Kama ni wewe utachukua uamuzi gani?(kwa wanaume tu)

Kima mdogo

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
303
46
Wewe ni mwanamume mwenye mke mzuri na mwenye kujiheshimu sana,...kwa bahati mbaya wewe ni mshamba usiyejua mautundu ya 6by 6 na unapenda kuhonga mal.ya ili upewe mzigo, na umefanya mchezo huu kwa muda mrefu bila mkeo kugundua,... Na kibaya zaidi jogoo akawa anapanda mtungi kwa shangingi lkn kwa mkeo hapandi mtungi,Mke mwaminifu akakuvmilia akijua mumewe unaumwa na kuhangaika kukutaftia dawa,.. Kwa bahati mbaya mkeo akakufumania na hy shangingi kunako 6 by 6 na kukwambia nanukuu "MUME WANGU NAKUPENDA SANA NA NIMEKUVMILIA KWA MUDA MREFU JOGOO WAKO ALIPOSHINDWA KUPANDA MTUNGI,nilijua unaumwa kumbe wamekuharibu,nina hamu sana ya kuto.m.a na siwezi kutafuta mwanamume nikiwa bd mkeo,Nakuomba unipe talaka nikatafute mwanaume atakayeweza kunit.mb na kumaliza hamu yangu"Je UTATOA TALAKA AU HUTATOA?
 
mhm mashangingi ndio wananipa stimu basi bora tuachane tuu maana kuna faida gani kuwa na mke ambaye hana mvuto kwako wakukufanya atake kumgegeda
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
hahahha alafu humu kuna biasness vikongwe wakiweka very childish post hamna maneno wakiweka wageni childish...lol jf bwana mumbe nayo ina mfumo wa chama tawala na vyama upinzani
 
mhm mashangingi ndio wananipa stimu basi bora tuachane tuu maana kuna faida gani kuwa na mke ambaye hana mvuto kwako wakukufanya atake kumgegeda

Umeona eeeh...ukishamfanya partner wako mwenzi wa maisha then hiyo inatakiwa ijumuishe muonekano wake kuku-vibrate kila umuonapo,na ukimshika na kumpapasa alegee..ukiona hashtuki then ujue kuna sehem unakosea kwake na kama bado una hamu nae kaeni mli-discuss.....
 
Kwa kuwa imani yangu iko kwa Mungu wa kweli - Jehovah nitatubu dhambi hiyo na kuomba msamaha kwa mama watoto wangu ili tufungue ukurasa mpya wa mapenzi. Mungu wa kweli hashindwi lolote.
 
Umeona eeeh...ukishamfanya partner wako mwenzi wa maisha then hiyo inatakiwa ijumuishe muonekano wake kuku-vibrate kila umuonapo,na ukimshika na kumpapasa alegee..ukiona hashtuki then ujue kuna sehem unakosea kwake na kama bado una hamu nae kaeni mli-discuss.....

yeah ndoa na mahusiano ni all abt passion romance na kugegedana....hayo ya kupanga maishi ni sehemu ya maisha tuu.
 
Wewe ni mwanamume mwenye mke mzuri na mwenye kujiheshimu sana,...kwa bahati mbaya wewe ni mshamba usiyejua mautundu ya 6by 6 na unapenda kuhonga mal.ya ili upewe mzigo, na umefanya mchezo huu kwa muda mrefu bila mkeo kugundua,... Na kibaya zaidi jogoo akawa anapanda mtungi kwa shangingi lkn kwa mkeo hapandi mtungi,Mke mwaminifu akakuvmilia akijua mumewe unaumwa na kuhangaika kukutaftia dawa,.. Kwa bahati mbaya mkeo akakufumania na hy shangingi kunako 6 by 6 na kukwambia nanukuu "MUME WANGU NAKUPENDA SANA NA NIMEKUVMILIA KWA MUDA MREFU JOGOO WAKO ALIPOSHINDWA KUPANDA MTUNGI,nilijua unaumwa kumbe wamekuharibu,nina hamu sana ya kuto.m.a na siwezi kutafuta mwanamume nikiwa bd mkeo,Nakuomba unipe talaka nikatafute mwanaume atakayeweza kunit.mb na kumaliza hamu yangu"Je UTATOA TALAKA AU HUTATOA?

Wengi ya wanaume wanaotoka nje ya ndoa zao si kwamba hawawapendi wake zao, hapana wanawapenda sana ila wanatafuta njia ya kuokoa ndoa zao.
Sasa ukishafumwa unabudi kutafuta njia ya kuiokoa ndoa yako.
 
Wewe ni mwanamume mwenye mke mzuri na mwenye kujiheshimu sana,...kwa bahati mbaya wewe ni mshamba usiyejua mautundu ya 6by 6 na unapenda kuhonga mal.ya ili upewe mzigo, na umefanya mchezo huu kwa muda mrefu bila mkeo kugundua,... Na kibaya zaidi jogoo akawa anapanda mtungi kwa shangingi lkn kwa mkeo hapandi mtungi,Mke mwaminifu akakuvmilia akijua mumewe unaumwa na kuhangaika kukutaftia dawa,.. Kwa bahati mbaya mkeo akakufumania na hy shangingi kunako 6 by 6 na kukwambia nanukuu "MUME WANGU NAKUPENDA SANA NA NIMEKUVMILIA KWA MUDA MREFU JOGOO WAKO ALIPOSHINDWA KUPANDA MTUNGI,nilijua unaumwa kumbe wamekuharibu,nina hamu sana ya kuto.m.a na siwezi kutafuta mwanamume nikiwa bd mkeo,Nakuomba unipe talaka nikatafute mwanaume atakayeweza kunit.mb na kumaliza hamu yangu"Je UTATOA TALAKA AU HUTATOA?

duuuu,talaka sitoi!acha iwe mbwai ila cwezi kumuacha wfe akaliwe na m2 mwingine!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom