CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,917
Kama una shamba heka.1 na lina.miundo mbinu kama maji na hata umeme na still wewe ni wa kutumwa basi una tatizo kichwani mwako.
How come una shamba lina maji ya uhakika na sio ya kuunga uunga na still uko una implemwnt Idea za watu wengine?
Bado uko unatumwa mata nenda TANESCO mara nenda TRA mara nenda kalipe bili ya maji mara kwa nini leo umechelewa kufika kazini.
Kama uma hilo shamba lina maji ya uhakika na still wewe ni wa kutumwa basi weekend hii jumapili au Jumamosi kesho au Ijumma ijayo nenda kanisani au msikitini kaombe na kumuuliza Mungu inakuwaje uwe hivyo?
Inabidi ukaombewe kwa sababu utakuwa na shida mahali ila wewe hujajua.