Kima mdogo
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 303
- 46
Wewe ni mwanamume mwenye mke mzuri na mwenye kujiheshimu sana,...kwa bahati mbaya wewe ni mshamba usiyejua mautundu ya 6by 6 na unapenda kuhonga mal.ya ili upewe mzigo, na umefanya mchezo huu kwa muda mrefu bila mkeo kugundua,... Na kibaya zaidi jogoo akawa anapanda mtungi kwa shangingi lkn kwa mkeo hapandi mtungi,Mke mwaminifu akakuvmilia akijua mumewe unaumwa na kuhangaika kukutaftia dawa,.. Kwa bahati mbaya mkeo akakufumania na hy shangingi kunako 6 by 6 na kukwambia nanukuu "MUME WANGU NAKUPENDA SANA NA NIMEKUVMILIA KWA MUDA MREFU JOGOO WAKO ALIPOSHINDWA KUPANDA MTUNGI,nilijua unaumwa kumbe wamekuharibu,nina hamu sana ya kuto.m.a na siwezi kutafuta mwanamume nikiwa bd mkeo,Nakuomba unipe talaka nikatafute mwanaume atakayeweza kunit.mb na kumaliza hamu yangu"Je UTATOA TALAKA AU HUTATOA?