CCM Zanzibar yathibitisha majina ya Wakuu wa Idara za Kamati Maalum

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
738
479
Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao cha kwanza cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar, kikao hicho kimethibitisha majina ya wakuu wa idara za kamati za Maalum majina ya wakuu wa idara ni kama ifuatavyo:-

(1).Ndugu Omar Ibrahim Kirupibkuwa Katibu wa kamati maalum ya NEC, Idara ya Organizesheni.

(2) Ndugu Khadija Salum Ally kuwa Katibu wa kamati maalum ya NEC, Idara ya Siasa na Uhusiano wa kimataifa.

(3) Ndugu Khamis Mbetto Khamis kuwa Katibu wa kamati Maalum ya NEC, Idara ya itikadi na uenezi.

(4) Ndugu Afadhali Taib Afadhali kuwa Katibu wa kamati maalum ya NEC, Idara ya uchumi na fedha.

Kikao hicho kimefanyika Afisi kuu CCM Kisiwandui, Zanzibar. Leo Jumapili, 29 Januari 2023. Afisi kuu CCM Kisiwandui, Zanzibar.

View attachment 2499314View attachment 2499315View attachment 2499316View attachment 2499317View attachment 2499318
IMG-20230129-WA0014.jpg
View attachment 2499320View attachment 2499319
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom