Kamati tendaji BAVICHA kuunguruma mjini Morogoro

Join Date : 13th September 2012
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received 0
Likes Given 0

KARIBU SANA JF Post3 out of 3, sitegemie post ingine kutoka kwako!

A very good CAVEAT.........Jamaa hawa wa UPANGA OFFICE wanakuja kwa pupa humu
 
Vita ya urais ndani ya chadema zitto vs slaa na josephine vs juliana.
Heche endelea kutekeleza mpango wako safi sana kamanda.
 
Nahisi wewe ndio Juliana Shonza maana unatoa matamko ya kujihami ili usichukuliwe hatua kali kwa hayo makosa yaliyotajwa. Unatafuta JF sympathy, na huenda usiipate huku.

Kwanza Shonza na Zitto mbona hawaonekani kwenye M4C?
tumemsikia heche akiwa same anajenga chama mara ukonga ,sumbwanga,iringa ,keko ndiko anawavua kila kukicha kabla ya kwenda morogoro tulimwona mwenge akipiga kazi pale stand wewe shonza sijui ni binti au mama umefanya mikutano wapi? mpaka useme unafanya mikutano au ile ya mahotelini na zitto
 
join date : 13th september 2012
posts : 3
rep power : 0
likes received 0
likes given 0

karibu sana jf post3 out of 3, sitegemie post ingine kutoka kwako!
jana w aliweka hoja ya heche amuumbua mtei leo wamekuja na hii ac ni hizi temporal kwa ajili ya kazi ya kutukana hawa vijana hwawazidi 20 chadema kuweni makini nao
wanamtukana mwkt wa taifa ,katibu mkuu kila kukicha,mnyika, wenje, na heche hawa ndio maadui wao namba 1 tumewashuhudia hata kwenye malumbano ya hoja itv wakisema heche kapewa uenyekiti kwa maslah ya mbowe ok anafanya kazi ya chama au ya mbowe
kila siku wako na viongozi wa ccm wanapanga namna ya kupata suport kutoka ccm ili nao washinde nafasi za bavicha kipindi kingine ili hii yote ni kwa maslah ya nani?
 
jana w aliweka hoja ya heche amuumbua mtei leo wamekuja na hii ac ni hizi temporal kwa ajili ya kazi ya kutukana hawa vijana hwawazidi 20 chadema kuweni makini nao
wanamtukana mwkt wa taifa ,katibu mkuu kila kukicha,mnyika, wenje, na heche hawa ndio maadui wao namba 1 tumewashuhudia hata kwenye malumbano ya hoja itv wakisema heche kapewa uenyekiti kwa maslah ya mbowe ok anafanya kazi ya chama au ya mbowe
kila siku wako na viongozi wa ccm wanapanga namna ya kupata suport kutoka ccm ili nao washinde nafasi za bavicha kipindi kingine ili hii yote ni kwa maslah ya nani?
Mkuu umeonge vizuri sana, najiuliza kian BEN na wenzie wapo kwa maslahi ya nani?? CCM o CDM?
 
Vibaraka wa mafisadi ndani ya chadema ni hawa hapa:( wana kinga mshahara kabisa kutoka TISS)
1. Zitto Zubber Kabwe
2. Habib Mchange
3. Greyson Nyakarungu
4. Ben Saa nane
5 Hemed Sabula
6.Msafiri Mtemelwa.

Watu tishio kwa CCM na vibaraka wao ndani ya CDM ni hawa hapa
1. Freeman Mbowe
2 Dr Wilbrod Slaa
3.John Mnyika
4.Godbless Lema
5. John Heche
 
Hawaonekani mikoani kukijenga chama, lkini wao wamekuwa wa kwanza kueneza uzushi na kuwakatisha tamaa makamanda waliojitolea masha yao.
 
Hata Kama unamchukia mtu ulikofika kubaya.Mod mnalala ehh
USHUUZIIIIIIIIIIIIIII.sasa hata mkiamua kujitetea kabla ya tsunami kuweni smart basi.ningependa hako kamalaya kashughulikiwe.stop
 
Siasa bwana full kuchafuana na mizengwe kibao. Huyo Juliana ni nani??
 
vibaraka wa mafisadi ndani ya chadema ni hawa hapa:( wana kinga mshahara kabisa kutoka tiss)
1. Zitto zubber kabwe
2. Habib mchange
3. Greyson nyakarungu
4. Ben saa nane
5 hemed sabula
6.msafiri mtemelwa.

Watu tishio kwa ccm na vibaraka wao ndani ya cdm ni hawa hapa
1. Freeman mbowe
2 dr wilbrod slaa
3.john mnyika
4.godbless lema
5. John heche
mkuuu umemsahau john shibud na jamaa aliyeuza jimbo la kule tarime yule waitara
 
Takataka yeyote inayoleta kiwingu fukuzia mbali, hatuna muda wa kutomasa siasa za kuzungukana, mbona magamba walimfanyaga mbaya Nape uvccm akapata adabu yake.
 
Dont wait for something, which you secretly believe that it will not happen...................CDM inapenda vijana, lakini soi vijana wahuni na malaya
 
Katika Hali ya Kendelea kuushangaza Umma wa Demokrasia Tanzania,Mwenye Kiti wa Vijana Taifa kupitia CHADEMA -JOHN HECHE kwa Taarifa zilizovuja mitandanoni na kwa wajumbe kadhaa wa Kikao cha Vijana Morogoro kuna Taarifa za wazi na za uhakika kabisa John Heche ameagizwa ahakikishe Juliana Shonza anaambikwa msalabani huko Morogoro kwenye Kikao Cha BAVICHA kinachoendelea.

HOJA AMBAZO ZIMESHAVUJA MITANDAONI,AMBAZO HECHE AMEKABIDHIWA KWENDA NAZO MBELE YA JOPO LA WAFUASI/WATUMISHI WA WALIOPIKWA NA DR.SLAAA NI HIZI.

1.JULIANA SHONZA NI MTANDAO WA ZITO?
2.KWANINI JULIANA SHONZA ALITOA TAMKO LA KUTETEA MASLAHI YA VIJANA TAIFA.?

3.KWANINI JULIANA ALITOA TAMKO LINALOPINGANA NA HECHE,HATAKAMA HECHE ALIKOSEA..KWANINI NA JULIANA AKOSEE..NI LILE LA KUMSAPOTI SHIBUDA.
4.KWANINI JULIANA SHONZA ANAFANYA MIKUTANO YA CHAMA MBEYA,DR.SLAAAM N.K BILA TAARIFA YA CHAMA(HAOMBI KIBALI KWENYE CHAMA)
5.JULIANA SHONZA ANAPESA GANI ZA KUFANYIA MIKUTANO YA CHAMA NA KUTOLEA MATAMKO.
6.KWANINI HAMUUNGI MKONO DR.SLAA?

Sasa ulitaka Juliana afanye ujinga achekewe tu?????



Sioni tatizo hapa, labda uchonganishi, CDM sio chama cha Zidumu Fikra za nanihii, magamba.

Mkuu naunga mkono hoja CDM ni chama ambacho unatakiwa ufanye kazi na hakuna kuabudiwa???? Ukikosea unaambiwa bila kificho.
 
Kama ndiyo hivyo, hii Chadema itakufa tu mwaka huu.
Nasikia wewe ndo umeachiwa mikoba na yule mtabiri mashuhuri Afrika Mashariki na kati aliyefariki ambaye alitabiri kuwa yeyote atakayempinga JK lazima afe. Wewe mrithi wake umekuja na utabiri huo wa Chadema kufa mwaka huu, subiri tuone ila tumekusikia mganga wa kienyeji.
 
Basi tukiwa kwenye friendly mechi, kocha mzungu akiwa kwenye benchi akanituma nimjuze BOBAN ajiandae kutoka, maana anacheza chini ya kiwango. BOBAN akanijibu......''Mwambie sijamuona''........ni bora kulijadili hili, kuliko undezi wa kwenye hii thread
 
Back
Top Bottom