Elections 2010 Kamati Maalumu ya NEC ya CCM Zanzibar imeanza kikao kupitisha wagombea Urais

Halisi,
I don't see any problem; we need performers, those who achieved a certain degree of development for their people; siwezi kumpigia kura Dr. Kikwete, kwa kuwa najua kabisa ameachive zero in his performance. Tuwangalie candidates kwenye picha kubwa. Wanaomjua huyu mtu watupe habari zake that is all

Uko sahihi kabisa,, huu ni mjadala mpana sana. Watanzania wanahitaji kujua.. lakini je, uchaguzi utakua HURU? na je, watu watapiga kura ama kutakuwa na kura za MARUHANI?
 
Inawezekana lakini ngumu sana kumpa Umakamu mana mzee wa huku (Amani) anautaka kuendeleza Usulutani maana amekuwa Ikulu ya baba yake miaka minane akiwa mtoto wa Rais, akaja kuwa Ikulu ZNZ Rais miaka kumi then awe Makamu miaka mitano ama kumi, na baadae awe Rais wa Muungano miaka kumi,,,,, jamani Malkia, Mfalme wanakaa miaka mingapi IKULU?
 
Mkuu umejuaje? mbona ni kweli ndivyo itakavyokuwa, yaelekea wewe ni wale CCM wasiolipia kadi ambao wao wanawaita "waliolala" lakini utabiri huu umekosea kidogo sana kwani umesahau kuwa Dr Sheni kalazimishwa na mafisadi kuomba nafasi hiyo kwa malengo yao ya 2015 na liwalo na liwe watampiga tafu kwa njia zozote mpaka ashinde na kwa kishindo kikubwa
Mkuu na wewe umejuaje sijalipia kadi? ni kweli nilikuwa na kadi feki, wakati ule ili kuingia chuo lazima uwe na kadi ya kijani na chuo kilikuwa kimoja tu kama dawa lakini siku nilipoionyesha pale chuo utawala nilipoteremka chini nikaiweka kwenye dust bin.

Kuhusu Dr. Sheni ni kweli katolewa Bara kiutu uzima ili awapishe wenye nchi waliona si vizuri kumuacha mzee wa watu ana hang hang tu kwa sababu ana siri zao nyingi, walikompeleka atapita lakini vile vile tugemee mawimbi kidogo ila yatatulia si unajua tena cheo sabuni ya roho watatulizwa mmoja baada ya mwingine watakaosalia wataanzishiwa mkoa mwingine na wizara mpya ili wote watoshe.
 
According to the tetesi nilizozipata asubuhi hii ni kuwa Dk Bilal na wafuasi wake wamechimba mkwala!!!

Bilali amepata wakati mgumu sana, na ingekuwa Kamati maalumu ni waamuzi basi leo Bilal angekatwa jina. Mohamed Aboud kaundiwa zengwe la shule ya Sekondari aliyosoma kabla ya kwenda Kibasila, kwamba kadanganya na kwamba ameambiwa mwaka aliotaja shule hiyo haikuwa na sekondari hadi kamati maalum ikamuita Katibu Mkuu wa Elimu ambaye amekiri udhahifu huo. Kambi ya Aboud imeamua kupambana na kuwasilisha ushahidi wote kwenye KAMATI KUU.

EDUCATIONS
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Cambridge International College - UK
Diploma in Business Management & Admin.
2001
2003
DIPLOMA
Cambridge International College - UK
Diploma in Business economic & Commerce
2001
2003
DIPLOMA
Montaigne School of English - UK
Certificate
2000
2000
CERTIFICATE
ICS
-
1997
1998
CERTIFICATE
Kibasila Secondary School
O-Level Education
1976
1977
SECONDARY
Michakaeni Secondary School
Secondary Education
1973
1975
SECONDARY
Michakaeni Primary School,Pemba
Primary Education
1966
1972
PRIMARY
ST.Clement University -West Indies
Public Administration
2008
2008
MASTERS DEGREE
 
Elimu zinasumbua watu kweli...hasa hawa wakubwa. Walikuwa hawana muda wa kukaa darasani
 
Nadhani kuwa Shein huenda ni kiongozi shaky sana. Sielewi kwa nini aliamua kwenda kwenye local politics za Zanzibar baada ya kuwa kwenye national politics ndani ya serikali ya muungano katika nafasi ya juu sana (ya kwanza baada ya rais) kama makamu wa rais kwa zaidi ya miaka saba tena katika awamu mbili tofauti. Mtu huyu pamoja na sifa zake nyingi njema, nina wasiwasi na uwezo wake wa kutoa maamuzi magumu kama kweli alisukumizwa kwenda kugombea Zanzibar na yeye akakubali. Nilitegemea kuwa Shein angesimama kugombea kuwa rais wa muunganoni dhidi ya mabwanyenye walioko CCM.

Ni Kawaida watu kuanza kuwa kwenye local politics za Zanzibar kabla hawajaingia kwenye national politics za Jamhuri ya muungano. Jamaa huyu anataka kwenda kinyume nyume; jambo la ajabu sana hilo.
 
Nime sikia kuwa Shein, Bilal, Shamhuna, Nahodha and Haroun ndiyo majina yaliyo pendekezwa kwenda NEC.
 
Mkuu na wewe umejuaje sijalipia kadi? ni kweli nilikuwa na kadi feki, wakati ule ili kuingia chuo lazima uwe na kadi ya kijani na chuo kilikuwa kimoja tu kama dawa lakini siku nilipoionyesha pale chuo utawala nilipoteremka chini nikaiweka kwenye dust bin.

Kuhusu Dr. Sheni ni kweli katolewa Bara kiutu uzima ili awapishe wenye nchi waliona si vizuri kumuacha mzee wa watu ana hang hang tu kwa sababu ana siri zao nyingi, walikompeleka atapita lakini vile vile tugemee mawimbi kidogo ila yatatulia si unajua tena cheo sabuni ya roho watatulizwa mmoja baada ya mwingine watakaosalia wataanzishiwa mkoa mwingine na wizara mpya ili wote watoshe.

Luteni & MKJJ, huo ndiyo muelekeo wanaopanga ili kila mtu aridhike. Bilal-Makamu Muungano; Shein-Rais ZNZ. Kivumbi ni kumfanya Bilal aridhie haya.
 
Bilali amepata wakati mgumu sana, na ingekuwa Kamati maalumu ni waamuzi basi leo Bilal angekatwa jina. Mohamed Aboud kaundiwa zengwe la shule ya Sekondari aliyosoma kabla ya kwenda Kibasila, kwamba kadanganya na kwamba ameambiwa mwaka aliotaja shule hiyo haikuwa na sekondari hadi kamati maalum ikamuita Katibu Mkuu wa Elimu ambaye amekiri udhahifu huo. Kambi ya Aboud imeamua kupambana na kuwasilisha ushahidi wote kwenye KAMATI KUU.

EDUCATIONS
School Name/Location
Course/Degree/Award

Start Date

End Date

Level

Cambridge International College - UK

Diploma in Business Management & Admin.

2001

2003

DIPLOMA

Cambridge International College - UK

Diploma in Business economic & Commerce

2001

2003

DIPLOMA

Montaigne School of English - UK

Certificate

2000

2000

CERTIFICATE
Du! hawa viongozi wa CCM na CV zao, yaani unaweza kuweka hizo qualifications hapo juu hadharani tena kwa ajili ya nafasi ya kugombea uraisi??? Hivyo vyuo unafanya mitihani bila hata invigilation wala any supervision navyo it matters? Kweli ndiyo maana akina Mkulo wanajiita Madokta, this is ridiculous!!!!!
 
Luteni & MKJJ, huo ndiyo muelekeo wanaopanga ili kila mtu aridhike. Bilal-Makamu Muungano; Shein-Rais ZNZ. Kivumbi ni kumfanya Bilal aridhie haya.

Kwa siasa zakinafiki ndani ya CCM nina uhakika Bilali haendi kokote, atanyongwa kama kuku wa "maholelo" Think tanks wao kwa vyovyote hawatakubali Bilal aje awasumbue 2015 au mmesahau mizengwe yao ya 2005?
 
Back
Top Bottom