Kama waziri wetu wa michezo alimuuliza waziri mwenzake wa michezo huko ivory coast kwanini hajamuita pacome. Je anayajua majukumu yake ?

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
3,675
9,303
Tunaweza kulaumu bure kwanini waziri wetu alitania utani wa ngumi lakini ikumbukwe kuwa aliwahi kumuuliza swali la michezo mtu asiye sahihi, kiufundi ni kama vile hana uelewa wa mambo ya soka?
 
Mtu mfupi anaitwa Marcello Allender injini ya Mamelodi huyo anaamua timu iende kwa mwendo na speed gani wafumbe macho au warudi reverse 🔥 😆🙆🏽‍♂️
IMG-20240324-WA0614.jpg
 
Tunaweza kulaumu bure kwanini waziri wetu alitania utani wa ngumi lakini ikumbukwe kuwa aliwahi kumuuliza swali la michezo mtu asiye sahihi, kiufundi ni kama vile hana uelewa wa mambo ya soka?
Kwamba waziri ndiye huita wachezaji?
Tatizo ni sifa ya kuwa Mbunge ambayo ni kujua kusoma na kuandika kwa lugha ya Kiswahili.
 
Back
Top Bottom