Kamanda Lowassa ndani ya Singida, Afanya mkutano Manyoni

Naona polisi wanaanza kuona ukweli, miguu kote ccm na ukawa, atayeshinda wanahamishia miguu yote miwili. Hapo mwanzo walifikiri ni ccm tu.
 
Lowasa huyu safi sana,,, hadi Jay one kaandika "KIINGEZERA" sijui alimaanisha kiingereza! ikulu ni ya EL lazima.
 
Mgombea Urais kupitia UKAWA Edward Lowassa ameingia Manyoni asubuhi kwa kishindo kikubwa na kulakiwa na umati mkubwa wa watu uliokuwa unaimba Rais..Rais..Rais muda wote wa mkutano.

Lowassa aliuambia umati huo wa watu kwamba analifahamu tatizo kubwa la maji katika wilaya ya Manyoni na amewahakikishia wakazi wa wilaya hiyo kwamba atahakikisha wananchi watapata maji ya uhakika mara tu atakapoingia IKULU.

Lowassa aliwaambia wananchi wajitokeze kwa maelfu siku ya kupiga kura ili ushindi wake uwe wa uhakika ambapo umati huo ulijibu kwamba watalala vituoni usiku wa kuamkia siku ya kura.

Pichani chini:Umati uliomlaki Lowassa Manyoni
12003995_892211230861011_3828660544159273829_n.jpg



12009826_892211434194324_6427034648326584194_n.jpg

hii comment inasifa ya kuwa thread
 
@Mod nii ni saboteji kama umeunganisha uzi mbona picha hukuziweka juu kama updates. Kwa kweli siku hizi mnaboa sana.
 
hiyo habari imekatwa maksudi ili kutotoa usawa wa alichokiongea huyo mwakilishi maana imepigwa picha ya mkato .

Pia inamsaidia lowassa kwakuwa iliyoonywa ni serikali na siyo edward lowassa ...

"kajifunze kiingerezq kwanza ili ujitambue!

Mweleze pia atafsiri poacher(uwindaji haramu) kazi ya kinana hiyo na ccm wamemaliza tembo wote
 
Back
Top Bottom