GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,647
- 109,036
"Lowassa alikuwa ni Kiongozi makini,, hakuwa na Maadui na alipendwa na Watu wengi japo Kibinadamu kuchukiwa au kutokubalika na Wengi ni jambo la kawaida" Mzee Joseph Butiku Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Kada Tukuka wa CCM na Mmoja wa Think Tanks wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
Mzee Butiku kwakuwa huwa hupitishi hata Mwezi Mmoja kuja Nyumbani na Mimi pia huwa sipitishi hata Siku au Mwezi au Miezi kuja Kwako Mabwepande nyumba za TBA nikionana nawe utanieleza Mwanao GENTAMYCINE ni kitu gani kimekukumba hadi kutoa Salamu zako hizi za Rambirambi zenye Unafiki mwingi kwa Marehemu Lowassa ambaye hukuwa Ukimpenda kabisa na nakumbuka ulitumia muda wako mwingi Kupinga asichaguliwe na CCM kuwa Flag Bearer wake na awe Rais wa Tanzania kwakuwa ulisena HAFAI na kwamba ATAIHARIBU nchi.
Mzee Butiku tangia lini Sisi Wazanaki tumekuwa na hii tabia ya Kinafiki ambayo nakuoma na Wewe ukiwa nayo tena ukiwa Mzee hivyo? Umenisikitisha sana Mwanao na najiuliza au labda wakati unasema Maneno haya ya Kumsifu Lowassa ulikuwa Umekunywa kidogo hivyo Kichwa chako kilikuwa Kimechangamka?