITY IaEA ....mbona mabasi 51 zinawekwa receivership?
Acha upopompo wewe, hilo deni halihusiani na mabasi ya mwendokasi. Btw, nyinyi ndio mmebadilika kiuchumi na sio Tanzania, mmeiga Tanzania kushirikiana na China zaidi na kuachana na mabwana wenu wa kizungu.Hawa ndio zao, ujamaa uliwaadhiri sana, hayo mabasi yapo tu kama msaada wa serikali kwa raia, nauli yenyewe walilia sana wailoptajiwa watalipa 1,000Tshs kama 50Kshs hivi halafu umbali wenyewe kwa nauli pesa ndogo hivyo.
Watanzania hamwezani na maisha ya ubepari wakati bado mnataka mubebwe kama mlivyozoea kipindi cha ujamaa. Mnataka kuiga Kenya lakini bado mnataka muishi kiujamaa. Sisi tunatumia hela ili kufanikisha mnayoyaona haya.
Ona sasa, serikali yenu imeingia gharama kubwa sana kufanikisha huo muundo mbinu, lakini nyie ni wale wale tu. Wengine hata mlikua mnakojoa kwenye hivyo vituo, ilhali wengine mnadunga dunga wanawake na kuwachafua. Mswahili aishi uswazi tu hamna namna, asije kwenye mataa ya mjini...hehehehe!!
did you say serikali iingilie kwa fare ya 50bob?
did you say serikali iingilie kwa fare ya 50bob?
Imagine, jamaa wabahili, most of these Bongos can't survive in Nairobi aki. Washazoea daladala chafu ambazo wao hulipia nauli ya 300Tshs, ukiwaletea vyombo vya kisasa vyenye ustaarabu ambavyo unafaa ulipie wanalalamika hadi kuzimu. Halafu la kushangaza unakuta hata middle class wa Tanzania na wao wapo humo wanalalamika.
Hizi hapa ndio zao, hizo za 300Tsh about 15Ksh, unakuta hata wenye hela wabahili wanabanana humo...
Finje kwetu Kasa huwa githaa ya mchana. Ka mat zziko mob.
Watu wamesota sana huko chini finje inapea mafala sleepless nights waaaaah!!.....my o my!!