Huyu Prof. ana element za secular humanism.Hapa nadhani atakuwa na lengo la kufanikisha upatikanaji wa katiba mpya kwa njia za kisayansi na falsafa. Ni indicator nzuri kwamba udini hauna nafasi kwenye utendaji wake.Hapa ndipo ninapo waheshimu sana wasomi kwa sababu wako well organized.
Sio kweli hata kidogo! machafuko na vita nyingi duniani vimesababishwa na dini. Watanzania sasa hivi wameanza kuchukiana na kutoaminiana kwa sababu ya misingi ya dini. Dini ni bange mbaya sana!Mkuu Nyakageni, sio dini! bali ni baadhi ya waongozaji wa hizo dini ndio sumu na wezi watupu
Dini ni nzuri sana mkuu hasa kama viongozi watajikita kwenye misingi ya dini zao, tatizo kubwa lililopo sasa hivi ni baadhi ya viongozi kubadilisha dini kuwa kama NGO's na sehemu ya kujipatia riziki, na ndio maana unaona maadili yanapotea kwa kasi kubwa mno maana hata sisi waumini tumewashtukia kwa kuwa wanayoyafanya sio siri tena.
Baregu aliwahi kuniambia hana dini. Labda ndiyo maana hajaapa kwa Vitabu hivyo. Uteuzi wake unawakilisha wote wenye mtizamo kama wake.
Mkuu Nyakageni, sio dini! bali ni baadhi ya waongozaji wa hizo dini ndio sumu na wezi watupu
Dini ni nzuri sana mkuu hasa kama viongozi watajikita kwenye misingi ya dini zao, tatizo kubwa lililopo sasa hivi ni baadhi ya viongozi kubadilisha dini kuwa kama NGO's na sehemu ya kujipatia riziki, na ndio maana unaona maadili yanapotea kwa kasi kubwa mno maana hata sisi waumini tumewashtukia kwa kuwa wanayoyafanya sio siri tena.
Function ya dini ikichukuliwa kama social gathering haina tatizo. Tatizo la dini ni kwamba milele yote imekuwa inalazimishwa kuwa "a spiritual thing" kinafiki, wakati ukweli ni kwamba dini "is a social thing." Nothing else!
Zipo sababu nyingi za kisaikolojia kuhimiza wanadamu kufanya "socialization." Na kwa mantini hii mimi nakubali na kuhimiza ndugu, marafiki na wapenzi kwenda Masjid au Kanisani. Ni sehemu nzuri ku-make friends, kuona mitindo mipya ya bargashia, kanzu, suti na mavazi mengine; ni sehemu nzuri kuona mitindo mipya ya magauni, nywele na staili mpya za kuongea na kucheka. beyond that church na masjid turns into an enclave of liars na unafiki kibao! bwana yesu asifiwe--halaf jioni yupo kwenye viroba na soda kama siyo gesti. mwingine sigda imeota sugu kabisa kwenye paji la uso lakini tapeli wa kuogopwa kama ukoma. the best dini on earth is truth and justice.
Ukweli na Haki ndiyo dini ya kweli duniani. nothing else!
anakuwa idiosyncratic tu.
namkubali sana, hasa akivaa bangili yake. Dini ni sumu na wizi mtupu
Hello Bandugu:
Tafadhali rejea site hii: matukio-michuzi
Nimeshangaa sana Prof. Baregu kuapa bila Biblia wala Quaran. Naomba kuelewesha maana/tafsiri yake. Please! Tafadhali!