MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Kama Yanga SC ingeshinda leo dhidi ya Zanaco FC Kesho Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo walipanga kusema yafuatayo....
"Hakika Yanga SC hii ndiyo yenyewe na hata hao Simba SC na Azam FC hata ikiwezekana na Al Ahly FC walipange kwani kwa Usajili huu mwaka huu Yanga SC inabeba Vikombe vyote Duniani. Timu imecheza vizuri mno pamoja na kwamba Kambi yao ilikuwa ya Kusuasua. Hakika huu ndiyo Usajili bora kufanywa na GSM kwani kama Zanaco FC leo Kafungwa hakuna wa Kuisimamisha Yanga SC. Pongezi Kwao na kwa Mchezo mzuri hadi Wazambia wakawa wanaomba muda uishe tu"
Baada ya Yanga SC Kufungwa rasmi na Zanaco FC Magoli 2 kwa 1 hivi ndivyo Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo nchini Tanzania watakavyosema Kesho katika Vipindi vyao...
"Yanga SC na wana Yanga hata wasiwe na Hofu kwa Matokeo haya ya Kufungwa leo na Zanaco FC kwani Timu bado inajipanga, haijawa na Pre Season nzuri, Wachezaji hawajaelewana halafu inaonyesha Yanga SC waliamua Kucheza kwa Tahadhari ili kuepuka kupata Majeruhi kuelekea Mechi zao Mbili muhimu ile ya Rivers ya Nigeria katika Klabu Bingwa na ile ya Simba SC katika Ngao ya Hisani. Yanga SC ikipewa muda itashangaza dunia na Kikubwa leo walitaka tu Kutambulisha Wachezaji wao wapya na Msemaji wao mpya Haji Manara ili Kuwakoga tu Simba SC"
Haya haya Watangazaji wenye DNA na Yanga SC akina Maulid Kitenge EFM, Yusuph Mkule na Paul Mkai Wasafi FM, Yahaya Njenge na Prisca Kishamba Clouds FM, Goza Chuma na David Kampista East Africa Radio na Tulo Mengele Magic FM Kesho Mightier Mimi nitawategea mno Masikio ili Kuusikiliza Unafiki wenu katika Kuizungumzia Mechi hii ya leo ya Yanga SC na Zanaco FC.