Kamati ya Katiba: Prof. Baregu kuapa bila Biblia wa Quaran nini tafsiri yake?

Natural

Member
Nov 4, 2010
49
12
Hello Bandugu:

Tafadhali rejea site hii: matukio-michuzi

Nimeshangaa sana Prof. Baregu kuapa bila Biblia wala Quaran. Naomba kuelewesha maana/tafsiri yake. Please! Tafadhali!
 
Angalia post ya muasisi inaelekea hukumuelewa vyema! uwe makini na post zinazoletwa hapa jamvini!
 
Kama kigezo ni kuwa na hofu ya MUNGU,mbona hao tunaowaona kutwa kwenye nyumba za ibada hajatufanyia haki yoyote?
 
namkubali sana, hasa akivaa bangili yake. Dini ni sumu na wizi mtupu

Mkuu Nyakageni, sio dini! bali ni baadhi ya waongozaji wa hizo dini ndio sumu na wezi watupu
Dini ni nzuri sana mkuu hasa kama viongozi watajikita kwenye misingi ya dini zao, tatizo kubwa lililopo sasa hivi ni baadhi ya viongozi kubadilisha dini kuwa kama NGO's na sehemu ya kujipatia riziki, na ndio maana unaona maadili yanapotea kwa kasi kubwa mno maana hata sisi waumini tumewashtukia kwa kuwa wanayoyafanya sio siri tena.
 
Ule ulikuwa mtego..wamkatali waone. asinge apa na angejitoa kwenye tume halafu walio baki wangejibeba. Ile tume aliye ishikilia au anaye ifanya kidogo iheshimike ni baregu tu. ajitoe uone kinacho fuata ITV.
 
Huyu Prof. ana element za secular humanism.Hapa nadhani atakuwa na lengo la kufanikisha upatikanaji wa katiba mpya kwa njia za kisayansi na falsafa.
Ni indicator nzuri kwamba udini hauna nafasi kwenye utendaji wake.Hapa ndipo ninapo waheshimu sana wasomi kwa sababu wako well organized.
 
Back
Top Bottom