Kamera ya Daudi!

Njilembera

JF-Expert Member
May 10, 2008
1,496
607
Imagine ile video camera aliyekuwa nayo Marehemu ingepatikana, ichezwe tusikie maneno na vurugu za vipigo wakati ameshikiliwa na mapolisi! Ukiwa na ile kamera pamoja na picha tulizokwisha ziona, je kutokuwepo tena hoja ya tume huru? Pengine ipo haja ya kuwataka wanaharakati wadai ile kamera Kama evidence!
 
Sahau,itakuwa ilishachomwa moto siku nyingi bora uyatafute madini ya tanzanite kuliko kuitafuta ile kamera.Hii serikali tushaichoka wenye nchi(wananchi)
 
Sahau,itakuwa ilishachomwa moto siku nyingi bora uyatafute madini ya tanzanite kuliko kuitafuta ile kamera.Hii serikali tushaichoka wenye nchi(wananchi)
Kwa ustaarabu na udemokrasia polisi wangetakiwa wasalimishe mali zote za marehemu maana kamera ile inaweza ikawa Kati ya Hao polisi watano kwani Yule aw Sita aliumia au na Yule Askari Kanzu
 
huijui polisi tanzania dot com anachukuliwa mtuhumiwa anaibiwa na kula kipigo juu..
 
Kama sijakosea huyu ndiye Marehemu anaonekana akichukua video mkuu wa Polisi...Je kuna jambo alolisema ambalo haikutakiwa kurekodiwa... Hii Kamera iko wapi?

hiki kifo kimeniuma sana kwakweli...damu ya mtu huyu itawadai wote walioimwaga kwasababu haikuwa na hatia...siku zote damu isiyokuwa na hatia huwa haiendi bure.
 
Yaani ni kama vile huyo kamanda anamtizama huku anajisemea “hanijui huyu,ngoja ntamkomesha muda mfupi ujao”
 
Hiyo Camera Itapatikana kweli na kama ikipatikana basi itakuwa na picha ambazo haziwezi kusaidia kitu
 
hata hiyo kamera ikipatikana unaweza kukuta huko mkanda wa kitchen patty ule wenye matukio muhimu washautoa siku nyingi
 
huyo mkuu wa polisi ni kama asemaye, siku ya leo utaiface hukumu yako katika ulimwengu mwingine! walaaniwe CCM na vizazi vyao, alaaniwe kikwete na serikali yake, walaaniwe polisi na jeshi la polisi! I HATE THIS GOVERNMENT!
 
duh, mamie una hasira za kufa mtu. nami napigilia msumari. btw hows u?
 
huyo mkuu wa polisi ni kama asemaye, siku ya leo utaiface hukumu yako katika ulimwengu mwingine! walaaniwe CCM na vizazi vyao, alaaniwe kikwete na serikali yake, walaaniwe polisi na jeshi la polisi! I HATE THIS GOVERNMENT!

mmmh jamaa unadhani hata msiba umewagusa...kwenye mazishi hakukuwa hata na mwakilishi yoyote toka jeshi la polisi kwa jinsi haya ilivyowashika, wanang'ang'ania tu ooh asingekua SLAA tusingeua,yote tu kuweweseka...unajua nimekaa najiuliza hivi yule RPC sijui familia yake inamuonaje kuanzia mkewe hadi wanae
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom