Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,411
- 80,050
hawa si kama Wazanzibar na Mwarabu wanasahau hata kuishi hapo Zanzibar walitolewa Bara kupelekwa visiwani kama manamba na watumwa! Leo hii ati wao ni tofauti na sisi!nao watu wa huko tabora bwana nashukwa na butwaa na huwa siamini macho yangu kabisa ni kwa nini wanawapenda sana hawa waarabu...............waliisha sahau kuwa wao ndio walikuwa watumwa na hao mabwana akina ROSTAM,BASHE na wengine ni mazao yao na kwa kwewli kiasili sio raia...........wapeni wazawa watoto wenu waende bungeni wakawatetee......kwani nyie watu wa tabora na kwingineko hamuoni aibu kodi mnazolipa waende kuzila watu wa mataifa mengine???????wao wamekuja kufanya biashara for good haina tatizo waache sasa wakipata faida msikubali kurubuniwa na kununuliwa mkawapa kura........sisi hatuwataki kwenye serikali zetu wapeni nafasi watoto wenu wazawa wawawakilisheni na hao ndio wanaojua matatizo yenu......akina bashe waache waendelee kufanya biashara.............siamini