Kama una moyo mwepesi usisome story hii, wengi wamelia sana !!

Biblia

Member
Oct 16, 2015
8
4
“Nilipofika nyumbani usikuule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshikamkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu alikaa chini na kulachakula kimya akiwa tayari kunisikiliza. Tena nikagundua macho yake yalionyeshaanaumizwa. Nilishindwa hata namna ya kuanza kufumbua kinywa changu. Lakiniilibidi nimwambie ili ajue nilikuwa nikifikiri nini juu yake.
Nataka kukupa talaka.Nilianza kusema kwa utulivu. Alionekana kutokereka na maneno yangu badala yakealiniuliza kwa sauti ya upole ‘kwa nini?’ Sikumjibu swali lake. Kutojibukulimfanya akasirike. Akatupa kijiko na akanikaripia, ‘wewe si mwanamume!’Usiku ule, hakukuwa na maongezi kati yetu. Alikuwa akilia kwa kwikwi. Nilifahamukwamba alitaka kujua ni nini kimetokea kwenye ndoa yetu. Lakini kwa hakikanisingeweza kumpa jibu wala sababu ya kuridhisha; alionekana si mali kitukwangu penzi langu lilihamia kwa Mary. Sikumpenda tena mke wangu mawazo yoteyalikuwa kwa Mary. Kwa kweli nilimdharau mke wangu!
Huku moyo wangu ukijua wazikwamba nafanya kosa, niliandika talaka ambayo ilionyesha kwamba yeye (mkewangu) angepata nyumba yetu, gari na atakuwa na hisa 30% ya kampuni yetu.Aliangalia talaka ile na kuichana vipande vipande.
Mke ambaye tumeishi namikwa miaka 10 alionekana mgeni machoni mwangu. Nilimuonea huruma kwa muda,rasilimali na nguvu alizopoteza lakini sikuweza kurudi nyuma kwa sababu Maryaliuteka moyo wangu kisawasawa. Hatimaye mke wangu alilia kwa sauti mbele yangu,jambo ambalo kwa hakika nilitarajia. Kwangu mimi kilio chake kilinipa nafuu.
Wazo la kuachana na mkewangu limenisumbua kwa majuma kadhaa na sasa limeendelea kuimarika na kuwajambo la hakika zaidi.
Siku iliyofuata nilikujanyumbani kwa kuchelewa sana nikakuta mke wangu akiandika jambo mezani.Sikutamani hata kula chakula alichonipikia nilikwenda moja kwa moja chumbani nausingizi ulinichukua mara moja kwa sababu nilikuwa nimechoka baada ya kula rahaza kufa mtu na Mary
Usiku nilishtuka usingizinimke wangu alikuwa bado akiandika. Sikujali kabisa nikajifunika vyema shuka nakulala tena. Asubuhi yake alinikabidhi masharti ya talaka yake: hakutaka kituchochote kutoka kwangu lakini alihitaji apate angalau mwezi mmoja wa kujiandaakabla hajaachika. Akaomba kwamba katika kipindi hicho cha mwezi mmoja sote mimina yeye tujitahidi kuishi maisha ya upendo au kawaida kwa kadiriitakavyowezekana. Sababu yake ilikuwa ndogo lakini muhimu: mwanetu wa kiumealikuwa akikaribia kufanya mtihani katika mwezi uliofuata kwa hiyo hakupendamtoto aathirike kisaikolojia kwa sababu ya kuachana kwetu. Hili halikuwa tatizokwangu, nilikubali mpango wake. Lakini alikuwa na sharti la ziada, aliniombanikumbuke jinsi nilivyombeba siku za fungate yetu hasa siku ya harusi yetu.Akaniomba na kunisihi kwamba katika kipindi hicho cha mwezi mmoja niwe nambebakutoka kitandani kwetu mpaka mlango wa kutokea kila asubuhi. Nilidhanianakaribia kuwa kichaa. Ili kufanya siku zetu za mwisho zisiwe na migogoronilikubaliana na masharti yake ya ajabu.
Nilimsimulia Mary kuhusumasharti ya kuachana na mke wangu. Mary alicheka sana, aliona ni ujinga. ‘Hataakitumia ujanja wa namna gani talaka ni lazima’, alisema Mary tena kwa dharau.Mimi na mke wangu hatukuwahi kugusana tangu nilipomweleza dhamira ya kumtaliki.Kwa hiyo nilipombeba kwa mara ya kwanza sote tulinuniana. Mwanetu alifurahisana na kupiga makofi nyuma yetu, ‘aah baba kambeba mama mikononi mwake’.Maneno yake yalinichoma moyoni moja kwa moja. Kutoka chumbani kwetu hadisebuleni, halafu tena mpaka mlangoni, ni zaidi ya mita kumi nimembeba mkewangu. Alifumba macho na kusema kwa sauti laini na ya upole; usimwambie mwanetujuu ya talaka. Nilikubali kwa kichwa, ingawa nilijisikia vibaya. Nilimuwekachini nje ya nyumba.
Alienda kituoni kusubiribasi la kazini kwake nami nikaendesha gari kwenda ofisini kwangu. Siku ya pili,zoezi lilikuwa rahisi kwetu sote. Aliegemea kifuani pangu. Nilisikia harufunzuri ya uturi aliofukiza kwenye blauzi yake. Nikagundua kwamba sijamuangaliakwa makini mke wangu kwa kipindi kirefu sana. Nikagundua hakuwa binti tena.Kulikuwa na mikunjo usoni na nywele zake zilianza kuwa nyeupe! Ndoa yetuimekula urembo wake. Kwa dakika moja nikafikiri kwa nini namfanyia hivi.
Siku ya nne nilipombebahisia za mapenzi kati yetu zilirejea. Huyu ni mwanamke aliyejitoa kuishi namina tumeishi kwa miaka kumi sasa. Siku ya tano na ya sita ilikuwa wazi kwambamapenzi yetu yalikuwa yakimea upya. Sikumwambia Mary kuhusu jambo hili. Kadirimwezi ulivyokaribia kwisha niliona raha kumbeba mke wangu na zoezi likawarahisi zaidi. Pengine kufanya kazi hii kila siku kuliniimarisha zaidi.
Alikuwa akichagua nini chakuvaa asubuhi. Alichagua mavazi kadhaa hakupata linalomfaa. Kisha akaguna,‘nguo zangu zote zimekuwa kubwa’. Nikagundua kwamba mke wangu amepungua sana,nadhani ndiyo maana niliweza kumbeba kirahisi. Ghafla jambo likanichoma... mkewangu ana uchungu na maumivu makuu moyoni mwake. Bila kujitambua nikamgusakichwa chake. Mara mtoto wetu akatokeza na kusema ‘baba ni wakati wa kumbebamama muende kazini’. Kwake kumuona baba akimbeba mama likawa ni jambo la furahasana. Mke wangu alimuonyesha ishara mwanetu asogee karibu na akamkumbatia kwaupendo mkuu. Niligeuza uso wangu nisije nikabadili mawazo katika dakika yamwisho. Kisha nikambeba mikononi mwangu kutoka chumbani, sebuleni halafu mpakamlangoni. Mkono wake laini ulikuwa umeizunguka shingo yangu kwa upendo.Nilimkumbatia mwili wake; ilikuwa ni mithili ya siku ya ndoa yetu. Lakiniwepesi wake ulinitia mashaka.
Siku ya mwisho nilipombebanilipata shida hata kupiga hatua moja. Mtoto wetu alishakwenda shuleni.Nilimshika kwa karibu na kumwambia sikubaini kwamba maisha yetu yalikosaupendo. Nikaenda zangu ofisini…. Nikashuka garini hata bila kufunga mlango.Maana nilihisi nikichelewa tu ninaweza kubadili nilichoamua.... nikapand ngazi.Mary alifungua mlango nikamwambia, ‘Samahani, Mary, sihitaji tena kumtaliki mkewangu’. Akaniangalia kwa kustaajabu, halafu akagusa kichwa changu. Akaniuliza‘Unaumwa?’ Nikaondoa mkono wake kichwani kwangu. ‘Samahani, Mary, nimesemasitaki kumtaliki mke wangu. Nadhani ndoa yangu haikuwa na furaha kwa sababusikuthamini undani wa maisha yetu, mimi na mke wangu, si kwamba hatupendani.Nimetambua hilo tangu nilipombeba siku ya ndoa yetu nilitakiwa kumbeba sikuzote za maisha yetu, nampenda mke wangu sitamuacha mpaka kifokitakapotutenganisha.’
Ikawa kama Mary alizindukausingizini. Akanizaba kibao cha nguvu, akajiegemeza mlangoni na kuanza kulia.Nikashuka ngazi na kuondoka zangu. Nikaingia kwenye duka la maua nikaagiza mauamengi mazuri kwa ajili ya mke wangu. Muuzaji akaniuliza aandike nini kwenyekadi. Nikatabasamu na kuandika “Nitakubeba kila asubuhi mke wangu mpaka kifokitakapotutenganisha”. Jioni ile nilifika nyumbani na maua mikononi mwangu,tabasamu kubwa usoni nikakimbia mpaka chumbani, nikapokelewa na maiti ya mkewangu kitandani.
Kumbe mke wangu alikuwaakisumbuliwa na saratani kwa miezi kadhaa nami nilishindwa kubaini kwa sababunilihamishia akili yangu kwa Mary. Alijua kwamba angekufa karibuni na alitakaasiniingize katika chuki na mwanetu kama ningelazimisha talaka mapema.
Angalau machoni mwamwanangu naonekana ni mume mwema.
Mungu nisaidie Nisifikehuku mimi.
Kama Stori Hii Imekugusa NaUngependa Marafiki Nao Waisome Basi Unaweza KuSHARE PLZ USIPITE BILA KU sharekwani Itawasaidia Marafiki Pia
 
I know this story
 
hii story niliikuta Facebook ila ilinigusa sana roho.
 
Huyu jamaa anaandika kama Pdidy, hebu mwenye ile iliyoandikwa vizuri aweke link hapa btw story ni nzuri sana.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom