Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru.
Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni mkuu wa dola ya Tanzania?
Msaada kwenye tuta.
Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni mkuu wa dola ya Tanzania?
Msaada kwenye tuta.