Njilembera
JF-Expert Member
- May 10, 2008
- 1,496
- 607
Imagine ile video camera aliyekuwa nayo Marehemu ingepatikana, ichezwe tusikie maneno na vurugu za vipigo wakati ameshikiliwa na mapolisi! Ukiwa na ile kamera pamoja na picha tulizokwisha ziona, je kutokuwepo tena hoja ya tume huru? Pengine ipo haja ya kuwataka wanaharakati wadai ile kamera Kama evidence!