Ngulelo!!!!! Usituaribie majina yetuJana kwetu Ngurero umerudi asubuhi saa 12. baada ya kukatika kwa siku mbili. TANESCO ni bora ibinafsishwe tu ni kwero sana halafu hawa wafanyakazi wake wana dharau sana.
Mkuu! Naunga hoja mkono 100% tena ikiwezekana ianze mara moja. Shenziiii sanaaaa!!Kwa ufupi tunaomba wajitolee watu kama siyo Mh. G.Lema basi madiwani wetu ili wawatangazie wakazi wa maeneo yaliyoathirika kwa gari la matangazo ili woote twende pale Ofisi za TANESCO Mkoa tushinde hapo siku nzima tukiimba nyimbo za Ukombozi hadi pale tatizo la umeme litakapopatiwa ufumbuzi. Tunapoteza hata kile tulichokuwa tumetafuta na hiini kuongeza umaskini kwa kiwango ambacho hakijawahi onekana. wauza vinywaj baridi, wauza samaki , wafuga kuku, watu wa grills, saloon, saw mills na mashine za kusaga na kukoboa hawana mapato kabisa. Vijana waliojiajiri kurekodi nyimbo wanaocharge betri, mafundi electronics, mafundi nguo, wajaza upepo wa magari, carwash zoote hizi zinakufa na watu wanakosa ajira. Kitendo cha customer care kufanya mzaha kwa tatizo la umeme ni kudharau wananchi na inabidi tukapige kambi pale na wasitoke hata mmoja humo ndani na ikibidi wafundishwe adabu mpaka hapo watakapojua wanatakiwa watoe majibu na si ushuzi.
Lenye mwanzo halikosi mwisho Best! 2vumilie tu!Ni mikoa zaidi ya 10,na imepaniwa haswa!!
Ndio muwasha umeme wa Arusha?