Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,163
Kuna mengi yanayotokea. Kwamba hakuna waandishi hilo siliamini, siamini pia kuwa kuna tatizo la mawasiliano... kwa wengi hiki ni kipindi cha kuhangaika sana... nadhani, kuna nguvu inadhibiti waandishi huko TaboraMkuu ninasaka sana habari za uchaguzi Mkoa wa Tabora, kwa bahati mbaya hazipatikani au kama zinapatikana basi uandishi wake uko nusu nusu. Ina maana mkoa wangu hauna wawakilishi/waandishi wa magazeti?