Kamati kuu ya CCM imechakachuliwa

Chifunanga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
290
98
Wadau,
Nimepitia tovuti ya CCM na kuangalia wajumbe wa kamati kuu, maana kuna tetesi kuwa sijui akina lowassa na rostam wametolewa...... waliotolewa si wale wakina makamba tu, sio kila mtu?

Anyways, pointi yangu ni angalieni hii list inasema kuna wajumbe 38, lakini naona kama hawafiki hiyo namba.


1. Ndugu Kakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti
2. Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara)

3. Ndugu Amani Abeid Amani Karume - Makamu Mwenyekiti(Zanzibar)

4. Ndugu Wilson Mukama - Katibu Mkuu
5. Capt. (mst) John Zefania Chiligati - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
6. Ndugu Vuai Ali Vuai - Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)
7. Dr. Ali Mohamed Shein - Mjumbe
8. Ndugu Edward Ngoyai Lowassa - Mjumbe
9. Ndugu Shamsi Vuai Nahodha - Mjumbe
10. Alhaj Ali Hassan Mwinyi - Mjumbe
11. Ndugu Benjamin William Mkapa - Mjumbe
12. Dr. Salmin Amour - Mjumbe
13. Ndugu John Samwel Malecela - Mjumbe
14. Ndugu Nape Nnauye - Mjumbe
15. Ndugu Mwigulu Mchemba - Mjumbe
16. Ndugu January Makamba - Mjumbe
17. Ndugu Asha Abdallah Juma - Mjumbe
18. Ndugu Abdulrahman Kinana - Mjumbe
19. Ndugu Anna Makinda - Mjumbe
20. Ndugu Pandu Ameir Kificho - Mjumbe
21. Ndugu Anna Abdallah - Mjumbe
22. Ndugu Rostum Aziz - Mjumbe
23.Dr. Mohamed Gharib Bilal - Mjumbe
24. Ndugu Pindi Hazara Chana - Mjumbe
25. Ndugu Andrew Chenge - Mjumbe
26. Dr. Maua Abeid Daftari - Mjumbe
27. Ndugu Samia Suluhu Hassan - Mjumbe
28. Ndugu Mohamed Seif Khatib - Mjumbe
29. Ndugu Haji Omar Kheri - Mjumbe
30 . Dr. Abdallah Omari Kigoda - Mjumbe
31 . Ndugu Abdurahman Kinana - Mjumbe
32 . Ndugu Anne Semamba Makinda - Mjumbe
33. Ndugu Fatuma Said Ali Mchumo - Mjumbe
34 . Ndugu Zakia Hamdan Meghji - Mjumbe
35. Ndugu Omar Yussuf Mzee - Mjumbe
36. Ndugu Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
37 . Ndugu Ali Ameir Mohamed - Mjumbe
38. Ndugu Yussuf Moh’d Yussuf - Mjumbe

Hayo majina yenye rangi naona yamejirudia.... au ndio mambo ya KUVUA MAGAMBA?
 
Unatakiwa kuwa makini na hoja sio unarukia tu kuna tofauti kati ya NEC na CC iliyovunjwa na kuundwa mpya ni CC na sio NEC.
 
Wadau,
Nimepitia tovuti ya CCM na kuangalia wajumbe wa kamati kuu, maana kuna tetesi kuwa sijui akina lowassa na rostam wametolewa...... waliotolewa si wale wakina makamba tu, sio kila mtu?

Anyways, pointi yangu ni angalieni hii list inasema kuna wajumbe 38, lakini naona kama hawafiki hiyo namba.


1. Ndugu Kakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti
2. Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara)

3. Ndugu Amani Abeid Amani Karume - Makamu Mwenyekiti(Zanzibar)

4. Ndugu Wilson Mukama - Katibu Mkuu
5. Capt. (mst) John Zefania Chiligati - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
6. Ndugu Vuai Ali Vuai - Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)
7. Dr. Ali Mohamed Shein - Mjumbe
8. Ndugu Edward Ngoyai Lowassa - Mjumbe
9. Ndugu Shamsi Vuai Nahodha - Mjumbe
10. Alhaj Ali Hassan Mwinyi - Mjumbe
11. Ndugu Benjamin William Mkapa - Mjumbe
12. Dr. Salmin Amour - Mjumbe
13. Ndugu John Samwel Malecela - Mjumbe
14. Ndugu Nape Nnauye - Mjumbe
15. Ndugu Mwigulu Mchemba - Mjumbe
16. Ndugu January Makamba - Mjumbe
17. Ndugu Asha Abdallah Juma - Mjumbe
18. Ndugu Abdulrahman Kinana - Mjumbe
19. Ndugu Anna Makinda - Mjumbe
20. Ndugu Pandu Ameir Kificho - Mjumbe
21. Ndugu Anna Abdallah - Mjumbe
22. Ndugu Rostum Aziz - Mjumbe
23.Dr. Mohamed Gharib Bilal - Mjumbe
24. Ndugu Pindi Hazara Chana - Mjumbe
25. Ndugu Andrew Chenge - Mjumbe
26. Dr. Maua Abeid Daftari - Mjumbe
27. Ndugu Samia Suluhu Hassan - Mjumbe
28. Ndugu Mohamed Seif Khatib - Mjumbe
29. Ndugu Haji Omar Kheri - Mjumbe
30 . Dr. Abdallah Omari Kigoda - Mjumbe
31 . Ndugu Abdurahman Kinana - Mjumbe
32 . Ndugu Anne Semamba Makinda - Mjumbe
33. Ndugu Fatuma Said Ali Mchumo - Mjumbe
34 . Ndugu Zakia Hamdan Meghji - Mjumbe
35. Ndugu Omar Yussuf Mzee - Mjumbe
36. Ndugu Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
37 . Ndugu Ali Ameir Mohamed - Mjumbe
38. Ndugu Yussuf Moh'd Yussuf - Mjumbe

Hayo majina yenye rangi naona yamejirudia.... au ndio mambo ya KUVUA MAGAMBA?

75% baraza la hija as usual
 
Unatakiwa kuwa makini na hoja sio unarukia tu kuna tofauti kati ya NEC na CC iliyovunjwa na kuundwa mpya ni CC na sio NEC.

Mvua Gamba, sijui kati ya mimi na wewe nani ndio amekurupuka....soma vizuri nilichoandika

anyways, mi source yangu hii hapa:

"Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa Katibu Mkuu, Yusuf Makamba ameondolewa katika nafasi hiyo pamoja na baadhi ya wajumbe wa Sekretarieti, huku wajumbe mashuhuri katika Kamati Kuu, Edward Lowassa, Andrew Chenge na Rostam Aziz wakipoteza nafasi zao kwa madai ya kuzongwa na tuhuma za ufisadi. Kwa muda mrefu sasa, baadhi ya wananchi ndani na nje ya chama hicho wamekuwa na dhana kwamba viongozi hao ni miongoni mwa wanachama wa CCM ambao wamekichafua chama hicho kutokana na tuhuma za ufisadi."

CCM itaweza tu kujivua gamba iwapo itafanya haya
 
mbona hapo kwenye idadi ya wajumbe wa nec ccm wengi wao ni wa dini moja au na wenyewe ni chama cha kidini(uislamu) kama wanavyo kisema chama fulani cha upinzani nawalisha.
 
Wajumbe wa CC

WAJUMBE WA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CHAMA CHA MAPINDUZI



Msekwa.JPG
President-1.JPG
Karume.JPG


@font-face { font-family: "Cambria Math"; }@font-face { font-family: "Calibri"; }p.MsoNormal, li.MsoNormal, div.MsoNormal { margin: 0cm 0cm 10pt; line-height: 115%; font-size: 11pt; font-family: "Calibri","sans-serif"; }.MsoChpDefault { }.MsoPapDefault { margin-bottom: 10pt; line-height: 115%; }div.Section1 { page: Section1; }
Nd. Pius Msekwa
Makamu
Mwenyekiti (Bara)
Nd.Jakaya M.Kikwete

Mwenyekiti
Nd. Amani A. A. Karume
Makamu Mwenyekiti(Zanzibar)


1. Ndugu Kakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti
2. Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara)
3. Ndugu Amani Abeid Amani Karume - Makamu Mwenyekiti(Zanzibar)​

4. Ndugu Wilson Mukama - Katibu Mkuu
5. Capt. (mst) John ZefaniaChiligati - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
6. Ndugu Vuai Ali Vuai - Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)
7. Dr. Ali Mohamed Shein - Mjumbe
8. Ndugu Edward Ngoyai Lowassa - Mjumbe
9. Ndugu Shamsi Vuai Nahodha - Mjumbe
10. Alhaj Ali Hassan Mwinyi - Mjumbe
11. Ndugu Benjamin William Mkapa - Mjumbe
12. Dr. Salmin Amour - Mjumbe
13. Ndugu John Samwel Malecela - Mjumbe
14. Ndugu Nape Nnauye - Mjumbe
15. Ndugu Mwigulu Mchemba - Mjumbe
16. Ndugu January Makamba - Mjumbe
17. Ndugu Asha Abdallah Juma - Mjumbe
18. Ndugu Abdulrahman Kinana - Mjumbe
19. Ndugu Anna Makinda - Mjumbe
20. Ndugu Pandu Ameir Kificho - Mjumbe
21. Ndugu Anna Abdallah - Mjumbe
22. Ndugu Rostum Aziz - Mjumbe
23.Dr. Mohamed Gharib Bilal - Mjumbe
24. Ndugu Pindi Hazara Chana - Mjumbe
25. Ndugu Andrew Chenge - Mjumbe
26. Dr. Maua Abeid Daftari - Mjumbe
27. Ndugu Samia Suluhu Hassan - Mjumbe
28. Ndugu Mohamed Seif Khatib - Mjumbe
29. Ndugu Haji Omar Kheri - Mjumbe
30 . Dr. Abdallah Omari Kigoda - Mjumbe
31 . Ndugu Abdurahman Kinana - Mjumbe
32 . Ndugu Anne Semamba Makinda - Mjumbe
33. Ndugu Fatuma Said Ali Mchumo - Mjumbe
34 . Ndugu Zakia Hamdan Meghji - Mjumbe
35. Ndugu Omar Yussuf Mzee - Mjumbe
36. Ndugu Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
37 . Ndugu Ali Ameir Mohamed - Mjumbe
38. Ndugu Yussuf Moh'd Yussuf - Mjumbe


Hawa CCM ni wasanii wala EL, Chenge na RA hawajatoswa kwa mujibu wa tovuti yao.
 
Maimamu wetu wawe makini wanaposema chama fulani ni cha kidini. Wajaribu kuangalia haya pia watoe michango yao je CCM ni chadini gani mbona wengi wao ni wa dini moja au hichi ni chao wanachotaka
 
Tunatakiwa kumwomba mbungu sana atuepushe na haya yanayosemwa na wenzetu ya udini. Jamani ni propoganda tu. Na iko siku watanzania watakuja kujua kuwa huu mchezo sio mzuri. Tunataka kupelekana katika maswala ya udini. Mwalimu alisema atumchagui mtu kwa dini yake, wala kabila lake ila kwa utendaji wake na wakujali kuwa hawa ni watanzania itakuja julikana siku moja
 
Hapa naungana na Mufti, ndiyo sababu anatetea kwa nguvu zote ccm kwa sababu wana dini yake ni wengi katika kikao kikubwa cha maamuzi
 
Kumbukeni:
-Ni Kamati Kuu yenye madaraka ya kupunguza majina ya wagombea urais kutoka namba yoyote hadi watano bila kuhojiwa,
-Inapokea na kujadili hali ya siasa ya nchi, usalama wa nchi, na kumshauri Rais juu ya mtu/taasisi yoyote katika taifa hili,
-Inajua mapema au kujulishwa baadaye juu ya uteuzi wa watu muhimu katika vyombo vya usalama, fedha, na mahakama.

Kwa kifupi Kamati Kuu (CC), ni chombo chenye nguvu kuliko hata baraza la mawaziri. Kwa fikra za Ki-kremlin, Kamati Kuu ndiyo nchi maana inaguza uhai na mapigo ya moyo wa taifa.

Hii ni kwa chama tawala cha sasa ambacho kimeshindwa kutenganisha masuala ya kiserikali na kichama. Ndiyo maana maafisa usalama wa taifa kwa kutumia kodi zetu, ndiyo vetting officers wa wajumbe wa Kamati Hii na wateule wengine wa kichama.

-Bila kujiingiza katika mijadala ya udini, nawasihi wenzangu ambao wamekuwa wanalalamika kuwa nchi inaendeshwa kwa "mfumo-kristo", wafikiri upya kwa kuangalia orodha ya wajumbe wa Kamati Kuu.

Nakubaliana na aliyesema kuwa ndiyo maana Mufti anawaandama Chadema.
 
Back
Top Bottom