Kamanda MBOWE Vs Dr SLAA

Status
Not open for further replies.
Kuna mwanajf aliwahi kuuliza kati ya Lowassa na Pinda yupi bora? Na mwingine aliuliza kati ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na JK nani ni bora. Mimi leo naona tujadili kati ya DJ Mbowe na Dr Slaa nani zaidi?

Nawasilisha
aah, wote waukwl. ni wanamapinduzi wa kweli
 
then ukijua litakusaidai nini?acheni unafiki yataja tokea mafiriko kwa vithread vya wanafiki kama hawa umeliona hilo tu, la mkwere na makamba? au lipumba na maalimu mbona hamyazungumzii
 
Ukiacha tofauti zao za kimadaraka na kiumri, DJ Mbowe na Dr Slaa wote wanaamini katika kuwezekana kwa kupungua kwa pengo kati ya matajiri na maskini. Wanaamini kuwa inawezekana kwa kila mtz kuishi katika nyumba bora na kupata mahitaji yake ya msingi (ikiwemo elimu) bila kutumia njia za kifisadi.
 
Hakuna wanadamu wawili duniani walio sawa. Na katika kuangalia nani zaidi unaitaji terms of reference, hii ina maana kwamba issue inakuwa relative. Mmoja anaweza kuwa M Kiti mzuri, lakini asiwe katibu mzuri.

Consult psychology books.:decision:
 
Udaku huu una maana gani kusema na maisha ya watu zungumza mambo ya msingi ya taifa hili, Je wewe na mkewe nani bora??
 
Do not be boring, you have failed to campare CCM leaders then you come to CDM, YOU are too hypocritic and blind of your own creation
 
In life, my son, you will always meet people who are greater than you, and also those who are lesser than you.

That is life.
 
Wote wana nia na lengo la kumkomboa Mtanzania,wako chama kimoja,tofauti yao ni umri na kabila,

Slaa ana Phd,Padri Mstaafu na Mbowe ana Diploma alikua DJ zamani!Pia Mbowe Mrefu na Dr Slaa Mfupi,Mbowe ana Mke na Dr Slaa ana Mchumba! Mbowe ni Mwenyekit Chadema na Slaa ni Katibu Chadema,Mbowe amekua Mbunge Vipindi Viwili na Slaa vipindi Vitatu! Slaa anajua kujenga hoja,Mbowe anatumia nguvu sana! Slaa ni Mtendaji,Mbowe ni mumiliki wa Chama alikabidhiwa na Mzee Mtei! Slaa ni Muirak na Mbowe ni Mchaga wa Machame!
 
Huyu katumwa, uliowataja wote wanafanana kikazi! Mbowe na Slaa tofauti kabisa, La wapi linalokurupuka pasipo ku-reason? Swali lako liende pande za udaku, hapa ni great thinkes only. Wewe ni shallow mind, don ever try to ask this again.
 
Kuna mwanajf aliwahi kuuliza kati ya Lowassa na Pinda yupi bora? Na mwingine aliuliza kati ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na JK nani ni bora. Mimi leo naona tujadili kati ya DJ Mbowe na Dr Slaa nani zaidi?

Nawasilisha

Ili iweje? Acha propaganda zako. Mmeanza kutafuta pa kuingilia.
 
Ukiacha tofauti zao za kimadaraka na kiumri, DJ Mbowe na Dr Slaa wote wanaamini katika kuwezekana kwa kupungua kwa pengo kati ya matajiri na maskini. Wanaamini kuwa inawezekana kwa kila mtz kuishi katika nyumba bora na kupata mahitaji yake ya msingi (ikiwemo elimu) bila kutumia njia za kifisadi.
Hata CCM,CDM,NCCR,DP...vyote vina imani hiyo hiyo,hata kaqtiba ya kenya ni ya kijamaa,hata ya masri zote zikio hivyo hivyo..hiyo ni gia tu!
 
kweli ccm iko ukingoni! hebu kajivueni magamba dodoma kwanza.kukiokoa chama inabidi jk naye awe out!
 
They are all the same!....power hungry
what a pitty monkey? do you really know the work of an opposition party, for your own good is to keep the government of its toes, therefore Kamanda Wa Anga Freema Mbowe and Dr Slaa are performing their duties. the issue is not power hunger, usiwe kama wazazi wako wa CCM wanao kurupuka kushutumu maandamano hawajui hiyo ni haki ya kila binaadamu kuandamana kama hajaridhika na mambo yanavyoendeshwa. open up your eyes you young minded fellow.
 
nina siku siji humu ndani ili watu wenye uviamo?vu wa kufikiri si kuwaacha sijui mmetumwa au ndo hiyo kwenye msafara wa mamba na kenge wa?
 
mbowe ni mwenyekiti bora zaidi kutokea baada ya nyerere

Dr Slaa ni katibu mkuu bora mwenye scores ambazo hazifikiki hata kwa nusu na makatibu wakuu wengine waliowahi kutokea katika siasa za tanzania.

Kumbuka Mwenyekiti na Katibu wanafanya kazi tofauti sasa hawalinganishiki.Kuna siku utaanzisha sred kati ya JK na Shehe Yahya yupi zaidi kama hautajitambua mapema
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom