msosholisti
Member
- Feb 17, 2011
- 60
- 1
Hata kama ilitumika kama sababu almradi hakuwa m/kiti inatosha angetusumbua sana huyu dogo.
Lakini dogo matata huyooo! akitoka huyo na chama kimekufa, watabakia wachaga pekeyao. Labda kama ile chacha
Hata kama ilitumika kama sababu almradi hakuwa m/kiti inatosha angetusumbua sana huyu dogo.
Lakini dogo matata huyooo! akitoka huyo na chama kimekufa, watabakia wachaga pekeyao. Labda kama ile chacha
Baada ya kuona mwelekeo wake ni kama haeleweki ndani ya chama,na jinsi anavyoongelewa na watu ndani na nje ya Jf.(1)Hivi angekuwa mwenyekiti Cdm ingekuwaje kwa sasa?(2)Anafanya hayo kama kidonda cha kukosa uenyekiti au ndiyo moyo wake ulivyo?WAKUU naombeni mnisaidie
vyama vyote vya upinzani vingeungana na ccm kama walivyofanya cuf
samahani naomba kuuliza Sugu,Silinde,Baregu,Msigwa,Slaa,MWAMPAMBA nk ni wachaga,mbona tunaongea v2 kama sio wasomi,kwa sababu viongozi wa juu wa ccm,ni waislamu je ccm ni ya waislam?FIKIRILakini dogo matata huyooo! akitoka huyo na chama kimekufa, watabakia wachaga pekeyao. Labda kama ile chacha
samahani naomba kuuliza Sugu,Silinde,Baregu,Msigwa,Slaa,MWAMPAMBA nk ni wachaga,mbona tunaongea v2 kama sio wasomi,kwa sababu viongozi wa juu wa ccm,ni waislamu je ccm ni ya waislam?FIKIRI
kwan BOB MAKANI ALIKUWA MCHAGA?
Hv mbona nawe unaongeaga mambo murwa kbs lakini leo umesema pumba tupu? Ama siku nyingine kichwa kinahama. Ina maana Chadema kinamilikiwa oa WacgaggaLakini dogo matata huyooo! akitoka huyo na chama kimekufa, watabakia wachaga pekeyao. Labda kama ile chacha
ahaaaaa kumbe JF ya chadema/wachaga. sasa nimeamini.
Baada ya kuona mwelekeo wake ni kama haeleweki ndani ya chama,na jinsi anavyoongelewa na watu ndani na nje ya Jf.(1)Hivi angekuwa mwenyekiti Cdm ingekuwaje kwa sasa?(2)Anafanya hayo kama kidonda cha kukosa uenyekiti au ndiyo moyo wake ulivyo?WAKUU naombeni mnisaidie
Habarini za asubuhi wanajamvi! Napenda nipate mawazo na maoni yenu kuhusu: Ingekuwa na hali gani CDM kama zitto angekuwa m/kiti wake toka 2009? naomba tujadili kwa busara,matusi yasipewe nafasi.