Elections 2010 Kama Mwalimu Nyerere angekuwa hai....

Ujengelele

JF-Expert Member
Jan 14, 2008
1,253
22
....Angesimama na Kikwete kumfanyia kampeni yeye na CCM? Kwanini angemfanyia au kwanini asingemfanyia? Tukumbuke kwamba Mwalimu hakuwa mnafiki au kujikombakomba kwa watu/mtu.
Tujadili
 
Sidhani kwamba Mwalimu angelikubali chama alichokiasisi kiendelee kufanya madudu hata kufikia kukataliwa na wananchi waziwazi kama tunavyoona sasa. Alternatively, angelinawa mikono na kujitoa CCM. Tukumbuke alishatamka kwamba CCM si baba wala mama yake.
 
Kikwete, Lowassa, Rostam wangekuwa wanaishi uhamishoni

Nyerere angekuwepo kusingekuwa na Richmond, Lowassa asingekuwa PM, JK for sure asingekuwa rais Rostam angefanya legitimate trade. Na kama JK angekuwa Rais wakati JKN yu hai angeperform better kama tulivyomtarajia

Lakini kama angerudi Mkapa angecharazwa mikwaju sana, kwa kuwa yeye ndiye aliyetuuza watanzania. He knew we were going into deep mess, he just walked away. Matatizo yetu yameanzia kwake.
 
Back
Top Bottom