Kamanda MBOWE Vs Dr SLAA

Status
Not open for further replies.
Freeman ni Kijana kuliko Slaa lakini Ameoa na ana Watoto anawalea Vizuri sana na Anampenda sana Mke wake na Familia yake, lakini Slaa sijui Ana Matatizo gani, amezeeka lakini Hajaoa, na Issue zake zinajulikana. Aidha Freeman ni mjanja Zaidi, alipoona Slaa anawika Sana Bungeni, aliacha kugombea Urais (aliona Ngoma ni Nzito) akamtoa Slaa Bungeni akamshakizia Kwenye Urais huku akijua hatashinda Bali Ataongeza kura ili Chama kipate Ruzuku zaidi, Kisha yeye Mjanja akaingia Bungeni ili Akawike zaidi Kama alivyokuwa Slaa! Sasa angalieni 2015 Kama hatasimama yeye Kugombea Urais! Mtanambbia, Jamani Mchagga Sio Mchezo!

Akili taka
 
Kura za Uraisi 2005 na 2010 zinawatofautisha kwa sana tu. Idadi ya Wabunge wa kuchaguliwa na hata viti maalum 2005 na 2010 vinawatofautisha pia. Nguvu ya sasa ya CHADEMA na ile ya 2006 ni tofauti nyingine kubwa. Mvuto kwa watu kwenye mikutano, maandamano ya Dr Slaa wala hauwezi kuilinganisha na ile ya Freeman. Ukiwauliza CCM kama kuna kosa kubwa waliwahi kufanya kwenye vikao vyao ni lile la kumnyima Dr Slaa ugombea wa Ubunge Karatu mwaka 1995. Mbowe sijawahi kusikia kama alikuwa CCM. Wote wawili JKT walikwenda?
 
what a pitty monkey? do you really know the work of an opposition party, for your own good is to keep the government of its toes, therefore Kamanda Wa Anga Freema Mbowe and Dr Slaa are performing their duties. the issue is not power hunger, usiwe kama wazazi wako wa CCM wanao kurupuka kushutumu maandamano hawajui hiyo ni haki ya kila binaadamu kuandamana kama hajaridhika na mambo yanavyoendeshwa. open up your eyes you young minded fellow.
Walikataa matokeo halafu wakakubali,you either recognize the government or not!Thats first.
Now if you recognize the government,are you going to support it or be against it?
if you support it,then you give advice on how to solve this energy issue,how to lower food prices and how to control the price inflation that we are facing.Tell us how to make this life better,how!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom