TAMKO
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 1,090
- 762
Jamaa mmoja hapa kati alikuwa anamwagilia bunge Kwa marafiki zake wamshauri, anasema alimstukia mkewe kwamba kuna njemba linamparamia. Kwa ustaarabu jamaa hakuwa Na papara Kwa sababu wana 2kids Na mkewe huyo mwajiriwa wa Jamhuri na yeye pia mwajiriwa wa Jamhuri wizara tofauti..
Jamaa akaanza u CID wake Na Kwa Siri akawa anapekuwa MSG Za mkewe Kwa Siri , unajua watu wakiwa Kwenye love sio 100% wataficha kila kitu, iko mida unajichanganya Na kusahau kudelete kikasha cha msg, .jamaa akawa anazifuma MSG Na kujiforwadia Kwenye cm yake Kwa siku Kama Tatu, siku moja akakuta MSG '' aisee Kumbe Za Ofisini nazo tam' akajua jamaa keshakula mzigo .. Ikampain sana akafikiria Nini amfanye mkewe au bazazi yule , akivuruga itakula kwake, akawaza apeleke MSG ofisini watamwona mwanaume mshamba mwenye wivu, akimwonyeshea mkewe anajua mkewe ataruka maelfu ya Mita, jamaa akaamua kumforwadia Yule mwizi wake SMS zote alizozihifadhi Kwenye cm yake kutoka Kwa mkewe.. Na baada ya kumforwadia akaandika MSG yake ili AMTISHIE
'hi
Shem, nadhani utastuka namba mpya inakuforwadia MSG zako kutoka Kwa xxxxx your love, mie ni kipenzi rafiki yake tunashea everything naitwa zzzz(jina la kike) .. Mie nakupongeza Kwa Kubeba mzigo fresh Kama huo ila nikupe tahadhari Tumia sox si unajua yeye na mumewe ni waathirika..! Ok enjoy .. Napoandika MSG hii Niko nae hapa ...see u'
Jamaa aka reply fasta
'
'haloo Shem zzzz ah Asante sana Kwa taarifa basi mie nikajua ndo nshamwambukiza kumbe nae pia anao aaah Basi Poa kabisa hamna noma.. Gdnt'
Jamaa cm ikamdondoka.. Mpaka Sasa anawaza afanyeje..!!