Kuna miradi ya wakubwa imeingizwa A-town, kama petroli na ma jenereta, kwa hiyo wakisha rudisha hela zao (mukisha nunua vyakutosha), mtarudishiwa umeme....lol...
Ndugu zanguni Leo nimeongea na marafiki zangu Wa Tanesco hapa Arusha hawajui tatizo la kukatika Umeme ni nini wanasema wanajaribu kuwauliza madingi zao hawasemi chochote hivo hili ni janga la wanaarusha hiyo Siri wanaijua madingi Wa Tanesco Arusha Giza kuu lisilojulikana mwisho ni lini na tatizo ni nini.
pande za kimandolu wanakata umeme saa 12 jioni then kurudisha ni sa 11alfajiri...inaboa kiukweli
angalau wange toa taarifa basi tujue kutakuwa na mgao mpaka lini...
Mumwi kuna thread tangu jana humu zaidi ya nne sasas zinazungumzia tatizo la umeme hapa Arusha. Kinachosikitisha ni kwamba majibu yanayotolewa na ofisi ya mkoa ya TANESCO yana utata mkubwa hivyo kuwafanya wananchi kubaki na hasira bila majibu. Customer care hawana majibu na Meneja TANESCO Mkoa ame relax.
Mkubwa hujambo, aise chaliiii anguee huku umeme ni shida tu tangu Jumamosi....ha ha ha,,mwana arachugan pole sana,, anyaway hata posta na simu ilikuwa hivi hivi leo kiko wapi??? so mi nadhani tanesco inakufa kimgandisho..lol
Huku kwetu ni baridi mpaka manyunyu....ni makoti sana...POleni xna!!!Maaana mgao km huo huku kwetu Dar joto akukaliki inatafika mwisho.Hakuna jambo lenye mwazo likakosa mwisho,s..
wanasema kisa ni Arusha kuchagua Chadema.Tunakomolewa.